UNYAMA: MTOTO WA MIAKA (8) ALAWITIWA, ALIOMBA KULAWITIWA BAADA YA KUONA WENZAKE, WAZIRI ATINGA..

  Рет қаралды 38,046

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

UNYAMA: MTOTO WA MIAKA (8) ALAWITIWA, ALIOMBA KULAWITIWA BAADA YA KUONA WENZAKE, WAZIRI ATINGA..
WAZIRI wa maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na watoto, amefika maeneo ya Bunju jijini Dar, kuzungumza na familia ya mama mmoja ambaye mwanae wa kiume amefanyiwa ukatili wa kulawitiwa.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 93
@nathaliamayo8311
@nathaliamayo8311 2 жыл бұрын
Mh. Hiyo sekta unaiweza sana, tumepona💯
@agnellapius8142
@agnellapius8142 2 жыл бұрын
Naogopa jamani mungu wangu Simamia watoto wangu na watoto wote mungu uwalinde poleni wahanga🙏💔💔💔
@samiahJoseph
@samiahJoseph 11 ай бұрын
kuna mtoto huku kwetu wa darasa la 6 nilimfumania mtoni akiwa anavua chupi na baba mmoja ni mume wa mtu wote ni majiran zangu nilipotoka hapo maana wao hawakuniona nikaenda kwa mama wa mtoto huyo nikamsitue nimlete mahali walipo ili ajionee alicho nijibu ni hivi 👉mama frani fuata mambo yako ya mwanangu hayakuhusu au kama inakuuma mwanangu kulala na baba frani basi mpe mumeo👌lilinishuka🙌
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 4 ай бұрын
SubuhanaAllah
@neemaneema9969
@neemaneema9969 2 жыл бұрын
Nawaza mie mtoto wngu nilo mwacha Tanzania, Ee Mungu nilindie mwanangu nilomwacha Tanzania
@maphitamaphita3091
@maphitamaphita3091 2 жыл бұрын
Mwezio nalia kila siku yn naona mambo haya yameshamili sn
@mersianantibakazi8474
@mersianantibakazi8474 2 жыл бұрын
We uko nchi gani.tumuombe mungu ndo kilichobaki
@amour5535
@amour5535 Жыл бұрын
Allah atulindie tu
@musampanda3643
@musampanda3643 Жыл бұрын
Where is she from
@magejuliani5293
@magejuliani5293 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie!Tumechoka na haya matukio mabaya kwa watoto wetu! Somo la saikolojia lifundishwe kutoka chekechea wajue baya na zuri na kuweza kusema lolote baya analotaka kufanyiwa bila kuogopa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Kuhusu hizi kesi nabaki tu namuomba Allah atuhifadhiye vizazi vyetu
@aishahussein8156
@aishahussein8156 2 жыл бұрын
Aaamiin
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Waziri Gwajima ni muwajibikaji, tangu akiwa afya mpk huku tunamuona alivyo sio mkaa kitini!! yupo kwenye matukio , hii wizara pia inamfaa sanaaaa,...jamani kina mama tusimame imara ktk malezi na hasa kuwa karibu na watoto wetu, awe wa kike au wa kiume!! Mambo c mazuri kabisa!!
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Saahivi watoto wote wawe wana angaliwa unawaza kulea mtoto wa kiume kumbe hujui una shoga 😭😭
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Hii tabia ipo sana, tena sanaa!! Mimi nilimwambia jirani yangu mwanao anafanya hivi vitu lkn ikawa shughuli, alimfuata mzazi wa yule mtoto mwingine, yaliyotokea ni mimi kuonekana najifanya najua kulea na uswahili mwiingii!! Lkn haikupita muda walifumaniwa na mtu mwngn..ilikua aibu, tofauti na angenisikiliza akajua jinsi ya kuwarudi watoto wao, hivyo mzazi saa nyngn hata akiona anasema kwani ni mwanangu? lkn usishangae siku wakimuingilia huyo mwanao ndiyo utajua tui c maziwa !! Hii tabia inaambukiza wapendwa😒, na mtu mzima mwenzio akikwambia kitu kama hicho ujue anakutakia mema.
