Рет қаралды 522,123
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika.
Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: www.ubongo.org...
www.ubongokids...
/ ubongokids
/ ubongotz
Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!
www.ubongo.org
Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains
#UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu