Usafi nyumbani | Kusafisha na kupamba nyumba na kupika chakula. //Vlog ya usafi.

  Рет қаралды 82,353

Rukia Laltia

Rukia Laltia

Күн бұрын

Пікірлер
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
If you would like to watch this video in English language press the link ➡️ kzbin.info/www/bejne/Y6jVdKJnlrVplbs
@queenbizo2899
@queenbizo2899 3 жыл бұрын
Ukihitaji mtu wakusaidia kazi za ndani sie tupo, mombasa kenya
@husnaabdillah4648
@husnaabdillah4648 3 жыл бұрын
Mnaishi watu wangap kweny hio nyumba
@rehemajumahamadi2727
@rehemajumahamadi2727 3 жыл бұрын
Nyumba yako nzuri and very organized, Maa Shaa Allah
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️ Allah ibarik fii 🙏
@AminaAmina-in9sh
@AminaAmina-in9sh 3 жыл бұрын
Mashaallah,,,ila usafi huo na nyumba wenyewe uwenayo sis wengine tuna stoo usafi huu tunaufanyia wapi🤣🤣🤣
@mozakamisa1490
@mozakamisa1490 3 жыл бұрын
Nalo neno
@ayshasulaiman5026
@ayshasulaiman5026 2 жыл бұрын
Utapata Inshallah
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 2 жыл бұрын
Haki ya mungu
@LindahMurrey
@LindahMurrey 3 жыл бұрын
Kwa kweli nyumba yako yavutia sana Such a beautiful home. New subscriber here
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
fanya tena hizo rukia nimependa sana wallah nakuangalia sana mim 😂😂❤
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Inshallah daa Asha ntafanya Shukran sana 🥰🥰
@Vick-9o-c
@Vick-9o-c 8 ай бұрын
Ni nzuri sana I'd love to see more of these.
@njerimutua3779
@njerimutua3779 3 жыл бұрын
I hv longed to see my favourite chef...Rukia u beautiful dear
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awww thank you soo much 🥰🥰
@devothafredrick3911
@devothafredrick3911 2 жыл бұрын
Nilikumic sana mrembo nyumba yako iko smart
@agnesswakaza4902
@agnesswakaza4902 3 жыл бұрын
Nimependa.sana.jmn nmejifunza.vingi kupitia.ww
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
mashaallah mashaallah my love wangu nilichelewa kuona video bomba kama hii mashaallah nimependa sana 🥰🥰🥰❤
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Shukran sana habibty wangu 😘 ❤️
@mishibahmad9657
@mishibahmad9657 3 жыл бұрын
Maashallah napenda sana videos zako...nimejifunza mapishi mengi kupitia wewe...Allah akubaarik👏
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana my dear ❤️ 😘
@soniientertainment3289
@soniientertainment3289 Жыл бұрын
I know your house smells soo goood🥰
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia Жыл бұрын
Always smell good😍
@rayfaakim1920
@rayfaakim1920 3 жыл бұрын
Naipenda sauti yako Wallah 😍😍😍
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana my dear 🥰😘
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Mashallah napenda Sana usafi wakula sehemu hongera Sana habibty❤️
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana habibty 😘
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 жыл бұрын
Mashaallah wajina Wa Dada 🙏🙏💕💕
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Kila siku nasikia sauti yako tu leo nimefurai kukuona mwenyew honger kazi mzuri sauti mzuri 😍😍😍
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana 🥰🥰
@zeddysale5082
@zeddysale5082 2 жыл бұрын
Iko smart Mashaallah
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
Nilikuwa napita tu lakini😋😋😋😋😋😋😋kitam mnooooo hongera sana dada
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
🙈🙈🙈karibu sana
@neemambise5753
@neemambise5753 3 жыл бұрын
wawoo! vlog za kiswahili ! napendaa😍😍😍🔥🔥 New subscriber
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana karibu sana 🥰
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 3 жыл бұрын
Ma sha Allah...my old best friend... video nzuri shosti 🤗🤗😍😍
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you soo much habibty ❤️ 😘
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Mashaa Allah nakupenda wallah daa Rukia niko Saudia wavaa bui size gani nikija in shaa Allah nikulete🙈❤️🤝
