Duh stories nzuriiiiiiiiiiiiii. Km na wewe unaikubali hii gonga like.
@DrSanai5 жыл бұрын
Ambao tumebahatika kuishi nje, tunaelewa uhalisia. Vijana wenzangu tuthamini kwetu, tubaki nyumbani tupambane nyumbani, tupajenge nyumbani, tupapende nyumbani, inawezekana sana kufanikiwa nyumbani....maisha nje ni gharama sana
@fatumazuber75135 жыл бұрын
JUMA SELEMANI SANAI kweli broo
@africanboyamani86405 жыл бұрын
Nakubari
@palokuthereza25555 жыл бұрын
Very true tena nchi za watu ngumu sana
@omarymansuri24065 жыл бұрын
Kweli kabisa Kaka J Me Mwenyewe Nipo Durban now
@ilovejesus93035 жыл бұрын
True kabisa from USA
@hundamaniamania8725 жыл бұрын
Duuuh Wesgate cort no 09 From john foster dahhhh hyo kitambo sana Pamoja mwamba🤙
@muktartz73145 жыл бұрын
Leo naomba like ya Millaedayo #milladayo
@yascoguidezanzibar5 жыл бұрын
sema mshkaji anaju kujieezea kinoma bless kk we fighter kak
@mwanalikhamis98754 жыл бұрын
basi tusimtanie mungu unavaa herini
@albertmichael86755 жыл бұрын
Pole sana kaka kila mmoja huwa na historia ya maisha kwaiyo umri wako bdo mdgo pambana nyumbni mambo yatakaa sawa tu kalibu katka kilimo
@goodlucktemu31495 жыл бұрын
Kama umemkubali mpambanaji uyu gusa like acha chuki.
@bopatzbopatz54195 жыл бұрын
Ammnueli mnyama
@mudysadiki61465 жыл бұрын
Da pole sana kaka kwa maisha magum ulio pitia mungu bado ataendelea kukulinda ila kua makini sana
@paulothadeo97305 жыл бұрын
Nije
@bekabakari95954 жыл бұрын
Goodluck Temu
@Bensonfrank255 жыл бұрын
Millard Ayo Hongera Sana, Keep Inspiring.
@abduladhimually35425 жыл бұрын
Alyesikia jonas bagi kama mimi agonge like twende zetu😂😆
@SamGatiNHO5 жыл бұрын
abduladhimu ally tulipekwa kituo cha Sentelo ( central ). Ukikutwa Guiliti ( guiltily) hahaha
@bjzee19815 жыл бұрын
Ndio kinacho watambulisha. Pengine hata anaulizwa ajitee ana baki kusema mi no Tanzania mi No sif.
@fredmsigwa40475 жыл бұрын
Hahahaaaa!!!!Jonas bag
@yvonnepeter34875 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@zullaicamatola34315 жыл бұрын
😂😂😂😂
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Subhannallah, mtihani kwakweli, maisha ni safar ndefu mmmmh! Pole sana kaka, ila umeniudhi kuweka matatoo usoni, mtu akikuona tu, atakufikiria ni jambazi kweli.
@ruuh51494 жыл бұрын
Mambo naomba nitaft 0683924441
@Nacy_katoto5 жыл бұрын
Daaaah Cdhan km utakua sio ww Ben wa keko Magereza,,, nakumbuka Pale Wailes secondary school mwisho kukuona home boy ila pambana ndo changamoto za maisha ayo....Daaaah Respect Boyi
@saedrashed28965 жыл бұрын
Nacy Avelin katoto .. avelin laurian
@geophreymwakasyuka38255 жыл бұрын
Nimewai kuwa huko Durban to jburg, southafrica unatakiwa kuwa fighter kweli, pia unatakiwa kuwa mpiganaji toka day one.
