huyu ni trader wa ukweli, sijasema ni big boss, anachokiongea anakifanya , safi, nimejuaje msiniulize
@kwisa4899 Жыл бұрын
yupo Honest anajua kazi yake
@geofreymanyologa9489 Жыл бұрын
Forex ni ww na saikolojia yako dhidi ya Market,biashara nyingine zinatofautiana na Forex padogo sana kwmb zenyewe hazihusiani chcht na saikolojia ya mtu ila Forex ina kitu kinaitwa market psychology na hapo ndipo traders wanapo iona ngumu na wengine wana fanikiwa wanapo ishinda saikolojia ya soko....Forex hautaki watu wenye emotions,naomba niishie hapo
@IMANWILLIAM-bl2ui Жыл бұрын
SnS nyinyi ndo media pekee mliojitolea kuwaelimisha watanzania. kuhusu technology ya financial markets, wenzetu wasauz, WA Kenya,WA Uganda, Botswana wako mbal sana kwenye hii industry sisi bado Kuna wapuuz wanaamin forex is scam
@kenyre697 Жыл бұрын
Kinachofanya wafeli ni kukosa displine ya risk management na kukosa consistency and greedy before akue guru waku analyse market na kupredict
@kenyre697 Жыл бұрын
Forex is the way to go wewe unakaatu kwa apartment yako ikifika friday unaanza kupiga watu hawaelewi kumbe wewe uko na madollar
@KapamaMohamed-d9g9 ай бұрын
Nampataje teacher uyo
@priscusfabian957 Жыл бұрын
Forex is knowledge... prioh big up upo vizuri
@stephansonhenry-id4wg Жыл бұрын
Mindset ni muhimu,
@leadflavour_tz Жыл бұрын
Forex bhana 😅 nili trade nkapiga Pesa 💸 Sana lakini kama una stress usiingie Sokoni ku trade, pia kabla ya kufanya maswala Soma hali ya hewa kwanza, inalipa kinoma. #BLUE ndo rangi yetu Wanangu japo si rahisi, we're risk takers.
@jodan82 Жыл бұрын
Believe what you know
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Nataman kujifunza vip Kuna faida kubwa
@AnthonysTradingChannel Жыл бұрын
Your video was well-explained, thank you for uploading.
@kendricgeorge603 Жыл бұрын
Mmh hii ni introduction tu, Nipo kwenye game kwa miaka mitatu now, ila naona kila mtu anajua anachokijua, but in reality forex is all about knowing that hakuna strategy sokoni, unahitaji kujua kusoma price action, na hakuna NAMNA nyingine ya kusoma chart isipokua kujumuisha time and price, siku zote time inaanza then price inafata, kwa hiyo kitu pekee unachoweza kukifanya katika market ni kufuatilia ni mda gani, price Inafanya kitu gani, elewa sessions in details, ila kitu kingine kuwa na objectives za week, elewa candlestick ya week Inaweza ikaelekea wapi, ukishaelewa Sasa tumia hiyo logic week nzima kuelekea kule unakotaka kuelekea, epuka kuwa na idea za busing and selling pressure, wazee mtapotea. Market is not random. Market is being run algorithmically, Kama huamini basi 😊😊
@tygerabdully6250 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 dah we ni real trader man,hii siri tunaijua wachache sanaa man, lakn kuna some of the people bado wanatrade garbage ambazo wanasoma kwenye vitabu na kwenye internet, bila kujua kwamba price iko na algorithm yake na hyo algorithm lazma iwe according to time. Ila wanaobisha unawaacha waendelee kuuziwa course na signal ambazo wanaozitoa hawaelew pia wanachokifanya sokon😂
@yusuphkilamuhama Жыл бұрын
Mambo vipi kaka naomba namba yako
@collinsstanley6126 Жыл бұрын
Kendrick naomba namb yako bruh ineed ur assistance 💯💯💯
@dominicsule6999 Жыл бұрын
hayo yote ndio yanatengeneza strategy buy or sell
