Sheikh Akielezea umuhimu wa kumcha Allah SWT na kwa nini kuna umuhimu wa kuendelezea ibada baada ya Ramadhan. Khutba hii ya ijumaa ilitolewa na Sheikh Aman Musa Mauba katika Masjid Jumaa Mwanza, Tanzania.
Пікірлер: 21
@ayshermursally506911 ай бұрын
Shukran shekh Kwa ukumbusho mzur
@jamilailham28715 жыл бұрын
Nakpnd sheikh kwa ajli ya Allah, kwa hakika wew Ni sheikh unaeongelea sana adhar za zinaa.Allah akulipe Ni swala lilosahaulika sana.
@mikidadichengula19655 жыл бұрын
subhannallah yarrabi tusamehe madhambi yetu tujaalie mwisho mwema allahumaa ameeni
@ayushiabubakar19304 жыл бұрын
Allah akuzidisheye umri shk
@ummua50064 жыл бұрын
Jazakumu Llaahu khairan
@HamisiHussein-bb8ww2 ай бұрын
Inshallah sheikh ujumbe umefika
@hassankatram56975 жыл бұрын
Shekh nakupenda kwa ajili ya Allah
@alimasiminani82872 жыл бұрын
Allah akuzidishie umri mrefu
@rashirdissa59523 жыл бұрын
Shekh Unatoa mawaidha mazur san yaan ni mada ambayo inalenga maisha yetu halix
@salimbiaisha646610 ай бұрын
Masha Allah. Mawaidha mazuri
@swalehseiph15825 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema
@wanakmohamed47415 жыл бұрын
MashaAllah sheikh jazaaka Allah kheyr.
@howardronan13393 жыл бұрын
You prolly dont care but does someone know of a tool to get back into an Instagram account?? I stupidly lost the account password. I love any help you can offer me
@ummyzee62474 жыл бұрын
Jazakallah kheir ustadh
@aminadidi6594 жыл бұрын
maashallah!!
@isaodijo99294 жыл бұрын
masha Allah sheikh aman
@muxxacaxxan95353 жыл бұрын
maxhaallah!!!!
@abubakarikejo32793 жыл бұрын
Tunamuomba Allah atusamehe makosa yetu na tuwe wenyekuleta touba ya kweli , Allahuma Amin
@abdoulkarenzo31384 жыл бұрын
tutoka duniani sheikh unasema ukweli kabisa
@abdoulkarenzo31384 жыл бұрын
Unasema ukweli sheikh watu njomatatizo tulio nayo mu jamii yetu