Safi sana , lakini sasa East Africa Community inafikiria nini kuhusu huo Mradi? Sababu tunatumia pesa nyingi sana kuagiza magari toka Ughaibuni
@malcolmeliezerkanyamala38822 ай бұрын
Hongera sana kwao UG,sisi tuendelee kunywa mtori taratibuu.
@egbertcharles2 ай бұрын
East African government should look into ways on how they can support this EVS industry in Uganda, so as to promote our own made products. I live in China, The Chinese government is doing whatever it can to promote it's own made products at the same time trying to minimise the use of imported products this act provides a way for her economic to grow. There is a need for African governments to start implementing the same measure so as to rescue our growing economy by reducing high competition in the market. GOD BLESS TANZANIA, UGANDA, KENYA, RWANDA & BURUNDI. GOD BLESS AFRICA.
@PROSKWEKA-ff2gd2 ай бұрын
Zinatufaa sana kwenye mwendokasi ni wakati sasa tutumie vya kwetu Africa
@jeremiaaugustino71872 ай бұрын
SIO KWA AKILI YA VIONGOZI WEUSI
@msamgunda76842 ай бұрын
Masokwe hawa hawa wa africa mashariki?
@abdallamasoud77342 ай бұрын
Hongereni sana Uganda kwa kupiga hatua kubwa sana..
@DubaiGadgetsTz-cm2zg2 ай бұрын
Nzr sana
@abdujr_tiktrends2 ай бұрын
Mtangazaji Umetisha Sana💯
@OmarrySingano-kf9il2 ай бұрын
Safi sana mzinga kwakuturetea mambo mazuri
@gibbs13202 ай бұрын
Marehemu Magufuli angekuwa hai basi angeleta haya magari Tanzania kwa ajili ya Mwendo kasi.Kwakuwa ha hayupo hai basi tuta endelea kuteseka na huu usafiri tuu
@eddechriss26642 ай бұрын
If African countries we are agree and trust ourselves then we support each other am sure in next 10 years Kiira motors will be something different
@MussaMulinde-pg1rp2 ай бұрын
Ugandan mko juuu sana kwenye hilo
@ZainabuMwakalinga-re3ly2 ай бұрын
Tuna taman kujua bei
@davidedson96292 ай бұрын
Yote yaliyoongelewa mazuri lkn mbona Bei haijawekwa ?
@ismailisungura34912 ай бұрын
Salute sana kutoka S.A
@arnoldmambali37702 ай бұрын
ni wakati na sisi tuwe na kiwanda hata cha BMW
@GeorgeMhanuka2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@barrynzeyimana62702 ай бұрын
Kama hatujazinunua wazungu wakizinunua hua ni kwenye kuiba technology
@jumakessy75602 ай бұрын
wakati Tz ndio kwanza showroom za magari ya japan zinaongezeka
@TuntufyeBrayson2 ай бұрын
Tuache kuagiza nje sasa Kila siku out Africa
@AliBakar-sx7lu2 ай бұрын
Hawa wana manufacture or wana assemble hayo magari kwani spare parts (vipuri) wanazalisha hapo Uganda 🇺🇬?
@sitamgeta75652 ай бұрын
ITV wamekuambia ni kiwanda cha kutengeneza magari ya umeme unaanza kuuliza upumbavu.
@jeremiaaugustino71872 ай бұрын
HAUNA MACHO? klwani TOYOTA Wanatengeneza hadi TAA na vioo? kuna parts lazima ununue
@issandule17502 ай бұрын
Acha kukalili
@eddechriss26642 ай бұрын
Mtu anaona kabisa watu wako kiwandani alafu unaliza assembling, what does it mean, assembling
@isaackemanuel37122 ай бұрын
Sasa mpaka mlete huku kwetu Tz tutakua tumeisha maana tunatekwa Kila siku
@osiahstimah2 ай бұрын
Sisi tujifunzage tuu maana kufanya atuwezi zaidi ya udaku mitandaoni
@DeoGeorge-uf3ym2 ай бұрын
Mtangazaji anaonge kuliko mwenyji nilitamani kujuwa garama
@songamberetv22192 ай бұрын
Sio kosa lake ingeshukuru maana mwenyeji unasikia Kiswahili kinamusumbua mutangazaji anajaribu kila neno kulitafusili ndo maana anachukuwa time kubwa
@bullermgana2132 ай бұрын
Mnamdisi masoud mnawasifia waganda hii ndio tz sasa
@brightmwaipopo63702 ай бұрын
Tz 😂😂
@masatumtani15882 ай бұрын
Apo wana assemble sio kiwanda vipuri vitoke nje useme kiwanda cha kutengeneza ni sawa na kiwanda cha Kibaha kile cha FAW
@jeremiaaugustino71872 ай бұрын
Utashangaa mwendokasi mpya tunaagiza CHINA Tena.....mtu mweusi bwanaaaa
@deniccgabriel61532 ай бұрын
Chamsingi tukubaliane kumuondoa Samia madalakani mambo ya viwanda vya watu wazawa tusipo amua tutavisikia kwa wenzetu miaka 10 sio ya kuifanyia mzaa ,lasivyo akiludi madalakani upyaaa ziala za nje kilakukicha zitaaanza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂6😂😂😂😂😂😂😂