BAKHRESA AVUNJA REKODI ZANZIBAR

  Рет қаралды 43,662

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Жыл бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 60
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 Жыл бұрын
Masha'Allah! Insha'Allah iwe kheri kubwa sana, kwa mmiliki na kwa sisi abiria
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Bass haya mimi sina lolote nipo lailah hailawauwah mungu ndie anajuwa zaid
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 Жыл бұрын
MashaAllah Hongera Bakhresa
@sadih5333
@sadih5333 Жыл бұрын
Nimeshangaa na hayo magwanda ya kijani na vitambi vya ugonjwa wa kisukari,
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah mola awazidishiye baraka azam
@ahmedmselem9493
@ahmedmselem9493 Жыл бұрын
Hakuna la kusifia hapo bado mnaonyesha kuegemea upande mmoja wa zanzibar huku pemba ikisahaulika boti za kasi zimejaa rout ya unguja dar wakati pemba hakuna boti hata moja hii ni dharau kubwa
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Masha Allah
@user-yt6ns1gj2v
@user-yt6ns1gj2v Жыл бұрын
Hongera kwako mzamini wa meli
@alymwala6725
@alymwala6725 Жыл бұрын
Nakupata sana nakubali kazi yako sna❤
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Жыл бұрын
Mashaallah tabarakaallah
@hamedamour2634
@hamedamour2634 Жыл бұрын
Kwa upande wa usafiri bado kabisa na hakuna sifa yoyote mpaka sasa madhali bado Kuna ugumu mkubwa wa usafiri wa unguja kuelekea pemba na kurudi .......... Hivi kweli tuseme usafiri upo wakati zinajaliwa biashara kuliko wasafiri.....eti meli ipunguze mwendo kwa kuuza biashara zao......usafiri wa masaa 2 au 3 .... Msafiri anakaa ndani ya chombo zaidi ya masaa hayo.....je huo kweli usafiri au madhila......... Kama kweli hassa kuwepo sifa basi upatikane usafiri wa kisasa tena ni wa haraka wa kwenda pemba na kurudi.....sio usafiri wa kujali biashara huku wananchi wanateketea na kuteseka katika safari yao
@tajirifundi
@tajirifundi Жыл бұрын
Biashara ipo zanzibar kwenda dar sio pemba
@hamedamour2634
@hamedamour2634 Жыл бұрын
@@tajirifundi ikiwa biashara ipo hivyo unavyosema......je! Kuliwahi kutokea siku moja wapo kwenda usafiri na kurudi kwa siku hiyo hiyo moja ? Ikiwa hakuna basi usiseme kitu kwa fikra zako tu ..... Tafakari kwanza then ndio useme. Ikiwa huu usafiri uliopo sasa tu unaotoka unguja kwenda pemba unajaza meli na siku ukirudi pia unajaza .... Fikiria ingelikua kuna speed boat yenye uwezo wa kwenda na kurudi Kwa siku ...... Abiria wangapi ingelikua wanakuja kufanya biashara au kuleta biashara zao na kuweza kurudi kwa siku hiyo hiyo moja!!!!!! BIASHARA HAIJAEKWA SEHEMU SPECIAL ...... IEKWE BOAT NDIO UTAONA UYALISIA NA SIO POROJO
@hamedamour2634
@hamedamour2634 Жыл бұрын
Leo hii eti mapanton ndio tunaambiwa meli ...... Tulipotoka kuzuri kuliko tulipo.....ulizia MV SEPIDE NA NYENGINE ILIVYOKUA IKIKUMTA MAJI NA ILIKUA INAPIGA SAFARI NGAPI KWA SIKU
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Wallah umeongea pwent kama ungali kuwa nakuona zawadi jngestahikinkwako my
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
​​@@tajirifundi hm pole nani kakwambia zile tunazo nunua nini au wenye pesa ni watu wanao safiri kwenda dada tuu wa Pemba hawana hebu wacheni dharau
@eliudezekiel8615
@eliudezekiel8615 Жыл бұрын
Punguzeni nauli nikubwaa sana Zanzíbar to dar. Nikaribu sana
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm Жыл бұрын
Kisiasa zaid naona
@dilipdab3714
@dilipdab3714 Жыл бұрын
Sijaipenda hii serikali baharesa anatupinga pesa nyingi kupitia baharini kuliko hata viwanda.vyake
@sebcltd187
@sebcltd187 Жыл бұрын
Bado kwasababu Pemba si usafiri wa anga Wala waboti hili litafutiwe ufumbuzi
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
@robertedward1992
@robertedward1992 Жыл бұрын
Nauri mpunguze basi,irudi 25000,baadala ya 30000,
@suleimanikirassahassan9711
@suleimanikirassahassan9711 Жыл бұрын
Raisi anakosa kazi anafungua boat
@abdilahhajj154
@abdilahhajj154 Жыл бұрын
jamaA asa anapenda sofa Sana kulimo kazi
@nassorhamad1904
@nassorhamad1904 Жыл бұрын
Wapemba hamututendei haki 😢hatuna usafiri WA kutoka Pemba Kwenda unguja
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 Жыл бұрын
Kwani meli tu!barabra umeziona?
@alikidungura9419
@alikidungura9419 4 ай бұрын
Tena kwani ayo mashat ya CCM ktk huduma za jamii walio wengi yanini si mungoje ktk mkutano wenu wa chama
@MussaOmar-fo6kp
@MussaOmar-fo6kp Жыл бұрын
Ah santeni kwakutujali sisi tunaokwenda pemba mm nataka kujua ile spidi bot mbona haifanyi kazi namaanisha sepide ambayo kwa sasa imebadilishwa jina inaitwa royaly 2
@jokhasimba586
@jokhasimba586 Жыл бұрын
Ndio.allaah ameshamjalia huyo
@habibumohd1808
@habibumohd1808 Жыл бұрын
Pemba tupen kisiwa chetu munatubagua
@kasimukessy
@kasimukessy Жыл бұрын
Sawa bado zan fast feries nae kuleta Zanzibar 3.