@isackjulius1832 Жыл бұрын
Mkuu msaada wa namba yako tafadhari
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
I appreciate 👊
@saidimpako5186 Жыл бұрын
kutaka hela kwa njia rahisi ni risk sana
@eldephoncemalley4816 Жыл бұрын
Qnet wengi matapeli mbona inaonekana wapo wanaotumia Qnet original vibaya
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
Sky mim bnafx naomba uongelee kuhus Iyoo folex jmaa nmemskilza ila kun sehm smuelew
Uyu jamaa uenda ayuko vizuri kwenye kuelezea ila kwenye grafu za bussiness ni zaid ya wizard
@alextanzania Жыл бұрын
Sina shaka na hili
@emmanueltimba1011 Жыл бұрын
Camera Man Inabid Ujue Unashoot Kipi Na Kwa Nini
@waltertesha3312 Жыл бұрын
Kama mtu unataka kufanya hii biashara cha kwanza kabisa ni lugha jifunze kingereza kwanza maana forex kilakitu ni kwa kingereza, cha. Pili mtu uwe na kazi ya kukuingizia kipato cha kukidhi mahitaji muhimu kabisa kama chakula, mavazi, makazi yani kodi ya nyumba na pesa ya bando, cha tatu ni kusoma soma, soma, soma, soma tena forex inachukua muda kuimaster mm mwenyewe ninajifunza kila uchao na sio kusoma tu ni kuifanya pia yani kuweka trade zako na hii ni kwa kutumia demo acc. Na wazungu sio wajinga kuweka demo yani wanajua ni ngumu ndio maana wakaiweka kwahiyo fanya kwanza kwa kutumia demo na demo yako ifanye iwe kama real acc utaanza kielewa forex taratibu............ vitu vingine vya msingi sana mwamba kashaelezea hapo mm mwenyewe bado niko kwanye njia ya kujifunza nimeona nishee hivi vidogo ninavyovifahamu
@mack_B. Жыл бұрын
Bro wewe umenishibisha sasa hyo ulioongea ndio nimeziba pengo langu la dilema unajua nmeshanunua computer nko na mentor anaenifundisha sasa nna kamtaj kangu ndo kalikua ka urithi nliomba nianze biashara sasa km mil1.5 ndio nko nawaza jmn hiviii na research nliofanya ntatoboa man unaambiwa loss haikwepeki af cna kitegauchumi kingne nakutegemea nikipita mitandaon kilamtu anasema ilimchukua Muda c chini ya mwaka ad kuja kuanza kunufaika sasa kamtaj kenyew ndo hko hpo nitegemee kula kunywa na Ninamtt mchanga na Lea BDO nisome maan ndo nasoma cjaanza ht demo ila nna passion haswa ya kufanya forex ila ndo ivyo mtaj nikiingiza huko ndo unaeza kubebwa je ntakua mgen wa Nan ingekua unapatkn kwa Muda mfupi ningeelekeza huko kwa haraka
@sheilaally9490 Жыл бұрын
Wow
@tradingafrica9 ай бұрын
keep pushing
@youngbona3804 Жыл бұрын
Well said🔥🔥
@jumarwambo7420 Жыл бұрын
Forex is real sema tz bado watu hawaielewi
@kenyre697 Жыл бұрын
Shida nikizungu kuelewa izo terms bt uku kwetu kenya tunaichapa mbaya sana
@kenyre697 Жыл бұрын
Waanze na binary options it's easy to trade
@kenyre697 Жыл бұрын
Forex, stocks and bonds ni account aifai kukosa
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
@@kenyre697 Kuna faida
@RamadhaniRajabu-rs2yd Жыл бұрын
Tanzania watu hawapend kusoma vitu kma hv watakuambia utapel cha kushangaa wanTapeliwa na tuma hela kwa hii namb
@EmmanuelKabipe-nr1np Жыл бұрын
Well,good,excellent Presentation!!
@johncharles-bo6mc Жыл бұрын
Ongea kiswaili uwaeleweshe watanzania wezako apo uelimishi
@allwd Жыл бұрын
Hii video imenipa nguvu💪
@bestfxindicatorsandanalyza1125 Жыл бұрын
sawa
@barakanyamafu5937 Жыл бұрын
MTFE unaijua
@allwd Жыл бұрын
@@barakanyamafu5937 ndo nin!?
@barakanyamafu5937 Жыл бұрын
@@allwd ingia you Tobe type MTFE utapata maelezo ninzuri
@queenbibisha1961 Жыл бұрын
Sky tunaomba pia uihongeleye siku moja ili tuelewe zaidi
@johnedward2856 Жыл бұрын
Unataman kujua kuhusu nn mamy
@bajosdamour2347 Жыл бұрын
@@johnedward2856 umekua sky😂
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
ii kwelii Sky tunaomba uongelee ii kitu
@Moviesinkiswahili Жыл бұрын
@@bajosdamour2347 😂😂
@Kilimanjaro_motors Жыл бұрын
We nae si uingie KZbin uliza kila kitu vipo forex n nn Brokers Terms za forex yaani kila kitu
@EmmanuelKabipe-nr1np Жыл бұрын
Presenter,your name plz
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Mmh
@ptechn6184 Жыл бұрын
forex ni kamari kuna huwez buy alafu ukapata profit ni scam
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Swahili pamahani
@georgeburchard4872 Жыл бұрын
Huwa naboreka sana kuona mtanzania anazungumza na audience ambayo Ni ya kitanzania halafu akaanza kuchanganya lugha ya kingereza! Basi bora uongee kingereza kabisa tujue Ila huu ushamba wa sentensi moja kiswahili ya pili kingereza unaboa na unakata!
@themoredwamichano8636 Жыл бұрын
Kabisa yan hapo anawafundisha tuu wanaojua hiyo biashara au wenye aidia nayo lakini kama mimi hapo sielewi hata kimoja
@classicscoresmartine9098 Жыл бұрын
Biashara inafanyika kwa kiingereza na course zote znafundisha na unasoma kwa kiingerza bro ko hakisei yupo sawa
@RithaPhellan-qw3uh Жыл бұрын
Safi kabisa huyu ni mwamba haswa,SNS mtafute na mwamba anaitwa Pipstorm,Pipsmakertz..... Forex is Real na nikiona baadhi ya wasiojua chochote wanaponda tu huwa inanishangaza na kuniumiza... Lakini maisha ni kuchagua njia uitakayo mwenyewe🤣🤣🤣
@mophaterasimo9099 Жыл бұрын
How can I know like them kaka?
@mikemart32972 ай бұрын
Punguza iyo kelele
@hedarufines7763 Жыл бұрын
Business
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Ok
@pipsJoker Жыл бұрын
leo nimemuona kaka mkubwa 🤣🤣🤣🤣 muendeleee kutupa elimu ili tuje tupate cha kuwambia watoto wetu
@1robbyposh Жыл бұрын
Safi
@mazengojohn2090 Жыл бұрын
Ogea kiswahii wew
@salmoncharles3426 Жыл бұрын
😀😀😀 uzungu mwingi unaboa
@stonemsaku7416 Жыл бұрын
You tried to explain well! but Still it's foolish business
@ankalmzito254 Жыл бұрын
SNS KWANI HAMJAONA ASLAY KATOA#ALBAM???🇰🇪🇰🇪....
@gildasnyaki3812 Жыл бұрын
Tuliofanya network marketing na tunatrade ni hustlers
@js-mi6xt Жыл бұрын
Acha ujinga😅😅😅😅🙄🙄
@nyauclassictv805 Жыл бұрын
Tatizo la FOREX nasikia ni kama kamari I mean bahati nasibu bora Ufanye Sport Market kwenye crytpo......hauwezi poteza msingi wako au mtaji.
@farajithabiti8359 Жыл бұрын
Nipe maujanja kidogo boss kuhusu hiyo sports market kwenye crypto chief
@iammalinarda Жыл бұрын
Kumbe unasikia tu huna uhakika
@EREVUKATV Жыл бұрын
Hii ulosema hapa Sport marketing ni nn kaka
@thepenatech5102 Жыл бұрын
Forex is real but only 1% win
@FreeGod368 Жыл бұрын
Only 0.5% win
@jofreykabobe Жыл бұрын
Why can't you be among those 1%?
@RamadhaniRajabu-rs2yd Жыл бұрын
Forex ni mzan wa predict na analysis of market
@stanslauschatata3483 Жыл бұрын
Mi binasfi psychology ndo ilionifanya nifeli na niachane nayo!
@@nyokonyoko7990 Wamesema kinachowasumbua ni psychology it means hao cyo newbies so wameshajifunza basic na strategy anayo ndo maana nimewaambia wajifunze kusubiri setup ikamilike kwa maana ya kwamba kufuata rules walizojiwekea na strategy wanayotumia then risk management nothing more
@getrudemkinga793 Жыл бұрын
Psychology unaijua vizuri?
@ewaldkessy5989 Жыл бұрын
@@nyokonyoko7990 Mpaka mtu anasema kinachomsumbua ni psychology it means strategy tayari anayo anachotakiwa kufanya ni kustick kwenye hyo strategy kwa kusubiri setup ikamilike ndo aingie sokoni then ajifunze ku manage risk hpo atakuwa hajacheza na emotions zke cause ameingia kwenye high probability setup na ame risk kiasi ambacho yupo tayari kukipoteza Period.
