Ayo TV, millardayo.com inakukutanisha na Carwash ya China, Gari linajiosha lenyewe ndani ya dakika 3 hadi 4.
Пікірлер
@bakarimatangula76072 жыл бұрын
Nakukubali sana Dullah tza
@adammjomba71124 жыл бұрын
Milad Ayo hizo machine ni zazamani sana mbona zimeenea pore duniani sio chaina tu sio jambo la kuongelea
@lilymammpayo80724 жыл бұрын
Hizo Barbara ndo mzitamanii na sio magar ,like twende sawa
@mbarouksalim27925 жыл бұрын
Hiyo technology niliona miaka 29 iliyopita Marekani. Millard Ayo ujue Tanzania tuko nyuma sana
@kassimsadat89765 жыл бұрын
Ayo TV hadi China nyie noma
@leonkal20054 жыл бұрын
Kwa matope ya bongo mashine itakufa tu"
@UzalendoNaUtu4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@yusuphsekil98504 жыл бұрын
DULLAH TZ HII TECH NI YA ZAMANI SANA JAMAA YANGU TUPIA ISHU MPYA BANA...
@edwingwesso1295 жыл бұрын
Kama umeshangaa Kama Mimi achia Like
@DuniayaHabari4 жыл бұрын
Subscribe, share, like na comment kwenye hii link kutuliza akili kidogo kzbin.info/www/bejne/oWm1k3mHZZZ2g9U
@danielmadenyeka42485 жыл бұрын
Duuuuuuu......kwl tech ipo juu
@emmanuelellymwakyusa29005 жыл бұрын
Ni rahisi saaana kuosha gari safi
@pacifiquerema23475 жыл бұрын
Millard mungu akubariki saaana tena saaana,jili ww nakuona mbali saaana,genius
@joshualaitei16334 жыл бұрын
Kuupoteza kazi kwa vijana Huu mtambo usikubaliwe Africa maana ajira Hamna Acha tuoshe hayo magari mikono iende vyani
@charlesmpemba93875 жыл бұрын
Mbona ya zamani sana hiyo kaka
@Heisgvoice3 жыл бұрын
Mkuu atupo nyuma sana sababu tulikuwa nayo pale kwa manji quality motor ilkuwepo pale bana
@gansanngolla37895 жыл бұрын
Alf gari haijioshi na kujikausha bro...inaoshwa na mtambo kiswahili kumbe kigumu sana
@raymondjuma92214 жыл бұрын
Y'all are welcome to Nairobi... You'll see this
@nyotayajaa38905 жыл бұрын
Noma sana onge la
@igihamanuel14 жыл бұрын
Hata Sakina pia Arusha
@josephinemakungu84475 жыл бұрын
hee hii ichi ni rich sana
@tajibetese55674 жыл бұрын
Kafeli miladayo
@jackprince25464 жыл бұрын
Technology kali
@josej98884 жыл бұрын
Inajikausha yenyewe au inakaushwa na machine? Kiswahili kigum sana.
@DuniayaHabari4 жыл бұрын
Subscribe, share, like na comment kwenye hii link kutuliza akili kidogo kzbin.info/www/bejne/oWm1k3mHZZZ2g9U
@burundishallsmile1day1094 жыл бұрын
Ina fan inapuliza ao ku dry Maji. Ila bora kuosha kwa mikono ari lako Machine haitakatishi
@nonenone49545 жыл бұрын
#Greatest✅💯
@matendupiterngoge87072 жыл бұрын
Nairobi Kenya upo bwana
@DuniayaHabari4 жыл бұрын
Subscribe, share, like na comment kwenye hii link kutuliza akili kidogo kzbin.info/www/bejne/oWm1k3mHZZZ2g9U
@DuniayaHabari4 жыл бұрын
Subscribe, share, like na comment kwenye hii link kutuliza akili kidogo kzbin.info/www/bejne/oWm1k3mHZZZ2g9U
@donpjay95285 жыл бұрын
Mbona vipo sana ivo
@mohamedmchopa22545 жыл бұрын
Ndani je
@RuzoOwzy4 жыл бұрын
ishu ni usafi wa ndani ya gari!
@zanzibaronetv9885 жыл бұрын
Sio nzr rabda waboreshe zaidi coz gairi haioshwi ndani ama haisafishwi ndani
@nohatredbutlove57865 жыл бұрын
Kibongo bongo ni ngeni lakini mimi naoshea hiyo nina miaka tena.
