Mungu ni yule yule jana leo na hata milele, kwa mfano tukikuta kifungu kizuri kama Yeremia 33:3 niiteni nami nitawaitikia tunatumia hatusemi kwamba alikuwa anaambiwa Yeremia
@PatriciaNyaga-y2hАй бұрын
Wewe ayo maumbiri Yako ni ire nyororo nyororo na tumechoka nayo YESU yumlangoni tuabie ukweri na mungu wabinguni atakumpa kibali ata ukisema ukweri watasikia
@josephineabia78304 жыл бұрын
Ameena
@anicetnhegetela27 күн бұрын
Neno la Mungu halihusiki na desturi za kabila Fulani, Paul ni mitume wa mataifa
@sayunicasmiry43653 жыл бұрын
Akiwa ibani watumishi avae kitambaa akiwa ibadani
@MagrethJohn-w5r5 ай бұрын
Kusuka ni dhambi naomba jibu
@angelitapaulo3 ай бұрын
Suka nywele zako halisi alizokupa MUNGU Suka misuko ya kawaida jumapili fumua bana kwa nyuma funga kitambaa kichwani nywele za bandia ni chukizo kwa MUNGU
@Mamas-06k2 ай бұрын
Kabisaa, Hadi milazo tu , ni dhambi
@sarahmdindile430110 ай бұрын
Neno la Mungu ndio litakalo wahukumu siku ya mwisho, mambo yote yatapita lkn maneno yake yatadumu milele,
@ellychacha2417 Жыл бұрын
Kwa hiyo hata amri ni zawayahudi sio sisi
@dorothynjawa5589 Жыл бұрын
Je mkristo aliyeoka yafaa kutumia milo au kokoa
@hellen90562 жыл бұрын
Kama Hilo neno Lili wahusu wakorinto lisinge andikwa lakini limeandikwa Ili kutufuza na sisi wa Leo
@PatriciaNyaga-y2hАй бұрын
Usidanganye watu Wacha tufunike kicwa
@hellen90562 жыл бұрын
Na kingine mfano sisi waafrica nywele zetu ni fupi kwetu sisi siyo vazi Bali kitambaa kichwani ndo vazi au kufunika kichwa jamani ila kwa wezetu wa isilaeli nywele kwao ni vazi zetu kipilipili tufunike vichwa watumishi simameni kwenye kweli ya neno
@Petros6779 күн бұрын
Barikiwa.
@VanceNjarita23 күн бұрын
NA KUTOA ILIKUWA MILA YA NANI?
@SophiaDamaru2 ай бұрын
Avae tu kitambaa tu kwa kristo ni utukufu stop mengine mwachen kisto
@emilianashirima72293 жыл бұрын
Je! Neno la MUNGU limepitwa na wakati? Kwa kadiri nimesoma biblia neno la MUNGU ni HAI halipitwi na wakati. Naomba watumishi wa MUNGUongozeni neno lililo HAI msitupeleke kwenye theolojia zenu zingatia neno la MUNGU Ambalo ni HAI. Ameni . msitulishe neno la kutuangamiza.hakuna mwanadamu ALIYE juu ya sheria na maagizo ya MUNGU.