UONE MSAAFU WA MAAJABU ULIOPO KISIWANI PEMBA

  Рет қаралды 39,382

Jicho Letu

Jicho Letu

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@MalkiaMassoud
@MalkiaMassoud 2 ай бұрын
Allahu Akbar laa ilaha illa allah, Muhammad rasulu allah
@hafidhmussa7887
@hafidhmussa7887 3 жыл бұрын
Mm ningaliomba huumsahafu ukawawa wakuapishiwa maraisi wazanzibar iliwakienda kinyume uwarudi.
@zahorsalum663
@zahorsalum663 2 жыл бұрын
Hahahaha subutuu. hawatakii ht uwauwe.
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 2 жыл бұрын
🤭🤭🇰🇪
@r-g-bchanal4963
@r-g-bchanal4963 2 жыл бұрын
Na.wabunge.pia
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Umeongea pwent
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
​@@zahorsalum663 😅😅😅😅😅
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@adislahlovo7409
@adislahlovo7409 2 жыл бұрын
Subhana llah huo ni ukubwa wa allah msahafu hakuzama wala haukuroa
@user-og6jy1lq7w
@user-og6jy1lq7w 8 ай бұрын
🤔🤔🤲🤔🤔
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Assalamu alaykum Mh msije mkajaribu kuutoleshs pesa kwa ajili ya maonesho waacheni watizame buree hio qur. Ani ni ya allah
@sulhiyasuleiman6904
@sulhiyasuleiman6904 2 жыл бұрын
Hakika
@user-ou9wu4lm3e
@user-ou9wu4lm3e 2 ай бұрын
Mungu mkubwa
@HamidKhan-sb2xk
@HamidKhan-sb2xk Жыл бұрын
Zawadikutoka kwa mwezi mungu we wataka kuigeuza biashara. Nja gani hiyo. Si wafanye kazi kama wale mababu walivyo fanya.magorofa na magari za kfahari zina sehemu zake. Hapo ni aamani tupu halisi.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Hapo lbilisi amesha fanya Fitna Kupitia Msahafu huo hata hiyo Kamati ya Msikiti Kuna Hatari ya kuhusudiana kutokana na Pesa ipatikanayo Kupitia huo Msahafu.
@kassimomar7589
@kassimomar7589 3 жыл бұрын
Wingwi mtakaooo
@zeanamohamed4072
@zeanamohamed4072 2 жыл бұрын
Subhanallah mwenyezi mungu mkubwa
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 жыл бұрын
Subhana llah
@munamohd963
@munamohd963 3 жыл бұрын
Subhana lwah
@shaksbinsalim453
@shaksbinsalim453 2 жыл бұрын
jamani kama nimaneno ya allah kweli huwahayafanyiwi utali kwa wasiyokuwa waislamu hatawaislamu maana kuna aya hatamoja inasema kama maneno ya allah yakukuwa ya utali hata yafike karine kumi wacheni mzaha naallah waislamu munapotea
@HamidKhan-sb2xk
@HamidKhan-sb2xk Жыл бұрын
Asalam waleikum hapo ni jambo la muhimu sana tuwasikiliza???ila hiyo neno katumia ni chafu sana na haifai kabisa. ??? Lugha akajifunze kwenza huyo mototo afu aingia kazi. Tafadhali sana. (Allhamdullahi takatifu kuran sheriff haiku OKOTWAA". elewa iyo na kwa vyovyote mpaka siku yu kiama haitakua hata kwa sekunde moja. (Ni NURU KUTOKA HAZINA WA MOLLA) WALEIKUM SALLAM.
@husseinfaki7380
@husseinfaki7380 2 жыл бұрын
Allwahu akbar
@hajiameir8688
@hajiameir8688 2 ай бұрын
Huo sio msahafu wa kawaida msahafu wa kawaida hauuwi hicho ni kitabu cha kichawi tu kama ghazzal jaushani na seif qatil haruob qatil na vyenginevyo msinasibishe quraan takatifu na vitabu vyenu vuengine vya kichawi na kiganga
@ZamzamHassan-hz4nr
@ZamzamHassan-hz4nr 2 ай бұрын
Mwandishi uko kifedha zaidi.. Jua Quran haiuzwi. Pia hii habari imekaa ktk sura ya kishirikina mambo ambayo hayakufanywa na mtume wala Maswahaba
@issahassan8361
@issahassan8361 Жыл бұрын
Sio kweli mnadanganyana tu Km msaafu ndani yke kuna maneno ya Allah na km itakua ni hivo Misaafu ipo mengi na maneno ya Allah ndio yale yale , sema nyie mnaufanyia itikadi za kishirikina na ukiitakidi kitu chichote bc kinakudhuru Na hao wanaohojiwa wanabahatisha hio storia kwaio ni uongoo.
