Nikweli hatakama mdamwingine hatuhitaji waseme vitu juu yanchi yetu ilakwenye upotevu wawatu Raisi wetu anatakiwa apambane taifa linachafuliwa sifa kila kukicha mtukapotea mara kauwawa kiukweli tunaogopa sana kwasasa
@ShukuruLazaroАй бұрын
Tanzania saiz inatisha
@godfreyhiza1075Ай бұрын
Mtu akifariki kawaida tunalia, maumivu ni makali sana mtu anapohujumiwa maisha, tulinde haki za raia kwa nguvu zote!!!
@HemedyLukindo-y9hАй бұрын
Hili tatizo linaweza kutatuliwa na viongozi wetu wenyewe nchi hii inahazina ya kutosha viongozi ,inatakiwa hili jambo likomeshwe mara moja na sio jambo la kufumbia macho,wala haliitaji kauli za nchi za ulaya maana wao ndio wachochezi wakubwa.
@deven.oauditx7547Ай бұрын
Hivi ni nani alisema utekaji ni drama tu za uongo?
@rithaurassaАй бұрын
Watu wakitetewa wanaleta longolongo la amas na israel.Wew uko TZ au amasa jitambueni Watanzania haki zenu ziko kiganjani mwenu sio swala la kiki mitandaoni.
@zuberimohamedi5761Ай бұрын
Asiye jitetea hapaswi kuonewa huruma
@mkombozikitendo7347Ай бұрын
Mungu atusaidie Sana
@LuganoAmwamsojoАй бұрын
❤❤❤
@phillipmasungwa7365Ай бұрын
VIONGOZI WA CCM WANACHOJALI WAO NI KUWA MADARAKANI KWA NGUVU BILA YA RIDHAA YA WANANCHI KUPITIA UCHAGUZI HURU NA HAKI.
@ikulunimahalipatakatifu7642Ай бұрын
WAKOLON SIYO WEMA SIKU ZOTE WANA N'GATA UKU WANAPULIZA... AKILI KICHWANI..,
@hamisimwinzagu6624Ай бұрын
Mmeitia doa kampuni ya tashirifu ingekuwa nchi ya kujali na kuthamini utu Kwanza iyo kampuni ingesimama imala kuanzia mwanzo adi mwisho wa hii kazia iliojitokeza kwa sababu abiria alikuwa chini Yake yeye kwenye basi la kampuni ya tashirifu lakini Acha tuone itakuwaje
@Omar-q2r7iАй бұрын
Hao wote niwahuni
@ototek8037Ай бұрын
Hizo ni kauli za kumzuga muafrica, hao wanaotekwa na kuuliwa ni kwamaslahi ya hao mabeberu, kazi ya mabeberu ni kumsaidia na kumlinda yule aliyeko madarakani kama kakidhi vigezo vyao ama kumuondoa yeyote kwenye utawala kwa propaganda kivita ama sumu kama atakuwa kinyume nao kama walivyofanya kwa Magufuli au Gadafi. Mama au utawala wa Tanzania kwa sasa tunawanyenyekea wazungu na tunafanya vile watakavyo ili kufunguwa nchi kiuwekezaji (unyonyaji). Deni la makinikia tumesamehe na tumeruhusu udongo uendelee kusombwa kama mwanzo na serikali imewageukia wananchi kwa ukali na kupandisha kodi kila bidhaa na huduma za miamala ya kifedha sambamba na misako ya TRA. Hii ni furaha kwa mabeberu na viongozi wetu coz deni la taifa linaongezeka na hakuna kinachoonekana, miradi iliyoachwa na Magu inasuasua speed hakuna na mingine imetelekezwa. Hii inawaongezea myaka mingine mabeberu kututawala.
@husnmjuba4978Ай бұрын
Mahuni kwelikweli. Sisi ndo tuyasemee na sio wao kutusemea sisi. Mana kisiasa tumewazindi kiwango kikubwa mno.
@GodfreyMwamasoАй бұрын
Basi msiende kwao kuwaomba msaada si mnajifanya mnajiweza
@husnmjuba4978Ай бұрын
@@GodfreyMwamaso Hyo ni Ideology tu acha wenge. Na Kama ni msada basi kaombe na wewe. Hapa akitokea mtu akaziba mifumo yao kuchukua vyetu unahisi wataishije?
@digital-d2tАй бұрын
Haya mambo ya utekaji na mauwaji yanahuzunisha na kuogopesha ila haya matamko mara ya marekani, ulaya cyapendi coz wao ni wachochezi WA vurugu kwa nchi za Africa na hawana msaada wowote.
@mugishamajeba9628Ай бұрын
ivi kati ya wanao teka na kuua na wanao tamuka je ninani muchochezi apo
@3leggedbird222Ай бұрын
Yani kuna watu hawajitambui dunia inakemea uovu ye anasema uchochezi@@mugishamajeba9628
@MrA24GАй бұрын
@@mugishamajeba9628ha ha ha ha ha
@SumuuKijokaАй бұрын
popo bawa huyu atakuwa
@MasoudChigonaАй бұрын
2nackitika ila hawa wa2 wakatazame mataifa y wa2 wanaokufa huko Palestine wa2ach
@mbojetalaga2670Ай бұрын
Umoja wa ulaya majambazi tu hawalani kuja kutuibia rasilimali zetu mfano madini, mtu mmoja wanalani wakati mahospitali watu wanakufa kwa kukosa dawa na kushindwa kumdu matibabu.
@AllyNassor-de6ckАй бұрын
Kweli hao wahuni tu wanataka rasilimali zetu hakuna kingine
@TatuCharles-f5mАй бұрын
Sasa madini inausika vipi na vifo vya watu
@phillipmasungwa7365Ай бұрын
wasiseme ila misaada yao mnaitaka.
@AhmedSalum-s9mАй бұрын
Wanafiki Hao wanaanza ulaya
@allonjoseph5467Ай бұрын
kwa hiyo ww ndg unafrahishwa na mambo yanayo endelea nchini?
@IbrahimElly-p5cАй бұрын
Yaaan ww unaumwa
@twalibulomy-cd4zdАй бұрын
EU na wenzake ni wanafki. Kwanini hawa kemei Isra-hell kwa mauwaji ya watoto na wanawake wasiohusika na Hamas. Wanasema ni taifa la Mungu, ila babu zao Walinyonga Yesu.
@kimeinetwork4599Ай бұрын
We acha ujinga. Kwan ukiwa ccm lazima uwe mjinga.
@elishadalton1866Ай бұрын
Hao Palestina wanakuhusu nini..? Mbona huongelei ya Congo
@aproxaproxАй бұрын
@@elishadalton1866 na hao umoja wa ulaya ya huku Africa yanawahusu nn? mbona hawaongelei ya kwao?
@twalibulomy-cd4zdАй бұрын
@@elishadalton1866 na huko pia, safi. Wanaleta unafki tu.
@twalibulomy-cd4zdАй бұрын
@@kimeinetwork4599 na ukiwa chadema lazma uwe Kama alqaida. Uropkaji, fujo Kama nguruwe af wanachokitafuta hawa kipati. Na Mazwazwa kama nyie mpo kusema Komaa Kamanda . Chama cha wachaga na waizi.