@dicksonisakwe30635 жыл бұрын
Nilishaona kwenye finali destination movie
@sellah46035 жыл бұрын
Hat tz iko arusha
@a.k.astudio53515 жыл бұрын
Vipo ata kwetu mzee #USA
@ashurasss10444 жыл бұрын
Masha Allah
@mohamed.hassani99175 жыл бұрын
We mtangazaji mshamba sana hizo mashine za kuosha magari zipo long time ,,watu washaosha sana tena hazisafishi vizuri kama car wash ya kawaida.mimi nilifikiri mashine gani ya ajabu.
@khadijahali48372 жыл бұрын
🔥🔥
@benetsonbalayangaki3794 жыл бұрын
Amaizing
@SamuelCharles-1115 жыл бұрын
Kweli first world countries....
@yahayachuma86124 жыл бұрын
Ndani wanasafishaje sasa bro
@edwinlusimba82355 жыл бұрын
Baadala ya kwenda China tangulia hapa Kenya ujionee kwanza.
@shaibunyenzi87125 жыл бұрын
Ni Teckolojia za enzi ila zimeboreshwa. Na tujifunze muundo wa lugha, Gari halijioshi bali linaoshwa na mtambo unaojiendesha wenyewe.
@josephatmazinde16285 жыл бұрын
Shaibu Nyenzi lugha gongana
@shaibunyenzi87125 жыл бұрын
@@josephatmazinde1628 Umegundua??!!
@stevekanuya1115 жыл бұрын
Njoo Arusha mtaikuta hpo hyo car wosh mitaa ya majengo
@robbemanase90515 жыл бұрын
Duh hii kitu mbona iko miaka mingi sana tenatoka 70’s huko na hapa Bongo miaka fulani ilifunguliwa ila haikudumu
@christophergombo53624 жыл бұрын
Ni shagaosha gari langu
@justinlulu39754 жыл бұрын
Kenya 🇰🇪 ziko kwa wingi
@akilihabibu42034 жыл бұрын
Inaoshwa au inajiosha na je inajikausha au inakaushwa. Nyoosha kiswahili
@shabanabdallah22135 жыл бұрын
Millard ayo car Wosh kama hii ipo arusha pia mitaa ya majengo karibia na aim mall
@kuzeboy78894 жыл бұрын
Vp
@mohammedsoronga37224 жыл бұрын
jiangalie ww
@bwayeazi5 жыл бұрын
Wakti arusha majengo ya chinii ipo karbia na culture......we mtangazaji unatuona mareeee aseee jomba
@TheConqueror__Yb4 жыл бұрын
Ajielewi tumsameee
@ashwramashallah72424 жыл бұрын
Mashaallah.
@edwardmbonika51025 жыл бұрын
Wewe ndio umeona Leo Arusha sakina zipo nyingi Nairobi pia zipo
@chasydaniela12335 жыл бұрын
Edward Mbonika 😂muelimishe ana Haibu pia 🙉
@bwayeazi5 жыл бұрын
Karbia na culture heritage.....uyu jombaa anatuonaa mareeee nn
@mnzavachris54235 жыл бұрын
@@bwayeazi ndo iko wp hii!
@bwayeazi5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 arsha majengo
@mnzavachris54235 жыл бұрын
@@bwayeazi ivo!
@AlexJoseck4 жыл бұрын
USA zipo zinaosha magari yetu kwa dakika moja tu!
@yusuphsekil98504 жыл бұрын
HII TECHNOLOGY NI YA ZAMANI SANA MARA YA KWANZA KUNA JAMAA YANGU ALIIONA MWAKA 2001 AMERICA....
@asinathasinath50905 жыл бұрын
Nice
@marylotidahjmnukovizur59354 жыл бұрын
Mbona chuga IPO
@pilatowapili11665 жыл бұрын
duh teknolojia uchina inaongoza
@rayh.mwakilasa21775 жыл бұрын
Pilato Wa Pili siyo technology ya china ipo Amerca miaka mingi sana ,angalia movie za Anord swartzneger , Rambo ,Vandame au james Bond . Ni kitu kpya kwa umri wako wewe
@mubarakamtuguta46425 жыл бұрын
sio kwa tope la bongo.
@fadhilingogota35814 жыл бұрын
Kwa wabongo ndo jipya njoo Germany bro utapenda
@brothersalim0015 жыл бұрын
Sure brow
@benjaminbatano32934 жыл бұрын
Hijioshi yenyewe bhana inaoshwa.
