Assalaaaam Alaykum Tiba kwa maradhi yeyote katika mwili wa mwanadamu *Masharti:* -Upate maji ya mvua,yalioshuka bila kugusa bati au mti uyapate moja kwa moja kutoka mawinguni -Usomee suuratil faatiha x70 -usomee ayatul kursiyyu x70 -usomee surat ikhlaaswi x70 -usomee suurat falaq x70 -usomee suurat nnaasx70 Kisha utasomea uradi huuu لا اله الا الله وحده لا شريك له الملك وله الحمد يحي ويميت وهو على كل شيء قدير Utausoma x70 Mwisho utamswalia mtume kwa swala yeyote iliyorahisi kwako, Mimi nakuwekea hiii Utasema: اللهم صلى وسلم وبارك على سيدنا محمد الشفيع الرؤوف الرحيم الذي اخبر عن ربه الكريم ان لله تعالى في كل نفس ماءة الف فرج Swala hii pia utaisoma x 70 Hapa dua yetu itakua imekamilika MATUMIZI: maji hayo utakunywa na kujipaka x2 asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 Inshaaaaaaalllwahh NB swala hiyo pia hutumika kwa kumuomba mungu kwa haja yeyote husomwa x1000 Kila baada ya kusoma x 100 utaweka manuizi yako Mola atupe wepesi katika kila Dua zetu Amiiiin Amiiiin Amiiiin
@masikasimba-hy2cm Жыл бұрын
Àaaaamin
@MmMm-hx6lnАй бұрын
Shukraan Jazakallah khayra
@shuweyaabdulkarim32617 ай бұрын
Mashallah
@ShadidaHamad-er4gh Жыл бұрын
Maashallah, allah akuzidishie afya njema uzid kukumbusha umma inshaallah
Ustadh umefanana sana na Nasib Abdul ( a.k.a Diamond )
@Shafaakallwahhu Жыл бұрын
Ni kweli,ndugu yangu
@mussampeyama67955 ай бұрын
Asante sana kwa darasa la elimu ya tiba kupitia dua kwa wale ambao hawana elimu kabisa ya kusoma kwa kiarabu unatusaidiaje ili tuweze kuisoma kwa kiswahili? msaada shehee
@chozimasoud9031 Жыл бұрын
Naomba kuuliza hayo maji ukishasomea unayanywa au kuoga?
@Shafaakallwahhu Жыл бұрын
Angalia hapo juu