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awwww jamaniii 😍😍😍Thts soo sweet of you Shukran 🙈🙈🙈56
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 3 жыл бұрын
Shukran jazaka Allah kheri nakutakia kila kheri katika maisha yako
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️ na ww pia
@rukayyawendo1268
@rukayyawendo1268 3 жыл бұрын
Asante Sana kwa hii video
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana kwa kuangalia pia
@jennyjen15
@jennyjen15 3 жыл бұрын
Vizuri Sana kwa lugha ya kiswahili, wengi hutumia kingereza big shout out 👏👏👏👏👏
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sanaa 🥰
@raysamiya3760
@raysamiya3760 2 жыл бұрын
@@RukiaLaltia naomba unipe number yako y cmu pls nitahitaji unisaidie. Mm naitwa Samia kutoka KENYA
@winfridakamuabwa964
@winfridakamuabwa964 2 жыл бұрын
@@RukiaLaltia nijua mwarabu wewe
@mimmy4899
@mimmy4899 3 жыл бұрын
Uko na nyumba smart. 🥰 Haki kiswahili yako iko poa sana 😍
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awww thank you soo much 🥰😘
@lizzymika8838
@lizzymika8838 2 жыл бұрын
Nimetamani sana life style yako naomba use rafiki yangu
@aminamol266
@aminamol266 3 жыл бұрын
Maashaallah nakupenda sana Rukia. Na enjoy na clip zako
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awwwwww asante sana my dear mm pia 🥰
@munnababygal8460
@munnababygal8460 3 жыл бұрын
Masha Allah nyumba yako nzuri dada
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️
@salmaalnaman7477
@salmaalnaman7477 3 жыл бұрын
Mansha'Allah very nice I like the video na mimi napenda sana miti lakini hapa kwetu joto sana inakufa lakini najitahidi kuichunga.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Maskin chukua miti ambayo ni mzuri kwa weather ya joto
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Ahsante sana mrembo wetu
@aj_the_hot_boy7952
@aj_the_hot_boy7952 3 жыл бұрын
Green my favorite 💐💐💚💚💚💚💚💚
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awww 🥰🥰 me too
@maryanomar119
@maryanomar119 3 жыл бұрын
Mashallah Umependeza mpambe hongera rukiya mashallah 🥰👍
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️
@simplylindah9936
@simplylindah9936 3 жыл бұрын
Simply amazing....always waiting for your vlogs
@salharatib1094
@salharatib1094 3 жыл бұрын
Masha'Allah Masha'Allah thank you for sharing mabrook
@mayryamsaid7038
@mayryamsaid7038 3 жыл бұрын
Asante sana tumefurahia video mm natka iyo roboti napataje
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Online Amazon waeza pata
@dicasdaanalu
@dicasdaanalu 3 жыл бұрын
Congrats!. *Another good video!* *Continue uploading good videos that the fruits will appear.* Wish you the best!... _Super Like from Brazil_
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you 🥰
@amrahschannel5599
@amrahschannel5599 3 жыл бұрын
mashaAllah mashaAllah hbbty...it was nice spending the day with you! Kazi Safi Sana mashaAllah Kuspray perfume all round me and u same group haha love Fresheners na miti...
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Hahahaha 😂 😂 😂 and that's why Allah made us to meet up and to become soo close friends alh 🥰😘thank you boo for your support means alot wallahi
@fakisaid1869
@fakisaid1869 2 жыл бұрын
Mm naomba kazi umo
@memynanji6108
@memynanji6108 3 жыл бұрын
Masha Allah nice video.. unajipenda sana (ni kitu kizuri)
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you
@aidaabdul6642
@aidaabdul6642 3 жыл бұрын
Mashallah nimependa habibty uwe unatuletea na video za hivi
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Inshallah my dear I will
@thekickblog
@thekickblog 3 жыл бұрын
Vijana jifundisheni mambo mazuri hayo, msiwe kutwa kwenye social media.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Social media ndio Kuna pesa 🤪
@nshimirimanadjamilla7270
@nshimirimanadjamilla7270 3 жыл бұрын
Masha allah allah akuhifadhi nakupenda bure
@graceakinyi8448
@graceakinyi8448 3 жыл бұрын
Wow, lanes my friends.
