Mashaallah Allaah akuongoze na akuepushie nafitna za ulimwengu na akukinge na maradhi mabaya na mwisho mwema Inshaallah ❤ Nakupenda kwa ajili ya ALLAAH ❤
@JinaJuma-gy1usАй бұрын
Jazakka Allah kheri Allah akupe umri mrefu sheik wetu
@Annalisejg2urАй бұрын
Amiin
@aminakassim831Ай бұрын
Wallah nikikusikilizaga Imani inazidi wallahAllah swt akujaalie pepo ya firdausi ww na kizazi chako amin
MashaAllah tabaraka Allah sheikh Allah akuajalie kila la kheri katika mambo yako leo hapa duniani na kesho akhera na atuajalie sote waislam na mwisho mwema
@yusufuheri6524Ай бұрын
Mashaalah sheikh wangu
@amaniurio57711 күн бұрын
Allah amjaalie mja wako huyu na waja wako hawa na wanaofatilia wajaalie janat firdaus
@ziadamiraji9511Ай бұрын
Mashallah sheikh wetu Allah akulipe zaid akhera na dunia inanifundisha mengi wallah 🙏
@mkasi-g6z25 күн бұрын
Mashallah mi nakupnda kwa ajili ya Allah mkono kwa mkono had peponi inshallah ❤❤
AllahuAzzauwajallah akuondolee magumu akupe umri mrefu pia akupe jannatul firdaus
@FATHIAABDI-j7e6 күн бұрын
Hamnaa jaman shekh anasema kweli huyu tatzo letu sisi waislamu wengne hatuwezi kujituma hata kidg unataka upewe utajiri tu bila kuuhangaikia hata kwaduaa wakat wengne wanahangaika mchana wakutwa kutafta hela shekh asante sana kwamawaidha yko mazuri allah akulipe heri usichoke kutufundisha tupo wengi tunaokuskiliza
@TausiMussa-z5nАй бұрын
Asalam aleykum warahmatallah Allah akuzidishie Kila la kher kwakeli unatukumbusha sana na kutuelimisha
@user-dq1lm2be2uАй бұрын
Shukran jazakallah Allah atufanyie wepesi
@user-qx1nm8kp9bАй бұрын
Shukuran sheikh othman wag ❤❤❤
@malikahodhiambo266628 күн бұрын
Allah atupe wepesi atutakabaliye dua zetu inshaallah
@ashamasudi1850Ай бұрын
Mashaallah sheikh Allah akuhifadhi
@NassourJumaАй бұрын
MashaAllah Allah akupe umri mrefu na akupe furaha hapa duniani na kesho akhera. Aaaamin
@AgahozoAsmahАй бұрын
Shukrani Allah Akuongezeye elimu
@HemediMussa-gx4gxАй бұрын
Asante sana shekh kwa elmu mzuri
@asiamkindi7306Ай бұрын
Shukraan sheikh Michael kwa mafunzo mazuri
@ShaomoShahomiАй бұрын
Jazaka Allahu kher
@umutoniviolette3312Ай бұрын
MashaAllah Allah azidi kuku ongoza sheikh
@user-lp5zw6bb5d21 күн бұрын
Jaxakumla kheran shukran
@ShekhaIssa-pg7uu21 күн бұрын
Allah izeed
@samsalma9122Ай бұрын
Allahu akbar mashaallah Allah akulipe kila kheri tunafaidika mengi n'a wewe
@IddyMkongeАй бұрын
Mashaallah
@user-lz3vk5yb4dАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉mashaallaah kweli kabisaaa
@Fatama12-ec1pmАй бұрын
Mashallah hekh othuman Allah akupe khery jaman mwenye kuijua dua ya Ayubu naomba aniindikie nam niijue inshallah
@mashallahlekuleАй бұрын
Yaa rabbi anniiy massaniyadhurru wa anta arhamu rraahimiin
@eliasaamina9165Ай бұрын
Mi naomba tafsiri yake
@eliasaamina9165Ай бұрын
Mi naomba tafsiri yake
@mayangeramadhani8497Ай бұрын
Masania dhur waanta arhama rahimini farhamni birahmatika ya rabi
@SelemaniHatibuАй бұрын
Rabbi anniii massaniya dhurru wa Anta arhama rraahimiin.
@nyawendacyprian8174Ай бұрын
SHEKHE ungetuandikia hizo Dua kwa kiswahili hakika ingependeza Sana!!!
@AishaAisha-oj1yqАй бұрын
Allhamdulillah Allah akuhifadhi
@aminamselem566924 күн бұрын
Ma shaa Allah, shekh Othuman, Allah akupe kwa dua nzuri za kuondoa shida zetu, naomba dua alioisoma Nabii Ayub ni sura gani na aya ipi ktk qur an
@NiyonkuruRadjabu-bf9bqАй бұрын
MAY ALLAH BLESS YOU.
@RamadhanCongeraАй бұрын
Naam allah akuripe kheli shekhe
@denochage2407Ай бұрын
Mashalllahu Taqabalahu
@ashuus94618 күн бұрын
Allah akupe janatul Firdaus na akhli zako
@marietheresenyandwi867128 күн бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu akupe umri mrefu uzidi kutujuza duniani na akhera❤amiiiin ❤
@khaulalivigha8722Ай бұрын
Kila la kheri shekh
@Nduwayodjamilla25 күн бұрын
Allah akupe umri mrefu na mwisho mwema sheikh
@rashidihamisi8645Ай бұрын
Mashallah
@AminaMariam-cz9kp27 күн бұрын
Rabbi inn Lima anzalta ilayya min khayri faqeer
@AminaMariam-cz9kp27 күн бұрын
La illaha ila anta subhanaka inn kuntu mina dhwalimina
@AbdiNura-jk7nxАй бұрын
Allah akulipe shekh wetu
@user-pw7sv7iv4yАй бұрын
Assalamualaikum warahmatu Allah
@NuruKijokaАй бұрын
Asalam Alaykum aliyeelewa dua vizuri,naomba aiandike kwa kiswahili tupate kuisoma InshaAllah Allah awalipe kwa Aliym
@user-my5jm4ko5pАй бұрын
Alhamdulillah
@omarsultan4502Ай бұрын
Siri z dua kwl hasa hamzitaji ni km vile mfanya biashara ukimlz biashara unayofanya inalipa atakujibu hailipi kumbe hataka ufanye n ww
@user-lp5zw6bb5d21 күн бұрын
Aslm alkm wwt brother dua ya kunganisha waliogombana watu wa familliar moja fitnah ikaingia katika familliar hadi mume na mke wakatengana sheikh tunakuomba utufunze namna ya kuomba dua cc ni wanafunzi wako shukran sheikh
@TausiMussa-z5nАй бұрын
❤❤
@user-lp5zw6bb5d21 күн бұрын
Asalam alekum warhamatulahi wabarakatu brother ni dua ghani inaokubalika ukiamka salatul leil
@Rehema-l1nАй бұрын
Mwenyimungu akupe tawfik njema.
@TausiMussa-z5nАй бұрын
❤❤❤❤
@HemediMussa-gx4gxАй бұрын
Haniallak shekh
@aishamakiya486Ай бұрын
Allaah akuhifadhi Tunafaidika sana na mawaidha na adh'kari mbalimbali Alhamdulillaah