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 Жыл бұрын
Duh yani sikuiz tuwe makini jamani
@samiahJoseph
@samiahJoseph 11 ай бұрын
on point ukimuona wangu njoo uniambie nawapenda sana watu kama wewe mtu akikwambia kitu nijinsi gani anajar mwanao asiharibikiwe
@issaimashingo5643
@issaimashingo5643 2 жыл бұрын
Waziri wetu ipo haja serekali kutazaa upya swala la kila shule kuwa na Maafisa Ustawi wa Jamii ndio kazi yao hii kusadia watoto. Tafadhali naomba Serekali muweke Maafisa ustawi kwenye kila shule za Serekali na za watu binafsi iwe ni lazima wawepo Maafisa ustawi. Maafisa ustawi ndio wanaweza kutoa elimu sahihi kwa watoto na kuwasadia kisaikolojia endapo itatokea mtoto amefanyiwa ukatili
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Shida ni hiyo hakuna Elimu
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 жыл бұрын
jamani hili tatizo mbona linazidi naomba mashuleni kuwe na ukaguzi kila miez 3
@florahmushi748
@florahmushi748 2 жыл бұрын
Kila wiki mbili miezi mitatu watajisahau
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 2 жыл бұрын
Ustawi wa jamii wanofanya kazi hizoo wanastahili kulipwa hela nzuri maana wapo kweye risk sana kazi iyo ni sawa na watu wa sheria mahakamani
@nancyjohnson6620
@nancyjohnson6620 2 жыл бұрын
Watoto wa kiume saiv n mtihan sana ...yaan ukienda leba ukazaa mtoto wa kiume unaanza kuwaza malezi yke itakuaje 😔😔😔😪😪😪
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Sio kweli Inategemea naona tatizo kubwa kama unakaa uswahili mashenzini kwenye laana , maeneo ya kistaarabu ni rahisi kuwachunga watoto ila mbaya nyumba za kupanga uswahilini
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Mtihani huu ss kira kukicha watt wafanyiwa vitendo vichafu moyo wangu unaniuma mm nikongea na mwanangu uwa namwambia kira kitu simfichi maana naogopa mno allha awalinde watt wetu jamani na ss wengine atuko mbali na watt wetu acha tu kumuomba Mungu sana kwakweli
@preciousrobson3394
@preciousrobson3394 2 жыл бұрын
Wale wadada wenye vipindi vya redio vinavyofundisha jinsi ya kuishi na na wanaume wabadili vipindi kutuelekeza wanawake tutunze watoto jamani ni uchungu usiopimika katona ya sheria wabadili sheria hivi vitu imezidi wamama wenzangu kuleta wanaume ndani kalale na mjomba sijui binamu babu tuache wanawake wenzangu
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 жыл бұрын
Ajabu hao wanaume wenyewe hawana hata habari mafindisho yawe kwa jinsia zote
@juliethflorence2886
@juliethflorence2886 2 жыл бұрын
Kabsa
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 жыл бұрын
WAZIRI NAOMBA UKAGUZI UFANYIKE KWA WATOTO WOTE NA SHULE ZOTE
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Toba🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️😭😭😭😭
@deepconcept2020
@deepconcept2020 2 жыл бұрын
Mheshimiwa waziri, walimu ndo wa kwanza kushika watoto matako na maeneo mengine ya mwili wanapolazimisha kuchapa ovyo watoto kwenye makosa yasiyo ya kinidhamu, makosa ya kitaaluma. Tuwalinde watoto kwa kuanza kuzuia mateso mashuleni kutoka kwa walimu, tuwadhibiti walimu, ikibidi turekebishe kanuni ya viboko maana imekosa udhibiti.
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
No sense
@deusdeditknkunga6047
@deusdeditknkunga6047 2 жыл бұрын
Don't generalise. Baadhi ya walimu na sio walimu wote.
@tvstation6472
@tvstation6472 2 жыл бұрын
@@evelinemsaki2057 unamjibu nosense kwa vile hayajakukuta..kaa kimya Kama hayajakukuta subiri au utaskia Ila tunaona mengi.
@tvstation6472
@tvstation6472 2 жыл бұрын
@@deusdeditknkunga6047 nakubaliana na wewe hapo mkuu Ila wengi wao wanaharass secretly
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Nakukubali njembe waziri.