@sanifumedia96145 жыл бұрын
Story ya kizushi za uhakika bonyeza link hi kzbin.info/www/bejne/eoucf6mqlMybbtU
@2pacdaud295 жыл бұрын
Cool bro unalijua life kaka Godbless yoh ma men
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Pole sana bro tunajifunza kupitia ww kweli ukiwa huna hatia Mungu anakutetea mahali popote
@apostlejackpraise21165 жыл бұрын
Me mkenya ila sipendi watanzania wengine wanavyo mkosowa huyu dogo kwa kizungu anachoma I kiongea, mbona wazungu wakiboronga kiswahili hamuwacheki, acheni unafiki bana... Kaka usijali tunajifunza kutokana na makosa yetu
@veronicamkali62835 жыл бұрын
jack praise uko sahihi
@mwadangalamwanjelile54695 жыл бұрын
@Mwajuma Kilobwa m
@khadijasaid54615 жыл бұрын
Hata hao wanao kosoa pia awajui 😂😂😂 ni Kweli wa tz tunatupia hiyo sana 😈
kijana huyu yuko honesty sioni kwanini kumtukana. ila watu wengine matunzo ni jadi yao🤔🤔🚞
@mnyakitz20075 жыл бұрын
Millard ni fundi wakuuliza maswali cjui kwann wengine wanaletaga ucheshi kwenye interview...
@mpondamedia24165 жыл бұрын
U
@emmanuelchizenga15725 жыл бұрын
Tupendane watz na tumepende home kwetu maisha maagum kokote kikubwa ni tupambane tu popote waungana
@aishaabdallah39065 жыл бұрын
Gud.. Mpambanajiiii Tuliosoma Wailesiii ..tujuanee Like muhim
@meedaafarai96775 жыл бұрын
Pole kaka. Maisha mitihani. Umefika nyumbani. Mshukuru mungu.
@adillhabib20065 жыл бұрын
MEEDAA FARAI mitihan kaitafuta mtu anae tafuta haishi kama mjinga hvo huo ni upuuz waish kwa kuiga wahuni
@husseinmunga95915 жыл бұрын
kama we ni mkenya 👇🏿
@robertdaud98945 жыл бұрын
Npo Pritchard Johannesburg ,the truth is life is hard needs patient passion and persistence .As men we were born to hustle l will fight a fight till I die as a real nigga
@safiamontana43335 жыл бұрын
Interview ipo poa ongera saaana Millard ayo but angalia kwenye maendeleo nazungumzia about 🎤🎤 siku izi kuna zile ndogo inakua hungoji kucha ngia n mgeni wetu kitu kama icho big up bro naipenda kazi yako 💪💪
@Burner_Acc5 жыл бұрын
Kwa huo muonekano lazima awe mtuhumiwa sehemu yoyote. Hata kwenye daladala mtu akipoteza simu lazima waanze nae
@allymtz43485 жыл бұрын
Hahahahaa
@kulwajoel24655 жыл бұрын
anasema uongo watanzania wengi walishakuwa waarifu south africa
@elinahdaudi81955 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@richardcharles52105 жыл бұрын
Hahahahahahah
@romeoromeo41255 жыл бұрын
Umeona eeeeh
@hollymore49045 жыл бұрын
Kofia ime egeshwa kisela sana Millard... Si unajua bana!!
@raheemamkambha60135 жыл бұрын
Swaga🤣🤣🤣
@hollymore49045 жыл бұрын
@@raheemamkambha6013 hahahaa...noma sna mama
@nyamarungujr78345 жыл бұрын
@@hollymore4904 anamuhoji msela lazima awe kisele ili apate details
@ashab25375 жыл бұрын
Na vijana wengi wanaoingia south Africa ni wengi mno wachuuzi wa madawa ya kulevya, Na wao kwa wao wana tabia ya kuchomeana
@alphaleahibrahim89045 жыл бұрын
jamaaa tayari anadegrii ya maisha , high confedence 9c
@ismailkatala47925 жыл бұрын
I think before judging his appearance......kuna kitu cha kujifunza kwenye story ya huyu bro na lengo la hii interview ni kutoa lesson kwa Jamii hasa vijana.....But naona wengi naona tunajikita kukosoa mwonekano na grammar......Maneno ya busara unaweza kuyapata hata kwenye mdomo unaonuka.....!
@AIPusle5 жыл бұрын
Ni kweli bro
@jacksonchimomo5545 жыл бұрын
Ismail Katala Achana nao hawana Akili wajinga Sana
@bahatijuma1445 жыл бұрын
peter adriano MN
@amanimanase57945 жыл бұрын
Daaah real broo
@muharamijuma41485 жыл бұрын
pole hom boe hizo nichangamoto tu za maisha one day yes
@johnsonpaul28835 жыл бұрын
Ungemchikua huyo kijana beni anafahaa kuwa mtangazaji anasauti ya utangazaji na swaga za utangazaji pia anafaa kuwa reporter
@luciangeorge46425 жыл бұрын
kabisa jamaa anasauti ya utangazaji kabisaaaa
@mdachiog52115 жыл бұрын
Kabisa anafaa
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Exactly my dear
@yussufmoha4 жыл бұрын
Reporter na utangazaji n komoja
@abbynamungu47834 жыл бұрын
Eeeeh, bwana good story hayo ndo maisha kiume never give up
@mntwanawabantuacademy41705 жыл бұрын
what about WaMaasai.. wana hereni ni tatizo?,, also, i it a problem , why people dissing him, stp judging a book by a cover, kila mtu atabeba mzigo wako, he is smart kid, i feel him, ni soldier huyu mchini namheshim sana, annikumbushia nililala miaka MITATu homeless, NJE, chini ya mdaraja, nilikuwaga ombaomba, kwa miaka mitatatu, nikachekwa sana, iliniuma sana, KABLA SIJAANZA KUFANIKISHA MALENGO YANGU NA WENGI WALINING'ONGA SANA , jah amenibless,
@apostlejackpraise21165 жыл бұрын
True man....
@masawemushi75155 жыл бұрын
Lv daban
@zainaburamadhani96504 жыл бұрын
Aaah,nimesoma nae jaman tang msing paka secondary wailes
@chriskingnampoto32145 жыл бұрын
Millard ningeipata hio rozari ingekua fresh sana
@hassanigustavo38565 жыл бұрын
Km hujapita masha Fulani hujakomaa
@danilopato84725 жыл бұрын
Bob.pole sana.ila mungu akusaidie utoboe kweny maisha kama ulivyoweza kutoboa sikio mungu.akutie nguvu
@mlugumbogo76755 жыл бұрын
Chizi ww😹😹😹😹
@danilopato84725 жыл бұрын
mlugu sasa MTU kama uyo jinsi alvo akipita kwako atakama kuku kaenda kuzurula lazima utahisi kama kaiba tu
@alimohammedali49255 жыл бұрын
Ben Kiwale Pritchard street & mooi jengo hilo niliwahi kuishi 2002, nijengo linalomilikiwa na jamaa mmoja anaitwa NASA ni mrangirangi, ni kweli jengo hilo kuna waTZ wengi wanaishi na ni City Center.
@albertopereira10565 жыл бұрын
Salute Mm nimekaa Deviliers and Quartz street Nakubali
@albertopereira10565 жыл бұрын
Nimekaa miaka minane
@Deejay_muddrah5 жыл бұрын
Mirlad ayo big up bro unajua sana
@universalcliptv48715 жыл бұрын
Watanzania wame fungwa sauzi wapo wengi......ukweli ukweli wengi wana ishi maisha ya ujambazi na jinai.......habari izo zina fichwa kwa familia zao uko tanzania!
@amirsham33525 жыл бұрын
wewe uyawezi ndyo maana unaogopa kiwanja
@priscaandrew5545 жыл бұрын
Kweli best,mm nna mfano halisi
@Taifadigital5 жыл бұрын
@@priscaandrew554 unaweza kutupa mawasiliano kwa ajiri ya kufanya mahojiano nao
@mwandumazaoidrossa17025 жыл бұрын
m
@romeoromeo41255 жыл бұрын
@@Taifadigital Acha kufanya udalali katika channel ya watu, uwo sio uwandishi mzur!!
@zakaliabuxh76755 жыл бұрын
Nakubali hustrel za mshikaji gud bro
@aloycekiwia86135 жыл бұрын
Dah..! Ingawa hakufanikiwa kuwa Movie Star.... Angalau amejifunza KIZULU na KIDHUNGU.
@OmanOman-hr6cb5 жыл бұрын
😀😀😀
@Sidik-d7e Жыл бұрын
I LISTEN THIS STORY ITS TOO SAD BUT MY ADVICE HOME SWEET HOME UR COUNTRY IS BEST TZ 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@michaelsamson96635 жыл бұрын
Pole sana bro ..!! Sisi wa toto wakiume tusiogope kutoka nje ya nchi ..mana ata ukiwa apa Tz unaweza kusingiziw kesi na ukafungwa vilevile
@salimuamini70235 жыл бұрын
michael samson Hata Mimi Naona ndivo Hivo Ila polee sanaaa Broo
@zarunaamwanajimba19504 жыл бұрын
Pole mdogo angu hayo ndo maisha, na pia unauvumilivu sana hongera kwa sasa tafuta maisha nyumbani.
@festonelee85095 жыл бұрын
Millard Ayo the best in asking questions
@CHRISTIANCHRISTOPHERKATTO-z5z3 ай бұрын
Huyo Dogo namjua nilisema nae. Nilimtangulia kidato kimoja. Alikuwa Msela sana
@mosesambrose57095 жыл бұрын
Hyuu jmaa ni school mate wangu jamn dooo jamaa huyu Dar.
@pendosammy59845 жыл бұрын
kweli
@Nacy_katoto5 жыл бұрын
Oya uyu Sio Ben wa Wailes secondary kwel naic km Ndo uyu iv
@martinaantipas67904 жыл бұрын
Ndio Ben mwenyewe uyo inasikitisha sana
@mwanaidisalehe33894 жыл бұрын
Mwenyewe namjua sana uyu kaka halikuwa anapita sana keko mabembeani
@sakinayusuf50725 жыл бұрын
Dah pole sana kakaangu TMK mwenzangu
@Basagamp45 жыл бұрын
Nina Mifano Miingi ya Dizaini hii ya watu na watu wangu. Ukienda Nchi za Wenzetu na ukipata Chance ya Kufanikiwa ktk utafutaji unafanikiwa kweeli kweeli na ukifeli unapoteza Maziima kabisa A to Z. Ukirudi Bongo inabaki stori kuwa nishahaso saana Mpaka Ng'ambo. Baada ya hapo unagongea Jero kwa Wana. #EeeeMUNGU tujaalie ktk utafutaji
@geophreymwakasyuka38255 жыл бұрын
Kweli kabisa bigerup.
@Basagamp45 жыл бұрын
Geophrey Mwakasyuka Vijana tupunguze saana Tamaa
@Basagamp45 жыл бұрын
KINGCHARZ TV Namba yangu naweza kupa,sasa inategemea wao wahusika watakubali hayo Mahojiano?
@Taifadigital5 жыл бұрын
@@Basagamp4 nipe wala usijal Tutajuwa Namba ya kufanya
@Taifadigital5 жыл бұрын
@@Basagamp4 nipe namba tutajuwa Tunafanyeje
@zaidukinawa55304 жыл бұрын
Nakubali
@allybeka84015 жыл бұрын
hawa ndo vijan ninaopendaga yaan upambambaji wa maisha napenda san story
@ausiswalehe62735 жыл бұрын
Kikubwa Mshukuru Mmungu Umerudi Nyumbn salama, Karibu sana TZ karbu Tukomae Kwetu.
@rachelchelango9415 жыл бұрын
Ttrue
@thomasmaphior795 жыл бұрын
Don't worry bro mey be you like president Mandela life is not easy suffer hakuna shida isiokuwa na solution be happy brazee
@sifamugwaneza11785 жыл бұрын
Duh!! Nani Jonas bug kbs maana imewaweka mwaka mzima dah I see poleni san kaka ake ndio ukubwa huo ila hapo najua mumepata funzo kua nakuwaelimisha vijana wengine, shukran san kwako #MillardAyo me nakukubaligi san
@stanleymlowe82305 жыл бұрын
bora mchizi alienda kutafta life wengi wanao toa comment za kumkejeli ni ambao bado wako home tu wanakula kwa baba na hawana ramani za maana . hata mchizi haku succed ni bora ali try. tattoos na hereni sio dili kukazania kuzidisi
@fainnamvungi43645 жыл бұрын
Wa2 wakiona m2 katoka akafanikiwa wanamfagilia na kutaman lkn hawajui vip kapitia na pia wakiona m2 kajaribu akakosa wanamkejel ...kikubwa kila m2 anatafuta tonge lake bas m2 ujifunze kupitia mwenzio
@godlistenshayo11445 жыл бұрын
Stanley Mlowe sure mzee me alichonifurahisha ni kwamba amesema zilichukuliwa damu,kucha, na mkojo zikaenda kupimwa lakin hakukutwa labda hata anatumia ngada km tulivozoea watanzania wengi wakienda SA wanakuwa watumiaji wa ngada au wafanya biashara...lakin huyo mwana pamoja na muonekano wake huo watu wanadiss lakin inaonesha hajawah hata kutumia ngada
@narlonabuu46655 жыл бұрын
True nigga hustle hard
@abrahmaniomar98585 жыл бұрын
Boss tattoos usoni utampa kazi bongo?
@rockyvlogs22145 жыл бұрын
Sure bro
@masongatz5 жыл бұрын
Umenikumbusha nyumbani huko "Johnvoaster" mzee ndo safari inaanziaga pale ukienda kwa mkumbo kiwanja umeumia ubaharia Imani huko kote unakosema tushapita welcome back hom bro RADIGA Metal works Hillbrow
@fadhilplatnumz62095 жыл бұрын
Huaga cici Watanzania Nchi ZaNje tunanyanyaswa saana" Nawashangaa Polis wakwetu Tz hawanaga Ishu nawageni wakat wapo wazurula tu Kkoo hapo
@agaaah66975 жыл бұрын
Kweli kabisa
@myself41285 жыл бұрын
Njaaa, tatizo la hawa askari hata elimu juu ya haki za wazawa hawana,wamepitia mafunzo ya kupiga na kuonea raia nakutumia bunduki tuu
@danneismail54425 жыл бұрын
Mbona mimi mkenya +254 niliingia TZ na pande za moshi nikiwa temporary passport nikashikwa na kuacha kila kitu changu geust na kuridishwa na lungalunga
Kweli mkuu, lakini maisha popote tu cha muhimu tumtangulize Mwenyez Mungu
@asiliyakechuma43195 жыл бұрын
Dah huyu dogo nilikua nae centroo wakat tunaachiwa mm nikajikataa Botswana mpaka xaxa nipo nimekwama hapa sina wazo LA kurudi TZ nafikilia Brazilian ndio akili yangu inawaza huko sirudi nyuma mbele kwa mbele liwalo na liwe
@charlzzesonconsciousness66855 жыл бұрын
Nisubirie tusepe wote
@hightechofficial2555 жыл бұрын
@@charlzzesonconsciousness6685 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jumaomary34855 жыл бұрын
asiliyake Chuma! Never look back go go
@jemakhalifa68075 жыл бұрын
hahaaaaaaa
@asiaseif72295 жыл бұрын
@@charlzzesonconsciousness6685 😀😀😀😀😀😀
@shabanikingolile70915 жыл бұрын
pole sana fighter maisha popote ila dua muhimu
@Derevamkongwe68645 жыл бұрын
Yani hakuna sehemu tamu kama Tanzania mana hata usipokuwa na pesa unanenepa
@subiramussa14285 жыл бұрын
Ha ha ha
@edinamangu96375 жыл бұрын
we ni bangi 2
@dullyninja61375 жыл бұрын
Tembea ujionee kuma wewe
@haythamomary68845 жыл бұрын
Tanzania njaa tu kaka haina kuficha
@dominicmtopwa28865 жыл бұрын
Exactly
@anilotanzania88075 жыл бұрын
Daah bora ungebaki huko... Huku maisha hoiiiiii
@magembetz62985 жыл бұрын
Watoboaje mskio mtoto wakivme na kvweka hereni kabisa hcho ndicho mnacho kifuata huko sovth
@raheemamkambha60135 жыл бұрын
Baada ya miaka 40 wazee wote bongo watakuwa na tattoo na kutoga masikio🙆♂️ Mungu nakukabidhi uzao wangu🙏
@babalois72405 жыл бұрын
Raheema Mkambha hahaaaaaaa
@matthewjohn51085 жыл бұрын
Rehema nitabaki mim ucjali tutajenga familia nzul.
