HIKI NDICHO WALICHOSEMA MAJAJI WA MASHINDANO YA MUZIKI YA TOP TEN SHOW MWAKA 1989 LINGANISHA NA HALI LEO
Пікірлер: 2
@adammlonganile7921 Жыл бұрын
Kitime kwa jambo hili, ninakupongeza sana, unaweka records vyema kuhusu Muziki wetu, Historia itaandikwa vyema
@adammlonganile7921 Жыл бұрын
Top ten zingeendelea huenda hamasa kwenye music wa jazz ingedumu na huenda Muziki wetu ungedumu ba kuoiga hatua sana, je hayawezekani tena haya, tukianza na bendi zilizopo? Maana naimani tukishaliamsha upya huenda mambo yakakaa sawa