Hongera waziri Aweso,hebu tusaidie na sisi watu wa Bubiki w/kishapu kuna kituo cha afya kina miaka zaidi ya 15 bado msingi, jamani,watu wanasafiri hadi km20 kupata matibabu,tumelia hadi machozi yamekauka,tusaidie kwa waziri wa afya aje hapa Bubiki wilaya ya kishapu mkoa wa shinyanga.Tusaidie baba.
@storytownTv15 сағат бұрын
Apa ndo huwa tunamkumbuka alietuambiaga tutamkumbuka..😢😢 RIP JPM
@abuumuhammad71339 сағат бұрын
Bwege wewe aliyakuta na kayawacha sasa ndio kwa kiasi kukubwa yanaanza kubainishwa acheni chongo kuita kengeza
@hosianajolam86959 сағат бұрын
Pole sana kaka wewe una angaika usiku na mchana watu wapate maji wenyewe Wana Fanya yao ndio maana makonda anasema Wacha waloweke
@KhafidhSalum-t3l15 сағат бұрын
Mkuu wa wilaya huwa anakazi gan kwenye wilaya yake mpaka atoke waziri aje apige kelele hii haipo sawa hawa wakuu wa wilaya wakuwajibishwa hawapamban sehemu husika.
@ChakaWakichakaniСағат бұрын
Hongera sana waziri wetu mbunge wetu wa pangani pambana na wapigaji nchi nzima
@lukumanisharifu4 сағат бұрын
Ongera sana mheshimiwa waziri UWESO njoo kwetu Masasi uku ndiko Kuna upigaji c poa
@Ahmadiyyāh.022 сағат бұрын
masasi ndio nyumbani kabisa kuna upigaji gani tena jamani nimetoka muda mwingi sana miaka kama 10 natembea tembea tu
@murattywamuratty9778Сағат бұрын
Ushauri wangu wekeni wafanya kazi wa mtaani ili waonee uchungu wa mtaa wao, na yakiwa hayatoki wanajua wanawakamata watu wa maani kwake
@allymbarouk5362Сағат бұрын
Hao ndio wakukaa jela miaka 30 sasa 😂😂
@rajabusaimon76622 сағат бұрын
Hizo ndo hasala za kutuchagulia viongozi mngekua mnatuachia wenyewe tunachagua hayo yote yangepungua
@HuseniMsumba3 сағат бұрын
SIO HAPO TU NJOO KONDOA DC UONE TUNAVYO CHEZEWA MH WAZIRI FANYENI ZIARA SIO MPAKA MH RAISI AONE ASIPOONA JE!😂😂😂
@aliissahaji338 минут бұрын
Mara nyingi wahasibu huwa wanatumiwa kuiba lkn wao hawahusiki na chochote
@TatuMkeso5 сағат бұрын
Duh mtihan sana
@PascalMsafiri-x1f14 сағат бұрын
Ingekuwamimi ndo waziri wausokawote wangekula kichapo sana chafimbo
@ISACKKILEO-e7z7 сағат бұрын
Mkiona uchaguzi umekaribia mnajidai mnapiga kazi kweli kweli, mtakufa vibaya nyieeee
@bonifacegasper95084 сағат бұрын
Saizi kunamadudu,tu kila sekta,viongozi,hawakai kwenye nafasi zao,alafu anatokea mtu,anasifia haya madudu yanayo endelea kwawatanzania nimaumivu.
@MaulidyNdegeleu4 сағат бұрын
Huyu ndiye waziri ataetufikisha nchi ya ahadi Anafika mwenyewe kuona miradi
@abuumuhammad71339 сағат бұрын
Baadhi yetu watanzania tunatabia mbaya sana sijui hela za dhulma zinasaidia nini yaana hakuna huruma na binadamu wenzenu hata kidogo
@omaryyusuph78773 сағат бұрын
Mkuu aweso njoo chalinze mradi mmezindua na raisi wetu mama samia lakini akuna maji tunateseka wananchi.