@raheemamkambha60135 жыл бұрын
@@matthewjohn5108 😆😆😆
@ommycryz76705 жыл бұрын
Pole xanaa kalibu tz
@ommyathumani72645 жыл бұрын
Hahahahha
@esterester54904 жыл бұрын
Du mungu akusaidie kaka endelea kupambana uschoke
@tashwakotaii36325 жыл бұрын
Daaad damu yangu karibu keko ndio home wanao tupo ben
@bahatikengese36033 жыл бұрын
ayo huwa anajuwa kuwa hoji vizuri safi sana yan ww tz ndi mtangazaji bora mm huwa naona
@shaloboy38615 жыл бұрын
Sema kweli kilichokutokea jela hadi kuvishwa kipuli
@zainabukhalifa39675 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂hiyo ni siri
@pamelangowi44875 жыл бұрын
Shalo boy we nawe kuma kwel
@jitahidmoto56975 жыл бұрын
Hongera
@rnfgpdentertainmentcompany50545 жыл бұрын
STREET HUSTLERS GOD BLESS EAST AFRIKA 🇰🇪🇹🇿
@Simangwa10 ай бұрын
nakubali sn mwamba mnao mtukana mwamba mna feli mbona mnaogopa hata kupanga hata chupa cha 20 hongera ndugu 2 be continual
@loner_wolf5 жыл бұрын
Lindela deportation center . Unanikumbusha mbali lkn stori yko ngumu as if unatengeneza isidingo kichwani
@ruuh51494 жыл бұрын
Nataman kwl kuishi nje kutaft pesa kihalali
@malitomalito7 ай бұрын
Huyu muongo mimi niko South afrika
@samniza17634 жыл бұрын
Ni vizuri sana kupata exposure ili utambue mafanikio ni popote, bila kutoka huwezi kuziona opportunities zilizopo nyumbani. Tulio nje ya nchi tunaona opportunities kibao baada ya kuishi nje muda mrefu.
@rashiangereza20445 жыл бұрын
Yah kweli kabsa iko kitu kama hii ipo. wa tz wanachomwa moto na wazulu wanapigwa chupa pub.tena usiombe wazulu wakuone unapika chai na vitumbua wataku shea kanda akokhole.
@issamgao33065 жыл бұрын
Hakuna jambo dogo kwa mzazi Usihukumu kitabu kwa muonekano wa nje He is very bright guy👊
@mariyaal53665 жыл бұрын
Aisee pole sana mdogo wangu
@binaljabirmshihirzanzibar83695 жыл бұрын
Duh balaaa kweli kweli
@jumaomary34855 жыл бұрын
Mariya Al unajali uko poa sana
@mariyaal53665 жыл бұрын
@@binaljabirmshihirzanzibar8369 kanitia huruma kweli yani kesi ya kuzushiwa inauma sana kijana mdogo maskini daa pole sana mdogo wangu narudia tena pole sana
@mariyaal53665 жыл бұрын
@@jumaomary3485 inauma sana kesi ya kuzushiwa
@khalfanmohd58075 жыл бұрын
Text me WhatsApp please +255778269974
@JeremiahCharles-vi5so4 ай бұрын
Mpambanaj anafia vitani sarute sana baharia ila huku South Africa kuishi Kuna hitaji akili nyingi sana pasikie kwa kuhadithiwa nomaaaah
@hamisijmussa69835 жыл бұрын
South Pale mashoga wengi sana .. Wa TZ tunaoenda kule ndo malijali lazma kiwake mzee
@faridaiddi1044 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@hamisijmussa69834 жыл бұрын
@@faridaiddi104 😁😁
@mrsochu-hv7bm4 жыл бұрын
Jamani south Africa kuzur achen tu ma hom Boy wakimbilie Kule mi nimekaa miez miwili Johannesburg ni pazur hatare
@chibudenga89775 жыл бұрын
M nimekaa Durban almost3yrs ukiwa smart unapiga mishe zako bila tabu sema mwana anatoa siri za jandoni
@Richforever665 жыл бұрын
Hizo hazina shida na kama kuna kosa wamelifanya Kama kuruhusu simu basi baada ya video hii wakiiyona wataacha
@chibudenga89775 жыл бұрын
@@Richforever66 yah
@malitomalito7 ай бұрын
Kweli mwanangu
@eashaeasha97762 жыл бұрын
Hatari sana
@yusraibrahim82185 жыл бұрын
