Joy ulaaniwe maisha yako yote, uishi maisha ya dhiki ya Shida... I have cried 😭😭 watching this video, hauna ata utu and you are here laughing... Wewe ni nyoka kabisa
@gracekendi91492 жыл бұрын
Such a shameless human being
@naomymose18662 жыл бұрын
My heart is pumping sana am here working saudi and I know what is called this work, day and night, then joy is joyful even asking for forgiveness is like she is joking sincerely. I pray for fancy that gal my God bless you and your baby abundantly, never lack,,, you really fight for your family but your sister is so jealously her face can show,
@millicentwairimu18722 жыл бұрын
Aki
@anguzudenis61352 жыл бұрын
Akii
@maryokwero71002 жыл бұрын
Am so disappointed with you joy haujui venye kuwork uko outside country ni hard
@nancykerubo79522 жыл бұрын
Weuh ni kubaya .mtoto anakula all savings mm naeza lipua MTU akili
@azizalaobaid75202 жыл бұрын
Joy uko na madharau sana, fancy ako na uchungu sana namfeel ..mlimfanya vibaya sana
@allanchesire2 жыл бұрын
People like Joy is the reason why Jesus wept 😭😭😭
@roseolando63652 жыл бұрын
😭😭😭😭💔💔💔😂😂😂😂
@hun_bee2 жыл бұрын
💔 💔 💔 💔 💔 And Jesus wept
@rosesandro17892 жыл бұрын
Hahaha
@evansonmungai7582 жыл бұрын
😂😂😂 it's true
@jacintam34222 жыл бұрын
Of course
@hannahmuthoni39042 жыл бұрын
I can feel the pain of this young gal,😓😓😓it's so painful,uku gulf woiii Sina neno ata ,
@raelvivian20572 жыл бұрын
Mayangai gaka joy ingi kagutha ruhi mah Wuuuiii my big sister we don't talk reason ni ali taka pesa nika mwambia sina some big sister they're hell..ati arundi gulf gulf atafute zingine
@emilyss87052 жыл бұрын
Mm nmesikia hadi kulia ckia vle huyo joy anaongea aki ajui vle watu wagluf aki wanachoka
@emilyss87052 жыл бұрын
@@raelvivian2057 hata mm siz yangu mkubwa uongea tu ujinga kama huyu
@raelvivian20572 жыл бұрын
@@emilyss8705 uyu aje wai kuja gulf ndio maana ako heartless...mimi nowadays na kaa kivyangu na pingia parents na mtoi tuna chart every day na kabro tuko close hao wengine sina kazi yao juu wata ku drain😰
@carolmulera68642 жыл бұрын
Aki joy ww Ile shinda itakupata ata auna adabu ata kidgo
@calebkogo44112 жыл бұрын
That Audacity is beyond control. Be our brothers keepers.
@winnemwangi32402 жыл бұрын
Money and family can't be be in the same sentence 🤣😂
@salmanh97782 жыл бұрын
@@winnemwangi3240 🤣🤣🤣🤣kabisaa
@evejohns14862 жыл бұрын
I feel this girl 😢😢gulf aki si rahisi..alafu mtu upate ivi kwanza your own sister..so painful
@pauline33542 жыл бұрын
Imagine sahizi tunaosha hammam🤔
@cynthiawanjiru5592 жыл бұрын
Ata hajui kuomba msamaha.
@evejohns14862 жыл бұрын
Shetani amlambe kisogo😥😥😥jasho ma machozi ya Charity isiende bure
@jeraldineaol87792 жыл бұрын
Huyu joy ata regret later..fancy just forget about her n move on with your life mama God will open your ways
@hun_bee2 жыл бұрын
I am so mad aki 😡 😡.. Pesa sio zangu but how we suffer in gulf countries alafu familia inaku waste. Is so frustrating and depressing. This girl has no remorse. Damn!!
@user-jn4on7ds3s2 жыл бұрын
Hata mimi aki I’ve felt so bad nikiskia vile Joy anaongea 😡😡😡😡😡
@oduoratieno26132 жыл бұрын
Waaah huyu dem Ana. Madharau... Na vile pesa ya gulf nigumu aki... Gal next time leave your kid to your our mum
@paulynemachariaofficial...57372 жыл бұрын
Joy very immature..........fancy God will restore everything my dear.
@marbal94952 жыл бұрын
Fancy don't worry keep trusting in God,God has more in store jifute machozi,God has a better tomorrow
@alicemwangi75542 жыл бұрын
God bless you abundantly girl,,,joy kiburi haikupeleki anywhere even if you are first born akili yako ni ya mtoto
@africanqueen24812 жыл бұрын
She's a b**** akuje pia afanye kazi ajue uchungu wa hizo pesa, stupid a**h***
@Portugal3092 жыл бұрын
Sometimes I thank GOD for not having siblings and not having that close relatives connection juu pesa ya gulf sio ya kufurahisha watu it takes sweat,blood and tears to get it .....
@gladysmassawe61332 жыл бұрын
Ave even shade tears for fancy,,,, pesa ya gulf wah,,,joy ako na kiburi sana
@morrymorry61692 жыл бұрын
It so heart breaking if you can trust your family back home sending all your money to them later you end up crying coz nothing done but no money and even wanakuambia vile wanaeza kukulani tena no sorry na hizi kazi za gulf vile ni ngumu unalala ukiumwa mwili yote na umelala 4 hrs tuu 🥺🥺😕🥺haki relatives muwe na huruma kwetu juu tunavumilia mengi wengi wetu wanakufa kabla wafike home 😭😭😭can't image how it pains ,team hamam I hope you've learned something never trust any one with money na pigeni likes tukisonga
@morrymorry61692 жыл бұрын
Mimi huyu Joy ningejipata tuko chini sote😰😰😰😰
@katekenya2 жыл бұрын
Joy am so sorry because you can't curse her after all you did to her, you are the cursed one and you'll pay dearly just wait karma will catch up with you soon. She is broke now that's why she wants you to go back.
@janemusyoki78462 жыл бұрын
Huyu joy ni mjinga sanaaa..."si utarudi ufanye kazi" yeye si aende akafanye hio kazi
@dianatreizer48622 жыл бұрын
The other sister is so full of herself and proud of whatever she did,, She's not into the forgiveness she's asking for,,, lubish,,, Take heart na ukirudi lock dooh kwa fixed account instead of kutumia ibilisi kama uyu
@janependo1332 жыл бұрын
Haki niuchungu sana vile tunachoka utumie mtu doo then upate amekula pia mimi siwezi msamehe anaomba msamaha ili akirudi tena amtumie ingine akule ata uso yake haikai msamaha nipesa ingine anataka shaitani
@user-jn4on7ds3s2 жыл бұрын
She’s so toxic. Gosh… 😡😡😡
@jerushagori41242 жыл бұрын
the so called joy naona it's your joy ukiona unatesa sistako nkt! Lower your pride and ask for forgiveness the right way
@maggieenock47622 жыл бұрын
Woooiye ..joy cool down ,ongea vizuri Pesa ya majuu ni uchungu kutafuta kama saa hii jua inachoma mtu ..tuna sweat mbaya joy
@felistawambua56152 жыл бұрын
Joy Aki I beg you,ogea kama mtu mzima tayari ushakosea dadako,enda gulf ujue what people go through .na hio pain ya dadako itakukula sana.
@RoroRoserororo2 жыл бұрын
Mtu amlete huku ndio ajue
@maryannemumbi92572 жыл бұрын
I thank God 🙏 for my sister,she never disappoint s me ,may God bless her abundantly,she is my support system,I love her
@Emi___mueni82902 жыл бұрын
Aki shukuru mungu mm nikona shida sana
@fanicelutta94882 жыл бұрын
Amen
@fanicelutta94882 жыл бұрын
@@Emi___mueni8290 pray to God
@cheptanuimagdalene79362 жыл бұрын
Ooh pole sana fancy😭joy aki wacha kuongelesha sister yako ivo god is watching you
@irenemanyuru44852 жыл бұрын
I feel for you girl 😢😢😢 Its painfull for real very painfully😢😢 take heart gal
@moonlight202122 жыл бұрын
This girl doesn't understand how hard it is to work in gulf countries. It pains alot to trust your siz/bro then they end up disappointing you. I know and understand how it feels!
@hellenopiyo33912 жыл бұрын
Sure huku ni kungumu kwanza gulf country alafu mtu atumie pesa yako vibaya sio poa
@amisa4842 жыл бұрын
Wallahi bana waah
@bettymuthoni332 жыл бұрын
So painful
@emelyastali58202 жыл бұрын
Kusema ukweli Joy akona madharau sana kama ni Mimi namuua mara moja
@monicamwangi31222 жыл бұрын
Fancy darling take your kid go far better uachie mtoto kea children home u talk to them.rudi gulf 2 yrs piga hustle n make your life better.. ii ngui yenu joy ni shoga
@valsilaakamatonya6322 жыл бұрын
True, thou it's painful
@joankikie79452 жыл бұрын
Woiye I fill for u charity take heart dya...go back fyde pesa ingine.washa kula hizo
@faiikiragu11332 жыл бұрын
It's true joy hana adabu she need to grow up Nkt
@florencechemwey74712 жыл бұрын
Be strong and take it heart God is with you all the time i wish you all the best of all in Jesus mighty name amen
@Kwa1232 жыл бұрын
I feel you sweetie gal.....utapata pesa sweeeeee hawa watu hawana thanks si wewe pekeako
@salomekitheka41562 жыл бұрын
even that kid was comfortable with such a erson
@janevanexa73972 жыл бұрын
Aki if only this girl knows what ladies go through 😭😭😭😭The audacity she has to say forgive n forget,,,,she looks manipulative,,,,,ibilisi💔💔💔💔💔
@bethmacharia202 жыл бұрын
Please vile mliongea hata Mungu alisuhudia Please peana pesa yake uwe naamani na hauwezi laani Joy alikua anatafutia mtoto Wake sio wewe.
@salmanh97782 жыл бұрын
Sana Hadi naskia kukapiga kofi
@baha48222 жыл бұрын
Using the excuse of family and blood is so manipulative. My heart goes out to her. A stranger can be so much better than Joy, family ain't sht!!!
@veronicanashtaria74032 жыл бұрын
Waaah joy ingekua mm sjui🙆♀️🙆♀️ iyo x vzri 4 sure this girl had dream to build her mum house bt the gujoy😒
@joyriziki2 жыл бұрын
Joy you did it wrong you are my namesake but hiyo roho yako ziii ......I wish you knew venye life ya Gulf inachosha akh haungemfanyia ivo Mbona watu huwa mnaumiza watu na pesa zao akh i feel her pain 😭
@gloria_justgloria20132 жыл бұрын
Lakini hiki joy kinaongea aje ,,after misusing your younger sister's money you have the gats to talk shit to her,,pesa ya gulf ni ngumu sana kupata ,,then you misuse na familia,,yee ndio alikua alishe that whole family???thats too bad and you so rude,,its hard for fancy to forgive I feel her
@Kwa1232 жыл бұрын
Very true....hiki joy ni mchawi
@itskemuntoslife14142 жыл бұрын
Haki, am going through the same thing with my elder sister. I wish wangejua vile inauma
@joycewanjiru41602 жыл бұрын
@@itskemuntoslife1414 hiki joy kimeniuma sana ,kingejua vile pesa za gulf siko na uchungu😭😭naomba Mungu aki punish..na abariki dadake asiwahi muitaji joy,joy ni saitani mkubwa.
@hallymahmohamed35162 жыл бұрын
Joy is jealousy, end of story
@jemimahjemimah55252 жыл бұрын
I wish hii mang'aa inacheka cheka hapa angekuja huku aone yenye tunayapitia kitambo tupate hio pesa
@davidmuthoni9482 жыл бұрын
A devil sister!! Very proud of what she did to her younger sis
@ericnjue38332 жыл бұрын
Hiyo kiburi uko nacho joy ata kuolewe huwezi kalisha bwanako na Amani those tears of your sister will not go in vain
@cynthiawanjiru5592 жыл бұрын
Anaudhi sana.
@annejoy14292 жыл бұрын
Not at all very shameful ati arudi Tena the way pesa ya gulf ni ngumu
@ericnjue38332 жыл бұрын
@@annejoy1429 but machozi ya huyu dada yake itamfuata tu
@carolkarobia99542 жыл бұрын
Afadhali mamako angezaa mandazi akule na madaktari😭😭😭
@chelseamideva36562 жыл бұрын
😭😂😂😂😂 weeeeeeeeh mandazi tu 😂😂😂
@agwalubifaridah70792 жыл бұрын
Unatukanwa na mwarabu majuu like Nobody's business afu ng'ombe nyingine anachezea jasho lako ? heee! KANG'OGO rest in peace
@teresiahwangui64062 жыл бұрын
Take heart Fanice God atakupay mara mia
@janenyambura90102 жыл бұрын
Ngai huyo joy aki😭😭😭😭😭😭siku moja,,,,hujui vile watu hupitia gulf. Shame on her 😕 😪
@fridahmwihaki91542 жыл бұрын
Go girl go girl it's not the end God atakubless mara a thousand huyu si siz Yako uyu ni mnyama
@maryngugi99992 жыл бұрын
Aaah si huyu joy ako na madharau aki I wish ni my sister hivo anaongea angefunga hiyo mdomo vile pesa ya guff inauma mtu halali aaah huyu anaweza nichoka walai
@rayfrancis83342 жыл бұрын
This is so emotional...I feel for Fancy 😥😥
@aishachambo86632 жыл бұрын
Ana roho mbaya ndomana Mungu kampa nywele nusu kichwa😏😏😏
@florencechemwey74712 жыл бұрын
The girl don't understand how pain it is but anyway God will fight you my dear be strong in the Lord amen
@ericnjue38332 жыл бұрын
Being a first born without brains ni kazi ya bure
@monicamwangi31222 жыл бұрын
Say it well
@annejoy14292 жыл бұрын
True
@biancaqui18102 жыл бұрын
Truth
@user-jn4on7ds3s2 жыл бұрын
Imagine she’s so stupid. Fancy is younger but more mature.
@carolkarobia99542 жыл бұрын
Joy wee ni matako sana UN akili na iyo uso yako kama ndumaa
@nyendochamwela30312 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni ndiye utakaye muhukumu Joyce!
@ruthondisa64442 жыл бұрын
Nimejipata machozi yakinitiririka😭😭😭but wat I can say "Take heart sister", yua sister, brother, mother, friend can forsake you but God can not forsake you. It shall be well wiz Yu soon
@marymugure15282 жыл бұрын
Waaah vile mm sinanga pantient aki naweza ua mtu kesi badaye dhoo za gulf kuzipata sio rahisi huyu joy hana akili kabisa
@HighTechAutoSales2 жыл бұрын
I second you except hiyo part ya kuuana tu😂😂😂😂😂😂
@marymugure15282 жыл бұрын
@@HighTechAutoSales 😂😂😂😂
@megaumojakitchen15992 жыл бұрын
Mungu akuonekanie young girl. Joy, you'll love to regret
@susanbett43252 жыл бұрын
Joy has a heart of a beast. The tears 😢 of your sister drops to your head. Humble yourself before God and ask your sister to forgive you.
@lucymichael64492 жыл бұрын
Aki I feel like slapping these Joy..she can't feel the pain of her sister..
@Victoria-ob4bw2 жыл бұрын
Wooiee joy Hana adabu kabisa Kaa ni mim angejua hajui..I feel sorry for Fancy
@princessjoy46032 жыл бұрын
Joy ungekua my sister ningekua nimekupiga na kiti , you will never understand how it feels to be in gulf until you get your self there. Selfish chriture
@musabidismas67572 жыл бұрын
Na anakuita apo😭😭😭 Ii ni baya sana uyo ningempeleka Kwa kaburi u...bwa
@valkely46272 жыл бұрын
Trying to justify her mistakes and she's NOT apologetic in any way! Pathetic! 🚮 She's so egoistic and proud! Oh my goodness,! All shall be well Fancy. Hugs.
@matonyamartin25672 жыл бұрын
Wewe Joy wewe wanjua njua ya gulf wanjua baridi ya gulf Joy kama wanjua Ile mateso inakuanga gulf khai I feel tears on my eyes.. When you talk to your sister like that.. We mnjinga sana be mature... Pole sister take heart 🙇♂️
@quinter25442 жыл бұрын
Daaammmmn this girl Joy is something else very unapologetic
@rudiahosoro80102 жыл бұрын
This joy is really devil 👿 how can you steal from your blood sister working ⚒ out side country na venye hii kazi ni ngumu 😢 & stressful 😰😰may God relocate fency in her journey of life with her baby
@queenlynne41572 жыл бұрын
Ako na ujinga fulani
@jina2532 жыл бұрын
Trusting any one with ur money is hard, open up an account and keep depositing there till u be back, home send small small money when u come disappointed u get a plan B, that sister is like an evil spirit,she shud go and see how making money in a dfrnt country is hard
@sweetexohoney50412 жыл бұрын
Joy si mature
@damarismurigi69262 жыл бұрын
Giki kiiritu haiya may God put you in a situation that will make come in Gulf so that u can come here and experience the pain ur sister is going through
@marysaituni45842 жыл бұрын
Don't worry God will pay her.. haya ni maisha
@mwanahamis54872 жыл бұрын
Mdada anadharau duh.. Mie nakili yangu nakua tu wallah
@karimikariukikiarie40682 жыл бұрын
I feel Fancy Joy grow up
@Mamake5592 жыл бұрын
Joy need to lower herself at any cost maaaan,,,,she was the one to be trusted even after being her kid keeper its not easy joy think and lower urself ur the older one but the other girl will be blessed acha kiburi joy,bless u fancie
@connaiwere42402 жыл бұрын
I also have got my first sister who exactly behaves like joy,I work hard so that i can sustain myself and not bother her but the only thing she does is look for me,abuse me,curse me and says that everything will end for me.I sometimes sit down and think if my mum and dad were alive maybe things could be different. I feel your pain girl,but God will stand and fight for you.
@connaiwere42402 жыл бұрын
@Queen TC thanks my dear,I will try to stay away from her.
@hun_bee2 жыл бұрын
Aiii block her.. Kwani ye ndiye mwenye uhai 🙄
@naomymose18662 жыл бұрын
@Queen TC nothing like curse if somebody eat your money, she is the one to be cursed, which believes is that, it will make elder take advantage of young one, jealousy and not righteous.
@mitchellembula35392 жыл бұрын
Weeh mum I have one too. But have decided to live my life n forget abt her
@irianaraymond70112 жыл бұрын
I feel fancy pain😢😢😢😢walai ghaiii eti big sis my foot
@ocholarose46542 жыл бұрын
Afadhali sister yako alikulundia mtoto..na ukampata wengine unatuma pesa anatesa mtoto wako na ata wanajuwa ..jaribu friends ndio utakuwa haujui
@nataliamwangi48452 жыл бұрын
🥺🥺🥺🥺this is painful aki Mimi heri zangu nikae nazo kushida nitumie mtu wetu pesa anifanyie kitu😏😏😏uyo sister yake na venye mkubwa akili hana anaogea venye anataka 😒😒😒
@brendahmulongo54942 жыл бұрын
Eeeeeiiiish huyu joy how iwish ningemchapa kofi ingine icant handle the pain its hard
@Njeri5912 жыл бұрын
the audacity,,,,ati naeza kuulaani,,,,May fancy find peace
@muturilinda15102 жыл бұрын
Why can't she just let her young sister be hurting her again and again I feel for this girl
@robinkavata95262 жыл бұрын
Joy ningekuchapa kichapo ya ubwa gasia hii
@niceblessings2342 жыл бұрын
Joy it's good you looked after her child but she didn't go to Saudi just the upkeep of her child, she wanted to build a life and a future. Imagine all the suffering she underwent trying to make ends meet. The least you can do is to talk to her softly.
@ruthnjeri47632 жыл бұрын
dada mkubwa my foot....umeshindwa na huyu dadako mdogo...ati laana ....mwenye atakuoa atakuwa kwa shida kubwa ...joy wewe ni mpumbavu kweli..
@queenlynne41572 жыл бұрын
Ako na ushienzi
@robbymukonjero48542 жыл бұрын
Dunia
@maryshantey2 жыл бұрын
Fancey Ile kitu nataka ni mungu anipee nguvu uko nayo juu kama ni mimi ooooh lord nigekuwa police station sahizi
@sharoojepkirui1652 жыл бұрын
So sad aki, joy hauna heshima kwa dadako imagine hukutaka haondoe mashida yumbani kwenu shame on you joy.
@malengachipukizi67702 жыл бұрын
Honestly, siyo tu watu wenye wako abroad kutuma pesa na kuliwa na watu nyumbani, hata wenye wako Cities in Kenya more so Nairobi, tuna struggle kutafuta pesa then unatuma Kule Ushago (Mashambani)etty projects zifanywe, then siku moja uende utafute projects, MY FRIENDS UTA FAINT IMMEDIATELY.😭😭😭😭
@brendajumah94872 жыл бұрын
Very true✌️
@kuriam.patrick7952 жыл бұрын
The so called joy ...jinga yeye ..unatuangusha sisi first borns
@ruthndungu18642 жыл бұрын
This is so heartbreaking
@carolinekinaro95672 жыл бұрын
Haki ww joy ni jinga sana wwkuja gulf i lv my bro and my mum sana
@karrymwas87912 жыл бұрын
Yani Joy ata heshima huna...hii pesa ya Gulf unajua venye inakuanga na machozi ukiipata.... May Lord deal with you
@RoroRoserororo2 жыл бұрын
Tena anaongea tu aki Smile jinga sana
@marynjengah27712 жыл бұрын
Khai huyu anongea aje na yeye ndo ako na makosa.. Aki this is wrong hata mbele ya Mungu and it is painful 😢 😫 💔 aki.. Mimi ata singemskiza aki na hiyo attitude
@cynthiawanjiru5592 жыл бұрын
Aki angejua vile hi kazi ni ngumu, na maisha huku vile ni ngumu woiye.
@ruthnjeri47632 жыл бұрын
joy ni shetani kabisa ...angoje lake liko njiani laja ..kiburi chake kitampeleka pabaya...joy sijakupenda..
@purityneema2182 жыл бұрын
Jmn c kutokee kitu kimchape uyu joy aki mungu tusaidie 😭😭
@mulinyabramuel44022 жыл бұрын
uyo joy ni mjinga sana iko so painful sana mtu afanya kitu na unaongeleshwa na madharau ivo sana nonsense joy iyo sio njia ya kuomba msamaaa take it esier sister charity ni uchungu chill to pekeee yako
@cyrusmwangi77482 жыл бұрын
Nawarangie nindirenda guthie gukama.. Pesa ya majuu sio tamu bana.
@suleimanodundo2802 жыл бұрын
Uyu hajui ata kuomba msamaha !! Achana nae ameshazoea pesa ,ukirudi huko sec time atajua hajui ,mtamanishe ata iyo sh,yko , shez loughing !! Ako na madharau sana sanaa ,
@zuhura33782 жыл бұрын
Uyo joy da Yani Kama nimimi tungegawana majengo yaserikali
@nancyngumbi93372 жыл бұрын
Joy is selfish, this is how my sis talks yeye hapendi kufanya Kazi but anataka pesa za wengine kutumia ,,,, serious I feel this gal😢
@hallymahmohamed35162 жыл бұрын
This is so heartbreaking 💔 Achia mungu, is this a friend or sister 😳😳😳😳😳. If I were I would walk out ….
@dianakhasoha57702 жыл бұрын
Feel like crying 😢 😭 why mi ata ningekua fancy ningekua nishatoka apo nkt
@damarismuenipeter10732 жыл бұрын
Aqy hyu joy ile kichapo atakujapitia atamini mungu akutane na yy
@jacklineawuor14172 жыл бұрын
Useless thing ....huyu Joy ni binadamu kweli 😢😢💔 waaaah ulaaniwe
@shanizadhiambo79472 жыл бұрын
Laana ata ulaani haiezi work..ulaaniwe
@beatricenekesanekesa31012 жыл бұрын
Joy nimjeuri sana
@guinblaxxochieng97692 жыл бұрын
Joy grow up , you don't know how hard it is to make money