@eyoofazy15 сағат бұрын
Wakwanzaa💥
@BrunoNamanga5 сағат бұрын
Eti ahaaaaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂
@Niika87014 сағат бұрын
Njoo wilay ya Ukerewe uone Madudu utachoka mwenyewe
@revocatusbahati33556 сағат бұрын
Njoo ukerewe utachoka mwenyewe tu maana huku madudu kama yote
@margarethpolepole743846 минут бұрын
Weka ndani wote ni wezi watupu
@Burange6669 сағат бұрын
CCM OYEEE KILA KUKICHA MIJIZI KUTOKA HUMO HUMO CCM.
@birianination70978 сағат бұрын
Hapo tatizo hata sio ccm,
@Re-Agrotec6 сағат бұрын
@@birianination7097 tatizo nani?
@abubakarsaid730315 сағат бұрын
Watu wa mchebgerwa hao musiwaite wahuni .maana sio maagizo ya serekali kuwaita wahuni😂😂😂
@watupipo4 сағат бұрын
Huyu waziri anazingua, anataka attention sana. Ukimsikliza Kwa makini utajua anachokifanya ni ku sanitize maana kazi haijafanyika. Na anajua Kwa nini haijafanyika. Anajifanya kuwabana watendaji w chini na kutoa ahadi. Bongo cinema all the way
@RobsonLugomi5 сағат бұрын
😢😢😢😢😮
@deohaule9811 сағат бұрын
Hii ni propaganda, kwanini wahusika hawajapewa nafasi ya kujieleza? Saa nyingine makosa ni ya serikali yenyewe imeshindwa kufanya mikakati mizuri. Mh kama umeamua hili jambo liende public tunahitaji fair chance ya maelezo na sio wakamatwe tu.
@LAZAROBOMANI-ex6bj3 сағат бұрын
Wababaishaji
@nurdinimzimbiri8 сағат бұрын
Mbona unaishia hapotu nenda lushoto Kijiji cha kalumele kunamiundombinu yote Tanguy 1986 mpakaleo maji hayatoki
@PeterMalima-fc4tf4 минут бұрын
Kata gani?
@HusseinAmiri-pp8dy14 сағат бұрын
35000 tu😢😢
@kandygraphicstanzania14 сағат бұрын
REST IN PEACE JPM
@handenitakuru66964 сағат бұрын
kwmsisi ipi hii kwamsisi ya Handeni kuna dawsa?????
@charlesmustafa89987 сағат бұрын
Makonda ashasema wenyeviti, madiwani na wabunge waloweshwe kwenye maji nyie mnakaa mnawatetea mpaka maana hao ndio waliochaguliwa na wananchi wanatakiwa wawasilishe kero za wananchi sasa waziri utaweza kutembea vijiji vyote ili hali kuna wawakilishi maeneo husika? Acheni wawakilishi wawajibishwe bhana hiyo ni njia mojawapo ya kupaza sauti kwa wanyonge
inawauma sana CCM wakisifiwa. Wasingekuja tengeneza maji mijiongozi ya CHad*** yAngekuja kutukana wamba maji hayatoki.
@cholowao2 сағат бұрын
hayo yalioiba maji nahisi ni michad*** ndio tabia zao
@Mrmohadi.OFFICIAL7 сағат бұрын
Wezi haoo kamata
@AthanaseKiyoja9 сағат бұрын
Majukwa ya siasa yanaua.nchi.Hakuna sababu Kiongozi kujaza watu. Na. kupayuka ovyo,kwani hakuna ofisi za Serikali?Acheni kampeni,kila siku ya kusifia mtu mmoja ili mteuliwe,Swala la maji limekuwa zogo lisolo.isha.
@birianination70978 сағат бұрын
Hapo ni kutoa funzo na taarifa kwa wengine
@BIGFAMILY2557 сағат бұрын
Bora wawaweke wazi ili muone madudu yanayofanywa mana mnasema shida ni raisi kumbe sio raisi ni hawahawa wenzetu wakishapewa Hela za mradi wanakula na wasimamizi hawafanyi kazi zao halafu wanamsingizia raisi