Eee jaman Raazz wangu pore kwayalio kukuta ktk safali yako😂😂
@rewmfingwa78285 жыл бұрын
Asante muuupenzi
@adam-saffi2112 жыл бұрын
This guy knows how to conduct interviews. The others are like Haji Manara
@andikimanasebadonavine94905 жыл бұрын
Jama huu ako na confidence na kulingan vyenye nimemuelewa akisema ni kweli south Africa wanaroho chafu sana kwa wa Africa wenzao wajinga sana nawachikia
@eashaeasha97762 жыл бұрын
Mtihani
@abdulrahmanhassan38255 жыл бұрын
Nikweli kabisa mtanzania nimkarimu Sana'a haswa anapokuwa kwenye matatizo au wakati mgumu
@jjboy51574 жыл бұрын
😂😂😂😂sisi bado tupo huku tunasavaiv
@hamismohamed35415 жыл бұрын
Ebwana milard eee ulishawahi kua askari kitengo nini maa hayo maswali angekua jamaa mtuhumiwa angejipeleka ngome mwenyewe
@kipendarohotv26695 жыл бұрын
Gonga like hapa kama na ww ume mkubal myamwez
@priscaandrew5545 жыл бұрын
Mihangaiko ndio akili
@gracerichard85935 жыл бұрын
Mimi nataka nataka nataka kwenda America yeaaaah
@happyeliya1715 жыл бұрын
Hivi wa bongo huwa hamuwezago kucoment bila kutukana ?sa mnamtukana nn simaisha yake kilabinadam anamaisha yake huwez kumchagulia kha
@zenaotman57345 жыл бұрын
this is tanzania
@bockernyarusahi36555 жыл бұрын
Wengi ni Watoto kiakili, kwa hiyo ni kuwazoea tu, Mtu anatukana hata hajasafiri nje ya Wilaya au Mkoa aushiyo,huo ni undina.
@malalezengo44055 жыл бұрын
Maisha Dada sio kila MTU. Ana chagua kunamengine kawaida kukosolewa ndio njia ya kuwekana sawa
@jacquelineadrian11125 жыл бұрын
@@malalezengo4405 kymtukana mtu ndo kumkosoa
@loudanmfundo52895 жыл бұрын
Uyo anatupakazia tuu walipiga mtungo kweli, unamuona tu ni msela mavi hakuna korabo wa mixer huyo fara ndio wanakuja kutupakazia huku, sio maisha yetu hayo watu tuna watoto na familia yani ndizi nyama . Hao wanaishi maghetoni ni wapiga ndole tuu. U just waiting our bundles brother. Ooosh frans
@jumaomary34855 жыл бұрын
Loudan Mfundo iv hii ikoje hii
@saleemsaleem69985 жыл бұрын
David mfundo kutoka moro chuo cha ujenzi pale nyinyi ndio kak ze2 ila rudin hom ila pia nasikia hamna kaz za maana zaid ya kuiba kutumia bastola na clipe nyingi 2naziona rudini nyumban ata kama hamna hela bhan
@alexexperius73145 жыл бұрын
Asee kongole kwake kwa ujasiri. "Hakuna jambo Dogo kwa mzazi" nimependa hayo maneno. Fahari yake na matamanio ilikiwa masuala ya Sana'a na uigizaji, kwa mazungumzo haya naamini kabisa wakongwe wanaweza kumpa pahala pa kuanzia maana anaweza mno.
@The255nurse5 жыл бұрын
Mbona wanasemaga sero za uko ni nzuri
@MrSokwe5 жыл бұрын
Kawaida hata kama mlionekana hamna hatia kwenye hiyo kesi ya ubakaji, polisi walitakiwa wawakabidhi kwa idara ya uhamiaji kwasababu mlikuwa mnakaa bila vibali na sio kuwaachia huru.
@surujajwie47684 жыл бұрын
Pole san
@januaryjoseph43835 жыл бұрын
I was there by that day I escape though emergence door Mungu ni mkubwa
@judymmuinde93214 жыл бұрын
Shukuru mungu
@januaryjoseph43834 жыл бұрын
Amina
@judymmuinde93214 жыл бұрын
Safi
@januaryjoseph43834 жыл бұрын
@@judymmuinde9321 0753956720
@januaryjoseph43834 жыл бұрын
+255753956720
@jacquelineadrian11125 жыл бұрын
Wanateseka Sana jamaazetu ....mdogo wangu alipigwa risasi south Africa nikiskia hv naumia Sana