@hassanimohamedi1090
@hassanimohamedi1090 2 жыл бұрын
Dada mtangazaji namuona mbali sana
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
ila uyu mama kwenye kazi yake ana itendea haki jaman miwazir mengine ilikua haiji kwenye shida kma iz
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Mmoja akikatwa mbooyaaake watakoma zikatenii
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 2 жыл бұрын
Mimi pia naona hiyo ndo adhabu nzuri... hizo dudu zao zikatwe tuone watafanya nn🤮 mambo ya hovyo sana
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Subuhanallah mungu amuhifadhi huyu mtoto kwani duniya inamitihani hiii
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 жыл бұрын
Kuna mtoto alikuwa analawitiwa mpaka mtuhumiwa wakamfumania anamlawiti mtoto mtuhumiwa akakamatwa akafungwa miaka 30 baada yamiezi 6 mtuhumiwa akatoka jela nasasa Yuko mtaan anadunda tu.
@saitawilson7307
@saitawilson7307 Жыл бұрын
Ukaguzi ufanyike mashuleni watoto wahojiwe kila wiki Kuna haja hiyo maana visa vingi chanzo chake mashuleni
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Hawa wa shenzi au tuwaite mmbwa. Bora muwanyonge au kifungo cha maisha. Au wakipatikana wachomwe Moto. Sio wezi tu Hawa ndio wauwaji wa watto.
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
😮😢😢🎉
@vero57
@vero57 2 жыл бұрын
WATOTO WOTE WACHEKIWE MASHULENI NA NYUMBANI KWA WIKI MARA MOJA,
@hasnaally1713
@hasnaally1713 2 жыл бұрын
Hiyo point
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 2 жыл бұрын
Kabisa ndugu
@kenosman4780
@kenosman4780 2 жыл бұрын
Hiv mheshmiwa waziri ana watoto huyu? Sura chachu😐
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Mjinga Sana wewe sura na watoto vinahusiana Nini ndiyo nyie machoko was kiume kutwa mko kwenye kioo mnajiangalia watu wako busy na mambo ya muhimu wewe unazungumzia sura huenda wanakubokoa na wewe ndiyo maana umetoka nje ya mada
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 жыл бұрын
Kwani sura ndo inazaa watoto..
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni matokeo ya umasikini uswahilini mashenzini kwa waliolaaniwa, na kuachia maadili kuyumba kuna nyimbo za ajabu kwenye jamii na maigizo ya bongo movies
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Жыл бұрын
sasa si watoto kwa watoto wanafanyiana wao wenyewe
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
Tobaaaaaaa
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Mungu wangu mbona hajaenda na Arusha kwenye watoto wa Shule?.Tunaomba aende Bungeni ili Sheria zibadilishwe zitiliwe mkazo na Polisi wasitoe dhamana kwa wanalawiti watoto Waziri tunaomba usaidie jamii inaharibika Mungu tusaidie watoto wetu.Zamani mambo haya yalikuwa hakuna siku hizi imekuwa ni tabia kuharibu watoto.Hizo namba watu hupiga mpaka wanachoka vidole nakumbuka ukiwa Waziri wa afya mlitoa namba mkipigiwa hampokei simu nyinyi.
@azmedmtwana8135
@azmedmtwana8135 Жыл бұрын
Wazazi wenzangu tuwe makini na watoto wetu wakiume tuwe karibu nao hata ikiwezekana tuwakague kila siku
@husseisalimumaula3867
@husseisalimumaula3867 2 жыл бұрын
Ukaguzi ufanyike mashuleni na wanafunzi wahojiwe.
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 жыл бұрын
Mi naona kama rais arudishe hukumu ya kunyonga mana matukio ya kijinga yamekua mengi au sjui shda nn hata sielew! Vtu vya ajabu ajabu na watu wanafanya bila woga Yan wako huru! Baba kichwa cha familia au mama kichwa cha familia?!?? Kama baba basi inabd 25 tuwe makini katika hili sio la kulilazia damu vngnevyo nchi itafikia pabaya 👍
@blueeyes5952
@blueeyes5952 2 жыл бұрын
Kila anae kamatwa analawiti watoto ni bora wanyongwe wote. Saa ile ile
@suzysam6002
@suzysam6002 2 жыл бұрын
Akinyongwa hata ona uchungu dawa yao kuhasiwa waziweze kutenda tena
@blueeyes5952
@blueeyes5952 2 жыл бұрын
@@suzysam6002 yote ni sawa, ao wachomwe moto kabisa. Watu wako busy na video za ngono ndizo zinawatuma wafanye ujinga wa namna iyo
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Maana utasikia kaachiwa kwa dhamana Polisi hivi hawa Polisi hawana watoto ?
