UMUHIMU WA KUHISHIMIYANA KATIKA UISLAMU

  Рет қаралды 2,297

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер: 7
@a.856
@a.856 8 ай бұрын
Jazakallah khayran
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer 8 ай бұрын
Je ukisafiri nilazima usali sala za safar au ikiwa hutaki unaweza kusali kawaida
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 8 ай бұрын
unaweza kuswali kawaida . kusali safari nirukhsa sio lazma.
@mohamedbadi7742
@mohamedbadi7742 8 ай бұрын
Basi jamani niafadhali tuateni Taraweh lkn Duudumishe umoja wetu wa uislamu kwa hivo situateni Maulidi ili tuudumisheni umoja wetu wa uislamu kama nikweli tuangalieni MAULIDI Na umojawetu wa uislamu nilipi la Muhimu???????
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 8 ай бұрын
sio kuacha maulid ni kusameheyana kwenye hilo wasomao wasiwatukane wasio soma na wasio soma wasiwatukane wasomao . ndio kuhishimiyana kutapatikana. naumoja utaendelea.
@mohamedbadi7742
@mohamedbadi7742 8 ай бұрын
@@IzudinAlwyDin Hasante kwa majibu yako ulio nijibu kwa njia mzr shukran ustadh Japo mm si twarika Ila wallahi Nakupenda kwa ajili ya Allah japo kuna unao yakubali mm siyakubali lkn kuna mengi ninao faidika nao kwako yadini nisioyajua Allah atupe mapenzi na kuhishimiana kwa ajili yake na kwa ajili ya uislamuwetu Asalamu aleykum
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 8 ай бұрын
@@mohamedbadi7742 wajua tatizo lipo katika kuhukumiyana nahaitakiwi tumhukumu mtu tuache kazi yakuhumu kwa alio tuumba . ww ukiona mm nafanya jambo ww halikuridhishi niachie na unaweza kuniambia kwa njia ilio mzuri na mm kadhalika . na usinichukie kwa kua sijafuata utakalo wala mm nisikuchukia kwa kuniambia aw kunikataza . natakiwa nihishim mauni yako na ww unihishim mauni yangu . madam sijambo ambalo limekatazwa wazi wazi kaatika Quraan aw hadithi sahihi . mola atujalie tupendani kwa ajili yake . tushikane katika tukubaliyanao tusameheyane katika tutafautianayo.
NAMNA YA MUAMALA WA MTUMI KWA WAKE ZAKE
1:45:16
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 529
QUNNUT NO 2
18:15
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 675
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,7 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 22 МЛН
Kandid Konversation between Karl Mascarenhas and Soniya Nabar
17:33
uliza ujibiwe
39:13
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 14 М.
ULIZA UJIBIWE 025
36:24
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 4,8 М.
PONGEZI KWA WATU HAWA.
25:28
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,1 М.
she mselem mbona inakua ivo sasa
24:21
KASFAT TV ONLINE
Рет қаралды 47
NYAKATI ZA SWALA (3)
15:59
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 981
NAMNA YA KUTOA TALAKA
57:26
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 12 М.
MAELEZO YA SURATUL QASAS NO 2
1:58:52
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 5 М.
HII KHUTBA IMEWALIZA WENGI MSIKITINI
37:12
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 479 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН