Safi Sana kiongozi nakuombea pia mh Raisi akubadilishe kitengo mambo ya umme Mbarali-,Mbeya baadhi ya sehemu nyingi ni tatizo Cha ajabu vijji vingi vipo kando ya Barbara kuu havina Umme,ni aibu mno.
@judithtitomalyeta40007 сағат бұрын
Miaka handen hakuna maji
@zuwenasalim27947 сағат бұрын
Uje na chanika muheshimiwa hatuna mabomba, maji tunajichimbia wenyewe tunavuta na kamba kweli