NYWELE ZA MKRISTO -- WANAWAKE NA WANAUME--- (1 Wakorintho 11:---) | MTUME MESHAK

  Рет қаралды 14,441

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

Күн бұрын

Пікірлер
@ShukuruDaudi-ue6in
@ShukuruDaudi-ue6in Ай бұрын
Amen 🙏 🙏 Asante Sana BWANA YESU KRISTO atusaidie sana na akuzidishie,akubariki 🙏 🙏
@chantalmavandu4950
@chantalmavandu4950 2 жыл бұрын
Asanti sana na Mungu wa mbinguni akubari
@furaharutondo9213
@furaharutondo9213 2 жыл бұрын
Amen jina labwana lipewe sifa
@serenakimigho8449
@serenakimigho8449 2 жыл бұрын
Asantii mtumishi kwa ufahamu zaidi
@charleskamau645
@charleskamau645 2 жыл бұрын
Hapo ni kweli Kabisa
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 2 жыл бұрын
Amina Sana Mungu nibadirishe kilakitu 🙏🙏🙏🙏
@NamwitaIbraham
@NamwitaIbraham Жыл бұрын
Amen amen sifa nizako milele
@johndeogratias2543
@johndeogratias2543 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana nimekuelewa
@soeurdorismakandahatcher8418
@soeurdorismakandahatcher8418 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumichi Wa mungu !! Thank you Jesus Glory to you 🙏🏾🙌🏾
@benibaraka1701
@benibaraka1701 Жыл бұрын
Mungu turehemu
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 3 жыл бұрын
Asante mungu kwa kumleta huyu mtumishi wako,ili nijue na nijieregebiahe, ninazidi kuelewa,Amen man of God 🙏🇰🇪🇰🇪 .
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Amen Amen mtu wa MUNGU
@lachey4895
@lachey4895 4 ай бұрын
Amen amen
@rebecakigutu
@rebecakigutu Жыл бұрын
Now ndio nimeelewa Mtumishi meshac una karama ya kunenea na kutafsiri kumbe ...nilikuwa sijui kama mtu mwenye kalama ya kutafsi huwa ananena na apo matafsiri yanatokea ..Amen nimejifunza kitu
@marypeter4584
@marypeter4584 2 жыл бұрын
Amen, asante Bwana Yesu kutusaidia kupitia mtumishi wako
@susanwanyoni249
@susanwanyoni249 Жыл бұрын
Amen and Amen ukweli kabiza
@drivenitz7733
@drivenitz7733 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kbs mubarikiwe
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana naendelea kujifunza na, sitoacha kukusikiliza siku zote
@jeannesumaili8718
@jeannesumaili8718 2 жыл бұрын
Asante Mungu kwakunionesha njia nilikuwa nimepoteya kabisa Mungu akubariki 🙏
@furahaeto6193
@furahaeto6193 3 жыл бұрын
Asante sana papa Mungu aturehem
@daudsimon1488
@daudsimon1488 Жыл бұрын
Aminaaaaaaaaaaa
@gmdalalimchamungu_tz1170
@gmdalalimchamungu_tz1170 2 жыл бұрын
Napokea ufahamu huu katika Jina la Yesu. Mungu alisha anza kunifundisha kuhusu nywele nahapa nimepokea uthibitisho kamili, huwa nilichukia kuchonga kichwa lakini pia kunyoa pank, na nilishaweka marufuku kwa watoto wangu pia.