@kingnyamafutv8646 Жыл бұрын
Tunaomba mtuambie kuwa MTFE ni scama au ni sehem salama ya kuwekeza
@thynerwith130 Жыл бұрын
ushapata majibu sasa😂😂🤷🏾♀️
@ENGAPUNEEMAACHANNEL Жыл бұрын
Kiukweli niwambie ndg zangu wa Tanzania hakuna Hela inayo patikana kirahisi jaman nahasa Hawa watu wa kuchanganya laugh ni hatari sana chamsingi tu muweni makini sana
na sio kuwa lbda ajui anajua ila wa bongo wanatshana sn
@stephansonhenry-id4wg Жыл бұрын
Babypips ndo msingi mzima wazee 😂
@simonballu1124 Жыл бұрын
Q NET? 😂😂😂PUNGUZENI NJAA SNS TUNAWAAMINI ILA MNACHOKIFANYA KUWAPA AIRTIME HAWA MATAPELI TUTAANZA KUWAPUUZA HIVI Q NET HAMJUI KUWA NI MATAPELI , JUZI TU KALYANDA IMELIZA WATU LEO TENA UNALETA MAMBO YA NETWORK MARKETING, WATANZANIA WANAJIFUNZA SIO WAJINGA.
@IMANWILLIAM-bl2ui Жыл бұрын
wewe jamaa unaishi ulimwengu WA 21century ukiwa na mindset za 19 century., kama unaamini Forex ni utapeli umefel aisee afu mpo weng sana
@beatricefrankngalubutu1448 Жыл бұрын
Pole sana kama adi sasa ujui kua forex ni moja ya biashara kubwa dunian
@ptechn6184 Жыл бұрын
forex ni scam acha kudanganya watu forex ni kamari
@ptechn6184 Жыл бұрын
eti una buy alafu unapata profit hakuna hiyo kitu uwez buy bila ku sell alafu upate profit hiyo ni scam
@IMANWILLIAM-bl2ui Жыл бұрын
@@ptechn6184 we jamaa kama umeamua kuwa mjinga na kuwa masikini Kaa na ujinga wako na umasikini wako, watu tume drop chuo sababu ya forex na tuna somesha wadogo zetu bcoz of forex pole sana Kwa adhabu uliyopewa ya ujinga
@chizcom4229 Жыл бұрын
saikoloji ya forex ni betting.ingekuwa kila mtu kuwini basi isingekuwa kila mtu
@barakanyamafu5937 Жыл бұрын
MTFE nayo mnaijua
@jofreykabobe Жыл бұрын
Hao matapeli nanitofauti kabisa na Forex
@Kilimanjaro_motors Жыл бұрын
MTFE matapeli usithubutu utalia
@jofreykabobe Жыл бұрын
@@nyokonyoko7990 wewe nae ni tapeli tu hayo MTFE sijui Qnet na Kalyanda na maplatform mengn ya namna hiyo ni yautapeli tu hakuna kitu utapata nakama ukipata bas ni bahati yako, kwan hujui wangap wamelizwa hizo platform au unakaza fuvu tu, ndezi wewe forex na crypto ndiyo real sio hayo maujinga yako
@godlovemanase3423 Жыл бұрын
Uyu ni Pro trader ,naqubal saaana.
@DBSSportau Жыл бұрын
Forex ni kama kamali tuuh shauli yenu😂😂
@olesambekelaizer1117 Жыл бұрын
😂😂 endelea kuamini hivyo kama umeliwa wee uliingia bila silaha😂😂
@geofreymanyologa9489 Жыл бұрын
😂😂😂😂 haujui unacho kiongea ila ni sawa tu kwasababu Forex sio kwa kila mtu.
@samwelmrisho3476 Жыл бұрын
Matapeli ninyi
@manuelbaraka2813 Жыл бұрын
Tafuta hekima.
@anordgerison8639 Жыл бұрын
Akili yako n finyu
@IMANWILLIAM-bl2ui Жыл бұрын
akili za kimasikin
@arethi Жыл бұрын
FOREX sio utapeli broo
@Cinetronix Жыл бұрын
tuna familia kk ndo kazi zetu acha kusem utapel km madaftar yalkushnda ucvamie ucvo vjua
@iwambimpya1924 Жыл бұрын
scam
@introverthustler Жыл бұрын
ushawah jaribu wakakuscam, au unaskiaga kuna scamers?