@dulaseif5001
@dulaseif5001 3 жыл бұрын
WEE MTANGAZAJI HUFAI
@jicholetu7176
@jicholetu7176 2 жыл бұрын
Kwann sifai mtangazaj wa msaada maana nipe sababu nieke sawa 0776197488
@jicholetu7176
@jicholetu7176 2 жыл бұрын
Hustahili kumtoa maanani Mwandishi na hata kama ungekua unahitaji kumuelekeza basi ulitakiwa utumie lugha mzuri na sio kejeli
@abdullatifhassan9399
@abdullatifhassan9399 2 жыл бұрын
Kakosea wap brother
@wardatothman2881
@wardatothman2881 Жыл бұрын
​@@jicholetu7176mtangazaji hiyo ndio namb yako nikutafute
@hemedsalummbarouk7801
@hemedsalummbarouk7801 2 жыл бұрын
Sasa hu msafu ubora wake ni nini?kuuwa watu ndio jambo la msingi au vipi mbona sijaelewa
@KhamisShetani-pg3ws
@KhamisShetani-pg3ws 11 ай бұрын
Kwankni ikiwa unatumika Kwa ajili ya Tina usiendelee kutumika Nils ya kufanya shiriki
@thedon8467
@thedon8467 5 ай бұрын
Kuna kitabu kina itwa ghazali isije ndio icho
@mshengavuai5004
@mshengavuai5004 3 жыл бұрын
Hmmmmmm
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
hamjapata manufaa yote kwayo.zaidi ya hasara.hebu kuweni kisasa zaidi
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Ipo haja Wasomi, Masheikh (Maulamaa) wa Kiislamu waache Kuchambana (Radi) Mitandaoni wajikite zaidi kutowa llmu ya Dini (Imaan/Taqwa) sahihi Kwa Mujibu wa Uislamu. Jamii inapotea Kwa kufanya Kufuru/Shirki ya waziwazi. Innalillahi Wainna llahiyl Raj oun 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@dulaseif5001
@dulaseif5001 3 жыл бұрын
Wewe MTANGAZAJI unarukia rukia mtu hapati kuelezea chochote mara usharukia yani unaemuhoji nawe muandishi bora weye munazungumza sawa sawa
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Msahafu au kitabu cha kichawi mbona una alama za kimasonic
@humuodkindi4926
@humuodkindi4926 3 жыл бұрын
Ni makosa kushajiisha kipato hio ni Qur'an
@hamadifaki9827
@hamadifaki9827 2 жыл бұрын
Mtakuj apoooooo
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
hebu mambo yenu ya kishirikina.msiyaingize Kwenye.dini.nyie.iteni Kua ni kitabu sio.msahafu wala msiweke msktini
@hamidakondo4579
@hamidakondo4579 3 жыл бұрын
Quraan haiuzwi ni vibaya
@omarybissa8693
@omarybissa8693 3 жыл бұрын
Jaman
@rasadsaid1818
@rasadsaid1818 2 жыл бұрын
Huu ni ushirikina tuu
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
Kabisa na wat wapemba ni washirikina mno hawana tofaut nawatu wakule Tanga
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Akili zenu zipo katika ushirikina tu ndio maana umaskini na ufukara isiondoke wanga wakubwa
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
HAO sio maskini hata ukiwapa mamilioni utawaona HIVYOHIVYO.hawana hata hicho unachokiona wewe ktk akili zao.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Haji, usipotoshe jamii.Watu wa Pemba ni walioridhika na hali zao na wala hawana tamaa kama ilivyo jamii zingine.Umasikini wao ni bora kulilko utajiri wa wengi wanaodhulumu na kuiba mali za umma. Kuhusu ushirikina,hakuna jamii,ndani ya Tanzania,ambayo hawafanyi hivyo.
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
@@ahmedalbalooshi8518 Ila wapemba ndo kiboko wenyeew wanakukimbia kwao na wakija UNGUJA hawataki rudia kwao wamejazana hapa na ushamba wao mpaka ote twaitwa wapemba fyuuu
@dulaseif5001
@dulaseif5001 3 жыл бұрын
Weye muandishi vipi akili yako ipo kwenye pesa
@hemedsalummbarouk7801
@hemedsalummbarouk7801 2 жыл бұрын
Tuonnyesheni jinsi munavyo ingiza kwanye maji ni kweli au mnazingua
@mkongwekhamis4331
@mkongwekhamis4331 Жыл бұрын
Itaq llaha.
@snsonlinetv8432
@snsonlinetv8432 Жыл бұрын
Jina lako la kiisalam ila maneno Yako ni tafauti kabisa
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Je, yaliyomo ktk hicho Kitabu (Msahafu) ni Qur'an sahihi?! Kama ni Qur'an sahihi kabisa basi huo Msahafu utunzwe vema na uzingatie kivitendo Kwa Mujibu wa Mafundisho ya Uislamu na si kufanya miongoni mwa Chombo Cha Utalii na kuapizana tu! Tufuwate taratibu sahihi za kuapizana tuapizane Kwa kufuata Utaratibu wa Kiislamu. Bila shaka hiyo Qur'an ni Mwongozo, Ukumbusho, mwonyaji na Shufa/Ponyo Kwa Nafsi na Kiwiliwili. Hivyo tusiweke Kipaumbele ktk Kipato/Uchumi Kupitia kuionyesha Kwa Watalii na Kwa Kuapizana na kuwacha Makusudio/Malengo Mhimu ya Qur'an.
@dulaseif5001
@dulaseif5001 3 жыл бұрын
Serikali inawahusu nini na huo msikiti
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Kwanza Serikali Haina Dini, zaidi watageuza Kitega Uchumi Cha Kuwaingiza Kipato kutoka Kwa Watalii na kukiuka Lengo/kusudio kuu la Qur'an/Msahafu.
@allyfundi2931
@allyfundi2931 3 жыл бұрын
Acheni ushirikina na imanipotofu
@zahorsalum663
@zahorsalum663 2 жыл бұрын
we nimpuuzi tuu mbona ht nywele zamtume wetu zimehifadhiwa nanguo naviatu wala hatujawahi kusikia niushirikina itakua msaafu kwani kunakosa gani .msituletee ujinga ktk dini yetu someni msijitie mnaelimu wala hamna chochote mikojo nyy
@ramadhanhajji622
@ramadhanhajji622 2 жыл бұрын
Bela natamani kuja kuona huwo msahafu
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 2 жыл бұрын
Ukimuona mtu anakwambia ni ushirkina uyo ni salafi wabaya sana salafi kwa kujiona wawo ni wasafi
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
@@nabillkhamis8188 Bora salafi au ushirikina maana nyie washirikina hamtaki kuambiwa ukwel
@abumuhammad2572
@abumuhammad2572 Жыл бұрын
@@nabillkhamis8188 Usiite watu wabaya kwa sababu ya maoni ya mtu mmoja, unawajua salaf wote wa uliwenguni, inaonesha weye ndio mbaya na huyo alie comment humjui kwann umnasibishe na salaf, soma dini yako Nabil usikurupuke tu
(SIRI) PEMBA ILITUKUZWA NA MITUME WA ALLAH (SEMA NASI)
30:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 58 М.
Kumbe Pemba ni ya zamani sana
10:58
Weyani Tv
Рет қаралды 14 М.
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 16 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
BIBI WA MIAKA 85 HIVI NDIVYO ALIVYO FURAHIA HARUSI YAKE JANA.
6:57
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 84 М.
JAMAA PEMBA WATOA MACHOZI KWA FURAHA
3:33
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
VIJANA SABA WAKIISLAM WAFANYA MAAMUZI MAGUMU BAHARINI
6:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 17 М.
TAHARUKI PEMBA WAVAMIWA NA WATU WASIOJULIKANA
6:48
Tifu Tv
Рет қаралды 8 М.
HAYA NDIO MAJIVUNO YA WAPEMBA
9:05
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 83 М.
EXCLUSIVE: AMANI KARUME ATEMA CHECHE, AFUNGUKA SAKATA LA BANDARI
25:11
Daily News Digital
Рет қаралды 63 М.
SASA HII NDIO PEMBA MPYA
11:16
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,4 М.
MAAJABU PEMBA ...Fundi umeme mwanamke APATIKANA
18:49
Ally Abass
Рет қаралды 22 М.
KARIBU PEMBA KISIWA CHA HISTORIA
5:13
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 3,2 М.
PEMBA WASHTUKIA JAMBO!
9:53
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 28 М.
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 16 МЛН