@gracemwangosi9017
@gracemwangosi9017 2 жыл бұрын
Amen mtume wa Mungu 🙏
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
AMENI KUBWA NA MUNGU ANISAIDIE KUTUBU NA KEEP BAKI KUMUABUDU MUNGU KTK KWELI
@dadafrida9202
@dadafrida9202 11 ай бұрын
Amina
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@Deborakasa
@Deborakasa Жыл бұрын
🙌🏾🙏🏾
@nellygathoni2496
@nellygathoni2496 2 жыл бұрын
Mtume meshake ni vibaya kushuka nywele zako natural ni vibaya
@johnstamina8242
@johnstamina8242 3 жыл бұрын
AMINA HAPA KAZI T
@rebekamoses9220
@rebekamoses9220 2 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@celestinecherop7038
@celestinecherop7038 2 жыл бұрын
Amen
@PhoebyMary-ji8zz
@PhoebyMary-ji8zz Жыл бұрын
Man of God pray for me please huwa ni request yangu Kila siku
@mwaliashazaina1836
@mwaliashazaina1836 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@miriammpatrick5795
@miriammpatrick5795 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Tufanye nini basi kunyoa sivyo kusuka sivyo Ku blow dry pia sivo...Eeh Mungu nipe neema ya kuelewa mahubir na maandiko niondolee moyo mgumu
@Itslucky12318
@Itslucky12318 3 жыл бұрын
Amen 🙏🏾😭
@florenciapharles1049
@florenciapharles1049 2 жыл бұрын
Lawi 19:27
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Mm nomeelewa TU timekatazwa kusuka na mawigi na Kama mwanamuke lazima tuache kujipamba tuache ubishi jehanamu ipo
@mercitumusifu8639
@mercitumusifu8639 3 жыл бұрын
Kunyola ni zambi kwa mwanamke. Nywele kwa mwamke ni utukufu inamaanisha alipewa nywele ma fasi ya kitambaa. Uulize Mungu Vizuri kwa ingine ubarikiwe
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 3 жыл бұрын
Kuoa inaaribu utukufu wa Mungu. Je kuoa ni dhambi?
@innocentbaraka7609
@innocentbaraka7609 2 жыл бұрын
Weka maandiko uanziye 1 corinthiens 11 :1 mupaka ku 16 njo utaelewa maana ya maelezo ya kuhusu kufunika kichwa kwa mwanamuke kupitiya Roho mutakatifu katika Paulo. Wewe usisome andiko kisha uikatiye mujia nahauyaelewa conclusion.
@innocentbaraka7609
@innocentbaraka7609 2 жыл бұрын
Kichwa wazi ni kama alinyolewa , lakini wakati kichwa inaonekena inanyele ndefu , maandiko yanasema bien kama ni utufu tayari kwamwanamuke nayakwamba amekwisha kufunikwa tayari! , Kwa maana amepewa nyele ndevu kwa vazi
@daudlukumay2741
@daudlukumay2741 2 жыл бұрын
ATI kuowa ni dhambiy
@carendeborah5687
@carendeborah5687 2 жыл бұрын
Kuoa SI dhambi,Bali kuoa bibi ya mtu ndo chukizo Kwa Mungu,yule bwana wa kwanza ndo ndoa ya halali,ukitoka Kwa ndoa yako ya kwanza,ndoa ya ujane ukaoelewa Kwa mwanamme mwingine Hilo ndo chukizo Kwa Mungu,ndoa haibarikiwi..proverbs 5,7,,,mipango za kando pia ni makosa mbele za mingi..About nywele ,Mimi najua nywele usishuke ,usichanue (blowdry sababu hiyo ni ya kishetani)women's hair is her glory but sijaona kitambaa kila saa Kwa kichwa ,,,about men kunyoa nywele kitute kisimame Kwa kichwa ni mbaya ipo Kwa leviticus 21:5,,tattoos is a sin.Anyway majibu yote imo bibilia,tuifanye bibilia rafiki wetu wa karibu
@MwungeriOlivier-pr3jh
@MwungeriOlivier-pr3jh Жыл бұрын
Munisaidiye namba za meshake
@brendakiwira2299
@brendakiwira2299 2 жыл бұрын
Thank you Mtumishi meshack... How about having dreadlocks? Is it allowed?
