Mash allah nzuri sana NimeipendA shukran sana kwa upishi wako nitajaribu soon❤❤❤
@queenshibaskitchen91302 ай бұрын
@@shamzone388 in shaa allah
@halalhalal13562 ай бұрын
MashaAllah habibty tuelekeze mkate wa tambi kutumia tambi za Mchele 👌🏿
@Husnarajab-kz3ipАй бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah .mungu azidi kuipariki kazi ya mikono yako Aunty
@queenshibaskitchen9130Ай бұрын
@@Husnarajab-kz3ip amin yarabi
@MamuBadru14 күн бұрын
Mashaalwa pushi zuri hii creamer uliifanya vipi
@queenshibaskitchen913012 күн бұрын
Angalia video vizuri utaelewa.
@samranoor13602 ай бұрын
MashaAllah afwan mpenzi pls sasa naomba utuoneshe jinsi ya kufanya swiss roll ya keki
@umsalim65152 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah, welcome back our Queen with your nice mapishi ❤
@queenshibaskitchen91302 ай бұрын
@@umsalim6515 shukran
@ShamsaSaid-i6c2 ай бұрын
Salaam tunaomba swissroll ya sukari plzz
@MamuBadru14 күн бұрын
Pishi zuri naomba utufahamishe ile crema uloweka katika samaki ulifanyaje
@ayshamwijaka2192 ай бұрын
A alaykum jee nikiweka kwa freezer inakaa mda gani
@queenshibaskitchen91302 ай бұрын
@@ayshamwijaka219 kitu chochote uki freeze kinakaa mdaa tu. Ila mie hizi huwa si freeze nataka nile kitu fresh. Ndio mana naweka kwa fridge kwa siku 1 au 2 basi.
@ShariffHassan-f3y2 ай бұрын
Mashallah shukran nataka kujuwa pan yako ni inchi ngapi kwa ngapi?
@queenshibaskitchen91302 ай бұрын
@@ShariffHassan-f3y 15 x10 inches
@samihamansour1893Ай бұрын
Habibty kama huna sawa cream je mayonise tu inatosha
@queenshibaskitchen9130Ай бұрын
@@samihamansour1893 unaweza
@shafa38102 ай бұрын
Sour cream ni lazima ?
@queenshibaskitchen91302 ай бұрын
@@shafa3810 skiliza vizuri video utafaham kisha utamuwa habibty.