Mwamnyeto hatufai. Tumwache aende Coastal akawasaidie. Umri umeenda. Tusichukue zaidi ya umri wa miaka 27. Tunataka kuwatesa watu msimu huu.
@harunaswai85146 ай бұрын
Naomba msipende kufanya usajili wa wachezaji bila cocha baadaye lawama kwa kocha
@harunaswai85146 ай бұрын
Tumuongezee mkataba baleke .Bado anatufaa sana
@ShingolyoMipawa6 ай бұрын
Tano zile za yanga zinarud mwaka huu
@ShingolyoMipawa6 ай бұрын
Simba ya moto mwaka huu mo kaamua
@LassonDominick6 ай бұрын
Uchambuzi wakijinga!! Munaonhea nyinyi kama akina nani! Sisi tunasubiri simba watamke wenyewe sawa eee
@UpendoKakata6 ай бұрын
Manara Bado au kalia amekaza
@namtingakassim55296 ай бұрын
Wachambuzi mbuzi Mwanyeto wakazi gani sibora Kenedy
@msurimtenukila67456 ай бұрын
Mwamnyeto wa nn duka lile
@JosephCharles-b8b6 ай бұрын
Huku simba kunaonekana kuna machawa na wapuuzi kwanini kila siku tarifa za usajili zinavuja na mara nyingi wanaposti wachezaji wakijinga ili wasikie mashabiki watasemaje na ili waendelee kupiga pesa
@JosephCharles-b8b6 ай бұрын
Hawa wa ivi huwa wananunuliwa ili kuendelea kusifia ujinga na wachezaji wapuzi
@IbrahimPetroMollel6 ай бұрын
Ni mapambano makali tu
@harunaswai85146 ай бұрын
Mwamunyeto hapana ni garasha
@onesmomalifedha47096 ай бұрын
Siku zote mnaanzaga hivyo halafu kwenye msimu mnapiga yowee!??
@JohnJoseph-qq7ow6 ай бұрын
Umemwona mtu WA simba anaongea au unawashwa
@onesmomalifedha47096 ай бұрын
@@JohnJoseph-qq7ow John!!!,acha hasira basi kijana wa Mudi.
@alfredrutaguza75066 ай бұрын
Bado wachambuzi ambao ni washabiki wa simba mnaendelea kuiharibu timu yenu kwa propagander