@happyemanuel-zc9ob
@happyemanuel-zc9ob Жыл бұрын
Me cjaelewa kabisa ,kwani ukiwa umesuka nywele ukamwita mungu(kuomba) hawezi kushuka et kisa umesuka? Me najua Mungu anaangalia moyo Safi na utayari wako kwake
@StellaLwesya
@StellaLwesya 3 ай бұрын
Pole dada,soma 1 korintho 11 yooote utaelewa ,soma 1timotheo 2:9..... Soma Petro 3 hao nimitume waliokaa chin yayesu asilimia 100, sasa hao niwaongo kama kwamaandiko haya hutaelewa mungu akusaidie maana hata mm nilikuwa kama wewe.usipende kubishana na mungu ila penda kumuuliza mungu je hii nikwel maana wachungaj wengi wanaona wakiwaambia mtahama kanisan kwasababu yatamaa ya sadaka zenu
@gracemwangosi9017
@gracemwangosi9017 2 жыл бұрын
Yesu tusamehe 😭😭😭🙌🙏
@charleskamau645
@charleskamau645 2 жыл бұрын
Deadlocks not allowed in the Bible. Lakini kwa wale hawajaokoka wana Uhuru wa kukaa vile wao wanataka
@jeniphaledaschali4594
@jeniphaledaschali4594 3 жыл бұрын
Nataka kujua naumuulize mungu wewe mtumishi ake je mwanamke hatakiw kufundisha?from tz
@jeniphaledaschali4594
@jeniphaledaschali4594 3 жыл бұрын
Hiii nikweli tupu tupu tupu
@nuruanaelisha8731
@nuruanaelisha8731 3 жыл бұрын
Hiyo ni lugha gani inayotumika kabla ya kutafsiri kwa kiswahili???
@SamuelUwiragiye
@SamuelUwiragiye 2 ай бұрын
Hiyo luga unaongea ilianza lini?
@jeannetisango9685
@jeannetisango9685 3 жыл бұрын
Kitamba chamwanamke ni nwele zake nasiyo kitamba chaguo kwasababu wanawake wengi wananyowa nwele zawo kwasababu havae kitamba chaguo
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 3 жыл бұрын
Leta andiko, usipotoshe watu.
@jeannetisango9685
@jeannetisango9685 3 жыл бұрын
1WAKORITHO 11:13-15
@jeannetisango9685
@jeannetisango9685 3 жыл бұрын
Apo awasemi kitamba chaguo bali nikudegeneza nwele zetu nasiyo vitabaa vigine au kunyowa au kusuka bali nikutegeneza nwele zetu.
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 3 жыл бұрын
@@jeannetisango9685 Sisi tunafundishwa na Roho ila kama unavyo sema ni kweli, kwanini anasema ya kwamba ni bora angenyoa. Yaani tayari huyo hiko na nywele. Sasa kwanini mtu ambae ana nywele aitaji tena kufunika Sasa kwanini awambie eti wanyoe. Kwanini wa nyoe?
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
@@jeannetisango9685 Mungu ashatuvika nywele zake wala hakuambiwa namtu tuwe nanywele ndefu,hvyo anajua tuna nywel ndefu ndio maan anatuamuru tuzfunike
@innocentbaraka7609
@innocentbaraka7609 2 жыл бұрын
Sasa ndugu , nikusema tuondoe andiko hili kwa biblia ? Kwa sababu ukitaka uelewe Siri hiiiiiiii usiishiye pale katikati ya 1 corinthiens 11 : 1-16. 1 Wakorintho 11:13 Je! Inapendeza mwanamke amwombe Mungu asipofunikwa kichwa? 1 Wakorintho 11:14 Je! Hayo maumbile yenyewe hayawafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake? 1 Wakorintho 11:15 Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi. 1 Wakorintho 11:16 Lakini mtu ye yote akitaka kuleta fitina, sisi hatuna desturi kama hiyo, wala makanisa ya Mungu.
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
Ambao wamefundishwa na Roho wanajua Ukweli wa Mungu.
