Рет қаралды 181,856
Ni msimu wa Tatu wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M Pamoja na kwenda Uholanzi kujiendeleza Kitaaluma
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Alhamisi Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season03