UKWELI UGONJWA UNAOMTESA MZEE ALIYEKUWA AKIMFICHA NYERERE KWAKE WAKITAFUTA UHURU

  Рет қаралды 37,672

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@leotena8456
@leotena8456 2 жыл бұрын
Historia ya Tanzania inafichwa sana! Hawa watu ni muhimu sana kwny historia ya nchi
@chidiwarashidi5658
@chidiwarashidi5658 2 жыл бұрын
kabsa yan dah akija kufariki ssa ndyo wanamjali
@saidjuma9782
@saidjuma9782 2 жыл бұрын
Kuna Dhulma nyingi zilifanyika ndio maana wanaficha hao Washenzi
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 жыл бұрын
Pole sana babu yagu Mungu akuponye ishala naamini kwamba Mungu yupo nawe
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 жыл бұрын
Malipo ya wema wake akawekwa kizuizini!! kweli tenda wema nenda zako.Mzee Bilal Rehani Waikera historian iliyofichwa.Mungu akuponye inshaallah!!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Wako wengi mno, kuna waliomkaribisha Mwl ktk harakati, Mzee tambaza, Mzee Dossa
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 жыл бұрын
@@ndukulusudikucho_ historia ya nchi hii kuna mengi yamefichwa.
@saidjuma9782
@saidjuma9782 2 жыл бұрын
Kuna Dhulma nyingi zimefanyika
@SaSa-n2t1w
@SaSa-n2t1w Жыл бұрын
Dini tatizo Islam ungejijenge bs nchi ingehalibika
@Gilbert-w9e
@Gilbert-w9e Ай бұрын
Mungu akupe wepesi mzee wetu, inshallah!! Tumuombee heri na moyo wake na maisha aliyopitia yanabidi kufanyiwa andiko na ikibidi kumpendekeza kuwa Mwenye Heri!! Hakuna namna yoyote ya kumlipa fadhila ni kumsaidia yeye na familia wanaomhudumia..😮‍💨🙏
@meshackntoga1566
@meshackntoga1566 2 жыл бұрын
Siasa ya Tanzania Inasumbuliwa na Ubinafsi na Wivu wa Uchamaaa na Umimiiii. Historia hii ni njema na nzuri saana.
@marryg4235
@marryg4235 2 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu mwing wa rehema,mponye babu ye2 wa taifa hili,laana nyingine 2nazipata kwa kuwasahau wa2 km hawa waliojitoa kwa moyo naku2fanya cc 2we na aman.mungu mponye mzee we2.
@lutenganocharles7194
@lutenganocharles7194 2 жыл бұрын
Nyerere had 2022 alikua awe na Miaka 100, Huyo Mzee ana 90 so Nyerere alimzd Huyo Mzee Miaka 10 Sio mbaya inawezekana ni kweli kabisa wamsaidie jaman
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 жыл бұрын
huyu alikuwa mpigania uhuru, andika jina lake KZbin utaona anaelezea kwa mdomo wake hatua kwa hatua namna walivyokuwa wakipambana ktk kutafuta uhuru. wapo wenzie kina Abdulwahid Sykes, Ally Sykes na wengineo. Huyu ni mtu muhimu sana tofauti na unavyofikiri. NB: NCHI HAIWEZI KUKOMBOLEWA NA MTU MMOJA PEKEE!! wapo wengi waliojitoa kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii.
@b-creative4662
@b-creative4662 2 жыл бұрын
@@rayisadesigns2646 na Dully sakys sema nini nahis hata mkuu wa enzi hizo hakutaka wajulikane!!
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Mungu amponye babu yetu inshaalla
@nasoroabdallah6253
@nasoroabdallah6253 2 жыл бұрын
Aamiin
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 2 жыл бұрын
Mzee Muhimu sana kwa Taifa
@kurshidsaleh1499
@kurshidsaleh1499 2 жыл бұрын
Allah azidi kumpa shifaa..na amjaaliye mwisho mwema aamiin
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 2 жыл бұрын
Historian ya kweli ya nchi hii huwa inafichwa.
@IbrahimKuhunguru
@IbrahimKuhunguru 2 ай бұрын
Mungu amponye mzee wetu shuĵaa
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 2 жыл бұрын
Historia huwa inafichwa sana kwa sbb waliopigania uhuru walikuwa ni waislam ndiyo maan historia imefichwa n'a kueneza historia za uongo, kama tu ilivyofichwa historia ya mtu mweusi.
@amoschaina8190
@amoschaina8190 2 жыл бұрын
Wewe ni mpumbavu, kwan historia inasema waliopigania Uhuru ni wakristo
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 2 жыл бұрын
@@amoschaina8190 huna akili ww hujuwi historia y nchi hiyo vzur kilaza wew
@hatujuaniimani4425
@hatujuaniimani4425 2 жыл бұрын
Mungu amfanyie shifaa apone mpigania Uhuru wetu jamani ,kwa Mimi maona na yeye amehusikia ktk kupigamia Uhuru wa Tz na inatakiwa auguzwe pia akisha pona serikali imtengenezee mifumo mizuri ya kuishi angalau kwa kipindi alicho baki nacho.