@blueeyes5952
@blueeyes5952 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 haujui kama police ni kama mbwa kwani wao ufuata order tu na rushwa
@TeamKRX
@TeamKRX 2 жыл бұрын
Mashetani jamani wanyongwe jamani jamani wanyongwe jamani wakipatikana hata kama hana hatia nyonga akina baba wote tuwachukieni jamani mama musiwape uchi wanga hawa watoto wanaumia daaah mama dume nyie si pandaneni nyie kwa nyie mijitu mizima mungu awapaze jamani awageuSe chatu wote wanaofanya kitendo hichi
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Huyo mtoto amefundishwa aseme hivyoo
@nancyjohnson6620
@nancyjohnson6620 2 жыл бұрын
Kwann msiwe mnawanyonga wenye hili kosa na kulawiti watoto
@allyabdallahally9637
@allyabdallahally9637 2 жыл бұрын
Kwanza asokomezwe kitu yeye mwenyewe ndio sheria ifuate bde
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Na Kuna wakati polisi wanaitiwa kesi Kama hizi walipewa pesa wanawaachia wahusika
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 Жыл бұрын
Ila serikali muangalie hiz kindergarten schools pia mfano nimeona shule imeandikwa rainbow kindergarten sasa ipo inafanya kazi imeshachunguzwa?
@stansmaugo5886
@stansmaugo5886 11 ай бұрын
Aiseee, hivi sheria inasemaje kwa wanaowalawiti watu na matendo ya ufiraji ni hatua gani wanachukuliwa maake inabidi wapate fundisho kizazi chetu kinaenda wapi watanzania... Hata wanyama hawafanyi hivyo...
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Hawa watu wapigwe risasi hadharani watakoma
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Shida wanaachiwa wakitoa rushwa
@musampanda3643
@musampanda3643 Жыл бұрын
Muache jamani wanaume wenzangu kwan wanawake awapo, au wamekua wagumu
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Wanawatesa watto sn sn. Musiwachie jamani. Dadangu samiya weka adhabu kali sn sn. Ili liwefundisho
@boscomwangosi1042
@boscomwangosi1042 Жыл бұрын
Huyyyo jamaaa ni mpumbavu anapiga mtoto kakosa nini?
@neemamwita8752
@neemamwita8752 Жыл бұрын
Serikali ishughulike nao
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Mh ame nichekesha japo si pakucheka eti firimb😢
@sylviermuhonjah8411
@sylviermuhonjah8411 2 жыл бұрын
Hao watu watele mitaani hadi unashangaa ufanyeje
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 жыл бұрын
Dunia imeisha wababa yaani Malaya walivyojaa bado mnabaka watoto mna raana
@ummySheikh72
@ummySheikh72 2 жыл бұрын
Nshachoka na laana hizi
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
tena kama wajomba ndo washez kwer manina zao ten kma kwangu sitaki ndugu wajomba washez sANa
@victornjwango9683
@victornjwango9683 Жыл бұрын
Vp wajomba zako walikufanya nini?
@loner_wolf
@loner_wolf 2 жыл бұрын
Ah mm hatywez kufka hata huko aiseh , nife mm au afe mshiriki wa hiko kitendo ... ..over and out .
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 жыл бұрын
WAUNGANE POLICE NA MADAKTARI KUFANYA HILI ZOEZ
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Polisi si ndio huwaachia
@neemamwita8752
@neemamwita8752 Жыл бұрын
J
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Na nyieee Toeeni Adhabu zinazoeleweka kwa nini wamisuse penis zaooo si zikatweer
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
HAYO MAGARI MAWAZIRI WANAYOTEMBELEA KUTOKANA NA UCHUMI NA VITA VYA UKRAINE WABADILISHIWE MAGARI WATUMIE SCUDO ILI KUOKOA FEDHA NA FEDHA HIZO ZISAIDIE MIRADI MIKUBWA.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂kabsa
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 8 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 17 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 43 МЛН
Mahakama kutoa mwelekeo kuhusu hatma ya Kindiki
3:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 788 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57