@yahyaanasi9879
@yahyaanasi9879 Жыл бұрын
iyo chuma inayokuj inaitwa wek mbaki n watt
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Au ndio matunda ya Uvamivi wa oktoba 2020?.
@JumaMsukwa-bu5nt
@JumaMsukwa-bu5nt Жыл бұрын
Mungu amupe wepes zaid nazaid😊
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 Жыл бұрын
Sisi tunaisubiri CHOMBO yetu ya Fundi Zan first ferries. ZANZIBAR 3 Fakhari ya Wazanzibari soon inshaaallah biidhni LLAH
@nassorrashid1611
@nassorrashid1611 Жыл бұрын
Hapa ndio mpango mzima. Hna mpinzani
@salimukimwaga
@salimukimwaga Жыл бұрын
Barabara ya nini toka dar mpaka znz wakati hakuna shida ya usafiri hata siku moja tusichezee fedha za mikopo tukope kwenda kuchimba. Chuma kitakachoweza uchumi wa nchi hiyo barabara haina uchumi wowote ila ila ni kubaki na madeni kwa watanganyika tu
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 Жыл бұрын
Huyu kijana aliongea kwanza ni yule akisalisha masjid Mtoto taraweh?
@lullebolle808
@lullebolle808 Жыл бұрын
Wewe ulitaka afungue shule sio?
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 Жыл бұрын
Hizo boat mbona Pemba hamuzipeleki Kama kweli Ni boat hasa!!
@princealrawahy
@princealrawahy Жыл бұрын
Nunua yako uipeleke
@alhudhaify7810
@alhudhaify7810 Жыл бұрын
Zitaenda tu subiria, Zanzibar 3 ikianza kazi kwenda Pemba na hao hawatokua mbali
@yahyaanasi9879
@yahyaanasi9879 Жыл бұрын
iyo meli ay boat tujifunze kuongea bwn iyo ni boat
@dilipdab3714
@dilipdab3714 Жыл бұрын
Baharesa anatupinga kwa bakora yetu wenyewe serikali ipo haina kitu pesa zetu anachezea akili sasa serikali ipo wapi isifanye wao mambo hayoo anafanya.mtu binasi tulimuondowa mkoloni ilitujitawalee R.p rai wetu kipenzi mzee wetu Abed Amani karume
@hamednassor1128
@hamednassor1128 4 ай бұрын
Mshamba wewe
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Ni Ujinga inamuhusu nini rais , hayo ni mambo ya priivate section Africa bado mmelala.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Rais pia anapenda kiki mie simuelewi kabisa ukiwa na kibanda chako cha kahawa ukimwita aje kufungua bc atakuja na mawaziri wake wote na mkewe
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@@KassimAlly-xp4dz Hii Meli ya kisasa imeitwa KILIMANJARO ni ya ZANZIBAR au TANGANYIKA?
@mabrozacpmstancesa1207
@mabrozacpmstancesa1207 Жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 Acha ubaguzi sote watanzania Kwan ikiitwa Kilimanjaro kunashida gan?🤪
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@@mabrozacpmstancesa1207 Samahani Tanganyika na Zanzibar ni Nchi na Kilimanjaro sio jina la Mtu.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@@mabrozacpmstancesa1207 Kwani kuna shida gani kuitwa Forodhani? MAZURI (Mfano Meli ya Kilimanjaro) ya ZANZIBAR ni ya TANZANIA. LAKINI MABAYA (Mfano Biashara ya Utumwa) ya ZANZIBAR ni ya ZANZIBAR.
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 Жыл бұрын
BAHARESA AVUNJA REKODI YA SERIKALI YA ZNZ ILIOKUWA HAINAPESA KWA KUWEZA KUCHUKUWA MAJUKUMU YA KUNUNUWA MALI KAMAHIYO NI AIBU KWA UKWELI NCHI INAWATU WALIOKUWA WANATAKA KUIUWA ZNZ NA TAYARI WAMESHAIUWA ZANZIBARI ANGALIKUWEPO INSHAALLAH MAREHEMU ABEDI AMANI KARUME ASINGE KUBALI HAYA SERIKALI KUTIWA AIBU NA WATU WA KAWAIDA KILICHO BAKIYA WANAKUCHEKENI KIAKILI TU HALI YA ZNZ INADHOFISWA NA MAGUWO YA KIJANI 😳😳😳😳😳😳😳😳😳😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿💀🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿
@mohddelo
@mohddelo Жыл бұрын
Wewe chuki tu zimekujaa ila mungu atakulipa
ROBOT AZUA TAHARUKI MJI MKONGWE ZANZIBAR
7:47
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 11 М.
MIAKA 10 YA AZAM TV | Abubakar Bakhresa afunguka usiyoyajua
33:18
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 22 МЛН
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 47 М.
JESHI LA POLISI ZANZIBAR KUINGIA MITAANI
5:59
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,7 М.
Bloodbath in Baghdad - Murder of Iraqi King & The Rise of Saddam Hussein
24:01
Mark Felton Productions
Рет қаралды 867 М.
TIZAMA MASHINDANO YA BOAT KILIMANJARO( 8) VS ZANZIBA(3) IPI INA SPEED
7:56
BABU ROHO KUTOKA PEMBA AWATAJA PANYA RODI
10:41
RVS Online Tv
Рет қаралды 6 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 22 МЛН