@luaddylubby9846
@luaddylubby9846 3 жыл бұрын
Nice video mash Allah...Next video tuonyeshe wewe na family yako shukran nd luv u
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Hahahaha 😂 😂 😂 mayb family ya Kenya huku sina family
@luaddylubby9846
@luaddylubby9846 3 жыл бұрын
ohk Good
@luaddylubby9846
@luaddylubby9846 3 жыл бұрын
ohk Good
@farhatjumamohd1466
@farhatjumamohd1466 3 жыл бұрын
Asante uko vizur
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Shukran sana
@fatumabakari1274
@fatumabakari1274 3 жыл бұрын
Yah! Nimependa sana hii video nanipenda hch kirobt pia
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awww asante sana my dear ❤️ 😘
@annelifestyletv68
@annelifestyletv68 10 ай бұрын
Best vlog😍😍😍
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 10 ай бұрын
Thank you 😊my dear ❤️
@juwairiyakitchen3759
@juwairiyakitchen3759 3 жыл бұрын
Wao nmependa mno
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Shukran 🥰😘
@Ridak_ludba
@Ridak_ludba 2 жыл бұрын
Asalam aleykum mashaallah nice one nimependa hio robot pengine unaeza Namibia yapatikana wapi bila kukukwaza kipenz hua naskia saut tu leo nimejaliwa kukuona u look gud
@fawwadhibrahim
@fawwadhibrahim Жыл бұрын
Mbona zipo hizi madukan makubwa
@africanqueen956
@africanqueen956 3 жыл бұрын
Tuonyeshe jinsi ya kuosha bafu na jacuzzi 😎😎
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Inshallah
@beverlymshai8149
@beverlymshai8149 3 жыл бұрын
You remind of me...❤❤❤love all your contents. Be blessed gal.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awwww thank you soo much 🥰
@1nika1001
@1nika1001 3 жыл бұрын
Amazing vlog! Great! 💖💫🌟🌟💫
@shamfanfashions6750
@shamfanfashions6750 3 жыл бұрын
MashaAllah keep up daughter💖... Lovely
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you soo much aunty 🥰😘
@zumlanangumbi9201
@zumlanangumbi9201 Жыл бұрын
Kkkkkkk....😂😂😂iyo introdution
@pamelaalphonce4742
@pamelaalphonce4742 Жыл бұрын
Nimeipenda sana do it again ❤
@mercygibson538
@mercygibson538 3 жыл бұрын
Nakupenda sana,,from Kenya
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awwww Nakupendaaaaaaa na mm pia 🥰
@cookingfantasies1310
@cookingfantasies1310 3 жыл бұрын
Izo nyumba za mambele hukoo🤣🤣🤣🤣🤣😂ss si wenye chumba kimojaa
@magdalenayohana4216
@magdalenayohana4216 3 жыл бұрын
Et 2nafanyaje sas🥴🤣
@sikudhanicharless88
@sikudhanicharless88 3 жыл бұрын
😂😂😂😂nimecheka punguza kubana sauti bwana ongea kawaida 😂😂😂😂😂khaaa mpk masikio yameziba
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Lol kwa kiswahili kulikuwa na sauti nyingi kwa background ikabidi nitowe sauti za background ndio maana sauti yangu iko hivyo .
@hopestylist4259
@hopestylist4259 3 жыл бұрын
My dear tunataka house tour.good job.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Upcoming videos God willing
@elieshistephen1534
@elieshistephen1534 3 жыл бұрын
Nakupenda sana Rukia. Wewe ni mama bora.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️ 😘
@marymussa6900
@marymussa6900 3 жыл бұрын
Nakupend buree😘
@florahsanaa4305
@florahsanaa4305 3 жыл бұрын
Nice job
@candymusa5090
@candymusa5090 3 жыл бұрын
Hongera sana
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana
@aminasjoekitchen7959
@aminasjoekitchen7959 3 жыл бұрын
Masha Allah nice house 🥰🥰🥰
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you soo much
@stravall279
@stravall279 3 жыл бұрын
I like ur home place so nice my cc💯❤️❤️
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️
@rahmabebz6118
@rahmabebz6118 3 жыл бұрын
Ma sha Allah nimependa dear fanya ivo kila cku mpenzi ❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Inshallah Shukran 🤲🥰
@rahmabebz6118
@rahmabebz6118 3 жыл бұрын
Afwan habibty 🥰❤️😘😘
@mrsibrahim
@mrsibrahim 3 жыл бұрын
Nice house mashallah ... napendaa mapishi yako pia🤎🤎🤎💕
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Shukran sana 🥰🥰😘
@farahmohamud6681
@farahmohamud6681 3 жыл бұрын
MASHALLAH.MASHALLAH
@gladysmaitha5724
@gladysmaitha5724 3 жыл бұрын
nimeipenda
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana
@ashamidello8298
@ashamidello8298 3 жыл бұрын
Wooow!Mashaallah my dear!