@joejoshua7791
@joejoshua7791 2 жыл бұрын
Julias alikuwa hataki mtu mwingine awe maarufu zaidi yake
@badymedia9648
@badymedia9648 2 жыл бұрын
Mkundu wewe angekua mbinafsi ungekua waning'iniza pumbu zako huru saizi,pili Kama nimbinafsi hao wano mjua wamemjuje ,mbwa Tako wwwe
@ashadonge3556
@ashadonge3556 2 жыл бұрын
Mungu akupe shifaa babu yng tumekubakiza wewe tu babu hatuna mwingine
@nipautago8574
@nipautago8574 2 жыл бұрын
Mungu amjalie apone!
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Daah mtu muhimu sana katika kukomboa nchi ya Tanzania, na nyinyi wanahabari kwasababu gani mmechelewa kutoa habari zake mpaka mnasubiri aumwe??
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
WALIWAHI KUITOWA NIMEIONA KWENYE MTANDAO.
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
❤️
@mayusay1225
@mayusay1225 2 жыл бұрын
Rip mzee bilali waikela Allah akupe kaulidhabit
@abuumkumbalu9123
@abuumkumbalu9123 2 жыл бұрын
Akifa ndio utakuta watu wanajifanya kujitokeza kwa wingi katika msiba
@veronicasulle1849
@veronicasulle1849 2 жыл бұрын
Mungu akuponye babu yetu
@rashidramadhan7708
@rashidramadhan7708 2 жыл бұрын
Nchi ina MIAMBA hii halafu hairingi wala nini
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Allah ampe shifaa ya araka
@rachelkakala2273
@rachelkakala2273 2 жыл бұрын
Apewe tiba
@reganshao
@reganshao 2 жыл бұрын
Kinachoumiza ni kuwaibua watu hawa wakati muda wao wa kuishi umeshakwisha , inauma sana , wapo watu ambao waliipigania sana tanzania na saivi wana hali mbaya kwann wasihudumiwe kabla hali zao hazijawa mbaya ? Ni laana hii na itaitesa sana nchi na viongozi ole wenu.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mpeni tiba
@brownasia5787
@brownasia5787 2 жыл бұрын
First👍💪
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
utayasikia mafisad makina nape na kinamakamba na wazazi wao awen wao ndi wenye tenzania na ccm wakat hawa ndi wenyewe na waliyopigania uhuru kwa hao maqaafir waliokuwa wanawatesa wafrica yaani hili group la kikwete na winzake kina nauye na kinamakamba niwahuni na wafilisi wa inchi wakubwa hata aliye ikomboa tanzania aliwaona ni wasalit wa inchi
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 2 жыл бұрын
alitumia gari, lake,ila kufikia walipewa nyumba jirani na waikela wakilindwa na bantu group.Mzee waikela ana mchango mkubwa ndio na ana stahiri zawadi ila tuileta historia katika uharisia wake
@emmadeprincetv6133
@emmadeprincetv6133 2 жыл бұрын
Nchi ina siri kubwa sana!!!
@marionntomola1686
@marionntomola1686 2 жыл бұрын
Historia ni muhimu inawezesha vizazi kujitambua na kumjua nani ni nani.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
WALIOLETA UHURU AMBAO NI MUHIMU SANA WAPEWE HESHIMA ZOTE LAKI HAWAJULIKANI ANAPEWA MAGU ALIE JENGA KWA PESA ZA MKOPO KUNA WAJINGA WENGINE WANASEMA ATI PESA ZAKE IMEKAZANA RIP MAGU WACHENI UJINGA FANYENI KAZI MLIPE MIKOPO YA WATU.
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Hawa ndo watu wa kuwalinda ila taifa linawapgania vigogo na watoto wao
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
hapo sasa vigogo wenyewe hta nyerenyere alikataa wasipewe madaraka ya kuongoza inchi wataumiza watu na kuifilis inchi ila ndi kilichotokea baada kufa nyerere kikwete akajifanya tanzania niyake na family yake
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 2 жыл бұрын
Mmmmmm ssa mambo mengine yanaskitisha mpaka yani mtu muhimu huyu amesahaulika eti ssa nfo anasaidiwa nn ssa? Mungu msaidie tu
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 2 жыл бұрын
Mzee mfichaji wa taifa
@florameza1028
@florameza1028 2 жыл бұрын
Leo hii watu wanadiriki kuwapenda wawekezaji na kuwatetea kuliko Wa TZ
@neemajulius1256
@neemajulius1256 2 жыл бұрын
Msaidieni
@sandalalutubija235
@sandalalutubija235 2 жыл бұрын
Watu kama hawa serikal iwaone jicho la huluma
@VEVOTV-d1z
@VEVOTV-d1z 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/b2jUm62eaMmml8U Simu ya raisi Kutoka kwa konk Don
@sandalalutubija235
@sandalalutubija235 2 жыл бұрын
Hizi ndo media tunazozitaka tanzania soyo kichwa cha habal kigine maneo cyo
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 2 жыл бұрын
mwalimu hakupenda historia iandikwe katika uharisia wake,you must go and make a study on why?
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@Muuzambuzi
@Muuzambuzi 2 жыл бұрын
Dar kweri jamani haipendezi kabisa
@Dr.manyaunyau
@Dr.manyaunyau 2 жыл бұрын
Bc uyo mzee achukii mda anakata kamba sijui kwa nini
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 111 МЛН
Maisha ya Dereva wa Mwalimu Nyerere Yanasikitisha!
24:07
Global TV Online
Рет қаралды 512 М.
Top U.S. & World Headlines - October 22, 2024
11:20
Democracy Now!
Рет қаралды 143 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37