Mwangwi huskika baada ya kugonga ukuta i.e. maguful mtamkumbka baada ya miaka yake 10 nani kama Magufuli piga keleleeeeee maana kelele za vyura majini hizichafui uhalisia wa maji yalivyo
@masoudkipara50534 жыл бұрын
Jaman uyu mzee anafanya kaz aise tumpongeze kwa mazuri anayofanya hongera mze magu
@5facts604 жыл бұрын
Daaah moja ya miladi oliyochelewa ni huu
@solemba5954 жыл бұрын
Pesa mnazo lkn toka 2015 hammalizi kwann, watu watalala wapi?
@sogoirashidi70944 жыл бұрын
Majengo hayo ni marefu sana zaidi ya ghorofa 6 kisheria ghorofa 5 tu inabidi kuwe na lift je hayo majengo yana lift?
@alexsimoni42774 жыл бұрын
Zipo
@aysherkitoi18454 жыл бұрын
Sasa muwakaze kufuga kuku ndani na bata nakupikia kuni kma wapo kijijini shoga angu eliza mambo hayo mrudi home bado kidogo kuisha
@moriscollins44944 жыл бұрын
Akipewa tundu lisu tu anageuza hayo majengo kwa macheni Mana si anawaunga mkono sasa mkosee
@alexsimoni42774 жыл бұрын
Matatizo yahapo tunayajua sisi amba tumefanyakazi apo ata pesa zetu atujalipwa😞😞😞
@eyumededu29484 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Wachawi hawatakaa waishe
@alhassanabbyuladu48384 жыл бұрын
Tundu lissu 🤙🤙🤙🤙🤙
@hamisimussa22284 жыл бұрын
Ndio kajenga au engener kweli uchixi
@donatimr6564 жыл бұрын
Unaumiaaa ni vilee tuu unajihami kucomment lakn kubali tu mzee kaz kazi ,,next time kwa kutetea mashudu kwako na tundu wako mwanao wa kiume wanampakua
@selemankishema57804 жыл бұрын
Jamani hebu naomba komet zenu kwakweli magufuli anafanya kazi hivi viwanja vilikuwa vinadhulumiwa waziwazi au uongo jamaa? Do!!!