amepigwa na maccm wenzake ambao ndio hao wasiojulikana
@saidalhinai11312 жыл бұрын
Laana iwe juu yenu waongo wakubwa mnauwa watu baadae mnatoa pole mungu yupo na hadanganywi wajinga wa siasa
@suleimanmazrui69422 жыл бұрын
Maoni yangu kwa Serikali ituruhusu endapo tukiwaona Hao Watu wasiojuilikana na Mavazi yao na hizo Gari wanazo zitumia kwa Shughuli zao ituruhusu tizihujumu kwa hata Mawe.
@yasirwabosi74812 жыл бұрын
Yaaan hiii nchii 😂😂😂😂 khaaa
@sharifjuma12202 жыл бұрын
Niile ile weee ni ile ile wee. Yajayo yanafuhisha. Mtaka nyingi Naswabwa!!!!!!
@zanzibarspice86862 жыл бұрын
WATANZANIA SI WAJINGA
@isaliisu34082 жыл бұрын
Kwani aliyepigwa na wasojuilikana ni shamte tu
@dullagolo29502 жыл бұрын
kwan watu wasio julikana wanaishi wapi jamni
@jescajohn66192 жыл бұрын
Yani wampige wao ,alafu wafanye uchunguzi wao 😁😳
@muddyhamad21592 жыл бұрын
jaman manatumiza akili kusema ukweli mbn siku zote hajipingwa mpk alipoachiwa zamana ndo kapata kipigo mbn kichwa kinauma
@makameally19622 жыл бұрын
Hayo ni mazombi yaliyompiga shamte
@imubabimu53052 жыл бұрын
Wanatufanya sisi mazuzu Hawa polisi au mungu atawalipa ndomana mwisho wa siko wanapoza na kutoka mikojo ovyoo haiwezekani apigwe bila ruhsa viongozi mungu atalipa hapa duniani kuongea ukweli tu imekuwa kosa achawaongee
@najashdawood96802 жыл бұрын
Wekeni famila zenu bora.
@enocksosthenes45052 жыл бұрын
Baada ya kutoa maoni yake mmeamua kumpiga na kisha mnajifanya mnamuonea hurma na kusema mtamkamata mhusika na huku ni ninyi wenyewe. Mwananchi gani na kwa madlahi gani ya kufanya mtu wa kawaida kumpiganmzee kikomgwe wa miaka thannini na kitu kama sio ninyi msio na huruma
@amemasudi57352 жыл бұрын
Kwni anayoyazungumza si ukweli tatizo hamtaki kuambiwa ukwli ila mtaambiwa tu
@meekman18052 жыл бұрын
Ndo wale wale tushawazowea. (Wahuni wadaiwao hawajuilikani) lakini mkumbuke Allah anawajuwa, na anawaona
@rahmaabdallah45142 жыл бұрын
Kweli kabisa hili halitaki tochi hata wajitetee vipi ukweli haufichiki tusijisahau kuna malipo kwa mungu....
@meekman18052 жыл бұрын
@@rahmaabdallah4514 Naam!
@mkijilukali20102 жыл бұрын
Kesi ya nyani ahamui ngedele
@safinamiki1002 жыл бұрын
Rais samia
@soudothmanmuhammed25532 жыл бұрын
Yalijulikana hayokuayatatokea
@mozakhamis72532 жыл бұрын
kama sikweli mbona kinawauma
@muddygaston16712 жыл бұрын
malipo ni hap hapa duniani haki yake uyo shamte siku zote unavuna ulichokipanda
@ahmedalbalooshi85182 жыл бұрын
Inasikitisha kila anaetoa fikra au maoni yasiowapendeza wakubwa basi hupigwa au hata kuuliwa na wasiojulikana. Huu imekuwa ndio mchezo wa kuwanyamazisha wenye kauli zisizopendeza kwa viongozi. Walipigwa wengi na hata kuuliwa katika kipindi cha uc haguzi wa 2020 na wasiojulikana,ni kweli hawajulikani?
@nassirmeddy97152 жыл бұрын
🧠
@suleimansaid26332 жыл бұрын
Desipline
@jumamkalamba48292 жыл бұрын
Ccm kupiga kuua nomajakatila serazao
@fikirinyanda68052 жыл бұрын
Watu gani sasa wasio julikana
@hajiabdalla57722 жыл бұрын
Nyie nyie polisi na jamaa zenu wa kishamba munaowafuga maskani zenu za CCM ndio mulompiga
@fatmasaid90742 жыл бұрын
waongoooooo
@aliabdalla92972 жыл бұрын
Uongo upi
@fatmasaid90742 жыл бұрын
@@aliabdalla9297 wako
@bekaashbai17812 жыл бұрын
Yote mitego iyoo tumeshanza kuamini watu hawajulikani kivipi bora basi naunga mkono hoja
@khamisame57032 жыл бұрын
😷😷😷
@abdulhamis98252 жыл бұрын
Hii Ndio Afrika
@tamimtours69342 жыл бұрын
BAAADATU YAKUTOWA SIRI NAKUMKOSOWA RAISI NDOKAPIGWA NAWATU WASOOJULIKANA..HAHAHA MBONA SIKU ZOTE HIZO HAJAPIGWA ALIPOKUWA CCM. MMEMDUNDA KWANZA HALAFU NDOOMMEMFUKUZA.. CCM KWELI KWELI SIWATU SERIKALI NA YAVIPOFUUHII .. HATUFIKI.
@jumafundi28712 жыл бұрын
Munatufanya ss niwatoto wadogo ,akipgwa alokua munamtaka hua majeruhi anapelekwa spitali na huku walopiga wanakula kichapo rumande ila musiemtaka utasikua wasiojulikana ivi hamuoni aibu kusema hivyo tena ukizingatia wakuu wa polisi .
@masoudalriyamy62982 жыл бұрын
Malipo duniani ahera hisabu
@dullysavage59392 жыл бұрын
🤣🤣🤣Mmm hawajukani 😭
@jumamuhd6202 жыл бұрын
Kila anae kosoa serikali anapigwa na watu wasio julikana ,je mpigaji ni nani km si huyo alie kosolewa?
@abuubakalmtangenange43892 жыл бұрын
Kwhyo mnapiga alafu mnawapa pole
@misscoast31742 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Ujinga huuu sipendi eti watu wasio julikana ni majini ss basi. Huu ujinga nilijua kua imeisha tokea afe magufuli
Wanatufanya sisi mazuzu Hawa polisi au mungu atawalipa ndomana mwisho wa siko wanapoza na kutoka mikojo ovyoo haiwezekani apigwe bila ruhsa viongozi mungu atalipa hapa duniani kuongea ukweli tu imekuwa kosa achawaongee
@dulla91952 жыл бұрын
Ujinga hautoweza kuisha kamwe hapo kwetu nivile watu wamenyamaza Tu ,hivi vitu sio mfano nzuri kabisa
@dulla91952 жыл бұрын
Kwa umoja wetu wote tunatakiwa kukemee kabisa huu ni ujinga
@hindisaid24132 жыл бұрын
Hutokea haya kama kina soraga na wengine.wako watu hujificha siasa lakini ni waovu kuliko shetani
@hindisaid24132 жыл бұрын
Soraga alimwagiwa tindikali na wasiojulikana lakini Mungu atawafedhehesha