Mimi sijawahi kutumia kipimo hicho but wewe jaribu kikombe kimoja sukari, maji kikombe na robo, na unga wa maziwa fanya kikombe viwili na nusu ila kwenye maziwa uwe na umakini weka kidogo kidogo ukiona umekuwa mzito❤basi stop na ukiona bado mwepezi utaengeza.
@LindaPamba2 ай бұрын
❤❤Wow lovely,please how can I get the shaping container like the one you are using?, am in Kenya
@millahkitchen2 ай бұрын
If you’re in Europe eBay Amazon, term, or AliExpress
@hafsaburhan65803 ай бұрын
Mashaallah Allah aibariki kazi yako In Shaa Allah
@millahkitchen3 ай бұрын
Amin
@talltall56743 ай бұрын
Ma shaa Allah ❤
@millahkitchen3 ай бұрын
Asante
@AngerinSawe-bm5ic2 ай бұрын
Nzuri Sana ❤️
@millahkitchen2 ай бұрын
Asante
@samranoor13603 ай бұрын
MashaAllah dia
@millahkitchen3 ай бұрын
Asante
@ummymohd49213 ай бұрын
Mashallah
@eshu-tanzania27912 ай бұрын
😊❤
@millahkitchen2 ай бұрын
Asante 🌹
@AngerinSawe-bm5ic2 ай бұрын
Jee zikopoa waeza zipasha
@millahkitchen2 ай бұрын
@@AngerinSawe-bm5ic sijaelewa suala lako .
@samranoor13602 ай бұрын
Assalam aleikum naulizaje mbona hayo maji ni mengi kushinda sukari maji 800g na sukari 400g si itachukwa mda ama mm nimekosea
@millahkitchen2 ай бұрын
No iko sawa my dear mie barfin zangu hazina sukari Ila hakikisha shira yako inakuwa nzito