@innocentbaraka7609
@innocentbaraka7609 2 жыл бұрын
Siri ya Mungu Na Siri ambayo Roho mutakatifu inafunuwa ikipinga Neno lililotanguliya ; je! , Roho mutakatifu , Neno la Mungu laweza kujipinga!?. Kwa sababu hadi ufikiapo hautapata katika maandiko kwamba kivuniko ya kichwa ao vazi la kichwa ni hiyo kitambaa wanaenda kununua sokono , hâta nawewe na hili ninalosema unajuwa vizuri sana kwamba kwa uwajibu wa maandiko matakatifu sisemi uongo. Labda tuite Roho mutakatifu iliyo funuliya Paulo kwamba ni ya michanganyiko? (jambo ambalo hata wewe n'a hâta mimi hatuezi tukasema) , labda Roho mutakatifu iliyo funuliya Paulo ni mbili (jambo ambalo hatuezi tukashuhudiye). Ila kama tunapasha weka musingi wa maandiko matakatifu katika Yale Paulo aliyo funuliwa , ingelitubidi tufahamishwe kumbe nazengine vitabu vya biblia kuhusu mwanamuke wakati alikuwa akifika mbele ya Mungu , je! , Alikuwa akitoshwa kitambaa ili kubaki mbele ya Bwana Mungu nanyele ndefu peke Yake ? Posons le fondement sur les écritures saintes : Hesabu 5:18 kisha kuhani atamweka mwanamke mbele za BWANA, naye atazifungua nywele za kichwani mwa huyo mwanamke, kisha atampa hiyo sadaka ya unga ya ukumbusho mikononi mwake, ambayo ni sadaka ya unga ya wivu, naye kuhani atakuwa na hayo maji ya uchungu yaletayo laana mkononi mwake; Hesabu 5:19 tena kuhani atamwapisha huyo mwanamke, naye atamwambia mwanamke, Kwamba hakulala mtu mume pamoja nawe, tena kwamba hukukengeuka kuandama uchafu, uli chini ya mumeo, maji haya ya uchungu yaletayo laana yasikudhuru; Ufike mupaka ku verset 21 kwenye mwanamuke anaapishwa mbele za bwana ! , Hasa kwa maombi mbele za Mungu tangu awali , wanawake walikuwa wakifika mbele ya Bwana Mungu wanaondoa hicho kifuniko kya sokoni ili kubaki nakifuniko cha kichwa ambacho Mungu aliwawekelea!!! Nandiyo conclusion ya mutume Paulo.
@innocentbaraka7609
@innocentbaraka7609 2 жыл бұрын
Ndugu shabaa yangu si kukufuru Ama kutusi Roho ya Yesu Kristo inayokutumikisha kwa kazi ya Mungu. Ila ya zaidi nikuzidi kuombeana na usiwayi tena towa andiko ya 1 corinthiens 11:15 ku internet ambapo dunia yote wanakutazama kisha uipatiye andiko ambayo inaeleza kinyume , hapo utakuwa umeiabisha huduma ambayo unayo.
@JESUSISLO891
@JESUSISLO891 2 жыл бұрын
Shida yako ni moja kwa kawaida tunajua wazungu wako na nywele zao na si bandia wala wigi Bali waafrika wanasuka nywele ambazo si zao wala hawajui zatoka wapi!
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 2 жыл бұрын
Amen
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 10 ай бұрын
Amen
@ASIYAMUSA-tr9kr
@ASIYAMUSA-tr9kr 6 ай бұрын
Amen 🙏
MAJINA YAO YAMEONDOLEWA KWENYE KITABU CHA UZIMA
32:00
Ukweli Ministries
Рет қаралды 22 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Kukosea Ishara: Kuvumbua Ukweli Kuhusu Kurudi kwa Kristo
46:49
Ukweli Ministries
Рет қаралды 2,4 М.
UJUE UCHAFU WA WIGI NA MAPAMBO WANAWAKE.
15:02
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 43 М.
MALIYABWANA VS NDACHA: YESU NDIYO MUNGU PEKEE AU MUNGU MRINTHI?
58:31
Ukweli Ministries
Рет қаралды 1,6 М.
NDOA YA KWELI NA UMUHIMU WA KANISA | Apostle Maliyabwana
1:16:05
Ukweli Ministries
Рет қаралды 2 М.
MAKAHABA KANISANI |MTUME MESHAK LIVE
2:05:39
Ukweli Ministries
Рет қаралды 10 М.
Hizi Ndizo Sababu za Makanisa Kuharibika | Apostle Maliyabwana
30:17
Ukweli Ministries
Рет қаралды 1,4 М.
APA YANG BERLAKU DI SYRIA HARI INI ???
23:06
PROmediaTAJDID Short Video
Рет қаралды 76 М.
MASWALI NA MAJIBU | MTUME MESHAK LIVE 1.8.2022
6:01:30
Ukweli Ministries
Рет қаралды 6 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН