No video

"UMEPOTEZA VIGEZO VYA KUWA MUISILAMU" MUNGU HAWASAMEHE WATU KAMA HAWA | SHEIKH MSELEM BIN ALY

  Рет қаралды 13,556

Adil TV

Adil TV

Күн бұрын

#AdilTV

Пікірлер: 20
@shaibubanks6273
@shaibubanks6273 4 ай бұрын
Sheikh msellem nakupenda kwa hajiri ya Allah ❤
@kaidiSaid-ot9nl
@kaidiSaid-ot9nl 4 ай бұрын
Jazaka llahu khayrahu tunamuomba Allah atuongoze katika kheri
@user-pz1rm7yl5b
@user-pz1rm7yl5b 4 ай бұрын
Allah akujaze kheir kwa darsa zako
@RashidPongwa
@RashidPongwa 4 ай бұрын
Assalam alaykum,unajitahidi shegh wetu,mugu akulipe kwa wema,tusirudi nyuna kuitangaza haki.
@user-ws6jq4in7q
@user-ws6jq4in7q 4 ай бұрын
Kwa mm binafsi huyujama nimaluuni hawezi samehewa Maulamaa wanatoa ilmukwa wenyekhof yaallah
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 4 ай бұрын
Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh hapa hapana Allah husamehe hata mushrikina akifanya tawba acheni kufukuza watu waiteni muwape ulinganizi watarudi nyuma watubie n wasiregee huko tena msikifurishe watu ambao n ujinga unawaongoza
@mohammedalghannami3150
@mohammedalghannami3150 4 ай бұрын
Adil Tv, mumejiwekea Sifa kubwa Kwa mda mrf kutokana na Post zenu na ukweli wenu, Sasa mbona munakua waongo Tena na wazushi, Sasa Harmonise katajwa wapi hapo? Kuweni makini Musipoteze Sifa zenu ....., kutafuta view Kwa siku moja, na kupoteza uaminifu wenu, haijakaa sawa😢
@user-hs1yn1en7k
@user-hs1yn1en7k 4 ай бұрын
Kwa yeyote anaye'kufuru ni lazima aongelewe..Adili TV ni channel ya dini...Hapo shida iko wapi?
@user-jx7ot4ru7l
@user-jx7ot4ru7l 4 ай бұрын
Usiwe na chuki
@mohammedalghannami3150
@mohammedalghannami3150 4 ай бұрын
Kuonyana na kupeana Nasaha ndio Dini yenyewe, na Ummat wetu umekua Bora zaidi ya zilizopita Kwa kuwa tunaamrishana mema na kukatazana mabaya ila nilichozungumza ni Uongo WA Adil Tv, wameweka kichwa cha habari chengine, na Nasaha ni nyengine kabisa ambayo haihusiani na kichwa cha habari.
@yusufabdikadir4260
@yusufabdikadir4260 4 ай бұрын
Sheikh ni Aya gani humsamehe mshirikina hebu tusome Sheikh
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 4 ай бұрын
Nyinyi mnaomhukumu Harmonize eti Mungu hamsamehe,na nyinyi mangapi mmeyafanya mabaya? Hebu me acheni na muache kuhukumu msije mkahukumiwa. Mnajifanya miungu sasa.? Me acheni mtoto wa watu hajafanya baya ambalo wengine hawajawahi fanya. Uislam sio lmani ni Dini tu,je Mungu ana dini? Acheni kuchanganya watu hapa na kuwatishia.
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 ай бұрын
Sheikh Msellem hawezi kuongelea Utumbo ule.. Tuondolee hiyo picha hapo... Au na wewe unatafuta kick.. Kiswahili chenyewe kimekupitia kando😂😂😂
@mohamedbushoberwa9418
@mohamedbushoberwa9418 4 ай бұрын
Huyu Msanii atoe shahada tu upya .. mambo yasiwe mengi ashatoka kwenye Uislamu
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 4 ай бұрын
HAOVIONGIZI WA ZANZIBAR NDIO WANNAFIQ, MAANA HATA VIONGOZI WA KUWAONGOZA WANACHAGULUWA NA MAKAFIRI WA TANGANYIKA👀!
@tanzaniagood8695
@tanzaniagood8695 4 ай бұрын
Siasa azina dini
@OmarAbdalla-ug5yg
@OmarAbdalla-ug5yg 4 ай бұрын
Muogope Allah
@yusufabdikadir4260
@yusufabdikadir4260 4 ай бұрын
Huyu msani amekoseya na hao wote wanae mtetea na wawo nimakafiir sawamjue hivo mkatae aw mkubali nyinyi ni makafiir anyway
@MohamedKasalama
@MohamedKasalama 4 ай бұрын
Maneno hayo angeyatamka ,lran au Saudia shughuli ingekuwa imeisha siku nyingi kafiri mkubwa huyu amonais
KISA CHA MAMA ASIYEKUA NA KHERI KWA WATU // SHEIKH OTHMAN MAALIM
50:30
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 22 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 24 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
Ndoa Official Lyric Video.
5:03
TUCASA TIA SINGIDA CHOIR
Рет қаралды 28
ALAMA ZA KUPENDWA NA ALLAH || SHEIKH KOMBO ALLY FUNDI ||
3:58
ABUUKHUBAYY
Рет қаралды 8 М.
EXCLUSIVE: AMANI KARUME ATEMA CHECHE, AFUNGUKA SAKATA LA BANDARI
25:11
Daily News Digital
Рет қаралды 62 М.
MASWALI YA BANDAUA NI UPI UMUHIMU YA YESU KWA M/MUNGU
38:06
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 7 М.
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 106 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44