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Shukran sana 🥰
@emillianapaulo462
@emillianapaulo462 2 жыл бұрын
asante
@mapishiwithsabrina87
@mapishiwithsabrina87 3 жыл бұрын
😅😅😅 mwanzo hapo umefrizi nakumbuka hizo shida 💖💖💖 Masha Allah nice video luv... Missing you ❤️
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
😂😂😂behind the scenes waregelea hadi iwe perfect 🤦🤦🤦,thank you darling 😘 I miss you too Daa sabby 🥰
@nanakanana00
@nanakanana00 3 жыл бұрын
🤩😍😍that house is 👌👌
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Aww thank you soo much 🥰😘
@Siasia209
@Siasia209 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah kumbe sauti ni yko
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
😂😂😂😂🙈🙈🙈jamanii kwani ilikua mwafkiria ya nani
@Siasia209
@Siasia209 3 жыл бұрын
@@RukiaLaltia nzuri sana ma shaa Allah
@herishimiyephocas6005
@herishimiyephocas6005 3 жыл бұрын
It's the voice for me
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awwww thank you my dear ❤️
@julienaturegrowerstv1958
@julienaturegrowerstv1958 3 жыл бұрын
Lovely plants 😊👍
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you
@hasinarashid5059
@hasinarashid5059 3 жыл бұрын
Wow asantee😘😘
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Karibu darling 😘
@amyskitchen_jikoni
@amyskitchen_jikoni 3 жыл бұрын
MashaAllah! Nimependa
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 3 жыл бұрын
Shukran 😍😚
@faridahussein4962
@faridahussein4962 3 жыл бұрын
MashaAllah very clean sister 😘😍
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️ 😘
@samranoor1360
@samranoor1360 3 жыл бұрын
mashaAllah luv luv ur flat is it a rented one very clean
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
It’s not a flat,it’s a house
@samranoor1360
@samranoor1360 3 жыл бұрын
@@RukiaLaltia oh beautiful
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 3 жыл бұрын
Hiyo miziki sasa huwa itatukosesha kuangalia Video zako nasi twakupenda 🥲
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
???Sijakuelewa samahani
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 3 жыл бұрын
@@RukiaLaltia yaani na mahanisha kwa hiyii Video yako mziki nimwingi sana jaribu upunguze yaani sababu twapenda Video zako
@desifoodingreece
@desifoodingreece 3 жыл бұрын
Nice interesting video stay blessed 👌
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you soo much 🥰
@rukiarashid3080
@rukiarashid3080 3 жыл бұрын
Very nice mashallah
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Shukran sana 🥰
@fatmaseifsuleiman6072
@fatmaseifsuleiman6072 3 жыл бұрын
Very nice mamy
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you my dear ❤️
@Tariqxxtenations
@Tariqxxtenations 3 жыл бұрын
Mashallah
@salmahilal3577
@salmahilal3577 3 жыл бұрын
Kazi iendeleee
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Kabisa 🥰
@zamzamtv10000
@zamzamtv10000 3 жыл бұрын
Mashallah nice
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Masha Allah adi raha apo kwako au
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️ 😘
@zakiaswaleh6976
@zakiaswaleh6976 3 жыл бұрын
Masha’Allah
@ashreysaid179
@ashreysaid179 3 жыл бұрын
Hello Rukia! Hongera dear.... ila juzi nilikuuliza kwanini Ile juice ya nanasi kwann ulichemsha ina saidia nini?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana my dear,si nafkiria ulijibiwa hapo Chini kwa comment yako ndio maana sikukujibu 🥰
@mayahyusuf9625
@mayahyusuf9625 3 жыл бұрын
I like the video mashaallah❤
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Thank you soo much 🥰😘
@khanniebaraka1515
@khanniebaraka1515 3 жыл бұрын
Nataka hio roboti naipataje love
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Waeza pata Amazon online
@maryoum7019
@maryoum7019 3 жыл бұрын
@@RukiaLaltia hbbty unaweza kutuambia bei ya hio robot plz Nimeipenda n mm pia
@aadmsalua3658
@aadmsalua3658 3 жыл бұрын
Hatujamuona baba wakt wa kula 😃😃
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Hahahaha 😂 😂 😂 hamuwezi muona hapendi social media 🤪
@aysherkitoi6547
@aysherkitoi6547 3 жыл бұрын
Mashallah ❤️❤️❤️❤️
@winniekahonge4094
@winniekahonge4094 2 жыл бұрын
Unatumia perfume gani kuspray nyumba?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 2 жыл бұрын
Ikiwa uko kenya ... Unaweza pata eastleigh just ask for house perfume you wil get them.....
@khadijaidrisa4648
@khadijaidrisa4648 3 жыл бұрын
MashaAllah dear!nzuri sanaa..!endelea kututumia....
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana habibty 😘
@radiyasaleh2677
@radiyasaleh2677 3 жыл бұрын
Mashallwa
@zamzamhaji1229
@zamzamhaji1229 3 жыл бұрын
nice mashallah😍😍😘
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana ❤️
@mamunote3507
@mamunote3507 3 жыл бұрын
Mashallah Mashallah
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Fanya Usafi Wa Bafuni Na Chooni Na Bariki😂😘😊
8:48
Bariki Karoli
Рет қаралды 16 М.
Waking up at 5 a.m./ Husband’s lunch box, children’s snack chicken
19:22
꿀주부 Honeyjubu
Рет қаралды 1,2 МЛН
Things to do in Mombasa Kenya as Tourist //Activities & good food .
10:43
MAANDAZI YA BIASHARA MATAMU SANA NA LAINI‼️
8:26
Hadija Sheban
Рет қаралды 497 М.
Ziara ya appartment yangu// Karibuni nyumbani kwangu.
9:10
Rukia Laltia
Рет қаралды 3,6 М.