Marekani atashuka tu kiuchumi mwaka huu anapenda sana kushobokea dundo kila sehem yupo anajikuta ye mwamba mzozo wa china na taiwan yupo russia na ukrain yupo korea kaskazin na kusin yupo kila sehem yupo ye nani atashuka tu waswahil wanaasema ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka
@abukarosman25652 жыл бұрын
Shauli yake na kimbelembele kitamponza
@wandesaid17522 жыл бұрын
Hongera kwa habari nzuri
@hamisikisiwa7212 жыл бұрын
Kwa kweli hii vita itaisha kweli jamani kwa kuwapelekea silaha. Mwenyezi mungu wabariki z waweze kufikia malengo yao
@hassanabdalla27412 жыл бұрын
Heko Urusi
@radhiasalum71562 жыл бұрын
Mnmm mara hii ishafumuliwa?
@gonanzaro55802 жыл бұрын
Huraaaaaa hureeeeeeee
@mzongekibwana8382 жыл бұрын
Piga hao machoko 🌈
@omarybakunda25542 жыл бұрын
Mashoga yanajitahdi kikomaa Ila yatapigwa tu.
@yasinimomboka45232 жыл бұрын
Sasa kama mifumo yenyewe imerengwa nakuaribiwa naurus uwoni kama mifumo iyo niyamchongo 🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇷🇺🇹🇿🇷🇺💚💛❤️❤️❤️❤️🇷🇺🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺🇷🇺💛💚
@gazaomar84902 жыл бұрын
Tupo pamoja mkono kwa mkono mpata mabeberu wasalim amri
@Inkubutembo77792 жыл бұрын
Mashoga
@abdallahrunwa18862 жыл бұрын
Wacha awanyoshe tuu sababu nato na marekani siasa zao ni za dhuruma nao mwisho wao unakaribia kufika damu nyingi walizomwaga bila sababu za msingi sasa zinawarudia watakoma tu...!
@jamesdizanzibar20752 жыл бұрын
Huraaaa🇷🇺💪
@abuukixhomari30002 жыл бұрын
Ivi ikauli wanayo itumiya jeshi ra uluc inamana gani