@rashidomar9595 жыл бұрын
Mbona hizo machine tunazo huku arusha
@iddyjuma41825 жыл бұрын
Njoo uone arusha ipo
@dieudonnemto57225 жыл бұрын
Acha ushamba bro# ndokawaida ya inchi za uku
@jayz87205 жыл бұрын
Teknolojia kama hii iko Nairobi, Kenya.
@ernestthomas96895 жыл бұрын
Baba la Baba, Hyo ktu iko hata hapa chugastani hapa... Pande za hapa majengo
@igihamanuel14 жыл бұрын
Mwaka wa 3 Arusha
@deborahhansuli30094 жыл бұрын
Inasafishwa na machine sio inajiosha bhana
@kbtv36215 жыл бұрын
Kawaida tu apa USA
@juliomgandu10415 жыл бұрын
ungefanya mahojuano na dereva ata mmoja post ingekaa poa sana
@edwingwesso1295 жыл бұрын
Ndani inaoshwaje na dereva yumo
@Cheffhood4 жыл бұрын
millard umeishiwa habari nn vitu kama hivi tangu miaka ya 70
@graysonmangalameck23304 жыл бұрын
habari
@christophergombo53624 жыл бұрын
Ata marekani ipo
@FabianoSinghania8 ай бұрын
Lakini haioshwi ndani
@johnsonmarick455 жыл бұрын
Naona hujiamni, unadhani magari yatadondoka toka kwenye flyover
@financialloan98185 жыл бұрын
Wabongo washamba sana jamanii mbona kawaida sana njooo UK uku muone maisha sasa kuosha gari tuu ndo mnatuwekea KZbin?acheni kuzalilisha nchi zetu ndio maana wazungu wanatubuluza na kutuita wapumbavu.mmeniboa sana
@shinanilumato96755 жыл бұрын
Magomeni mwembe chai ilikuwepo Siku nyingi sana
@innocenttesha89944 жыл бұрын
Tena zaidi ya miaka ishirini sema dogo mwenyewe wakati ya mwembe chai inatamba alikuwa hajazaliwa
@taifocuscompany92464 жыл бұрын
Yes nakumbuka kitambo sana
@abdallasabour50345 жыл бұрын
Technology kills job opportunity
@elizabethjoseph21165 жыл бұрын
Umeongea point
@thepatriottz92055 жыл бұрын
Noone cares about job opportunity efficiency is key
@jephutajonathan82413 жыл бұрын
Hiyo mitambo haijakutana na tope la kijijini gari imekula tope nzito mpaka mtambo unaguna wenyewe 😂😂😂😂😂
@edwingwesso1295 жыл бұрын
Mm naomba yasifike Tanzania maana 2takoswa ajila
@harounali16265 жыл бұрын
Mwanangu hiyo ilikupo Dar-es-Salaam Bara Bara ya posta mpya miaka ya 1980 kwenye petrol station na hakuwa I kifanya kazi vizuri kwa Sababu ya kikuwa hakuna maji ya uhakika na umeme wa uhakika. Sijuwi kama hiyo Petrol Station ipo mpaka leo
@mnzavachris54235 жыл бұрын
duuh!
@shadrackmpama29474 жыл бұрын
Hii hata kigoma ipo hio mkuu
@gracemima52344 жыл бұрын
Mbona hizi ziko tangu zamani?
@rosestigeneriksson83875 жыл бұрын
Jamani kwani bongo hakuna hizi services basi tuko nyuma sana
@masoudkipara50534 жыл бұрын
Milad hawa vijana wako niwashamba sana , mbona bongo zpo tu izo nenda pale kwa manji nyerere road (quality plaza) mkabala na toyota motors
@dc391395 жыл бұрын
Mbona hii iko kitambo, kwa mara ya kwanza nimeiona kule California 2011
@lightnesselirehema14644 жыл бұрын
Ilikuwepo mwembe chai filling station pale muda naona sasa hivi haifanyi kazi. Miaka mingi kama kumi hivi
@rashidalnaamani61544 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza kuona hizo automatic car wash kuziona it was 1978 muscat oman so jamaa yetu analeta hizi habari nakushangazwa 2020 mmmh
@mussatendeli69095 жыл бұрын
Mbona ndani haioshwi sasa
@omarymwigura3285 жыл бұрын
Sio Habari
@gaboonviper97055 жыл бұрын
Hii mitambo imejaa kenya,,,kwa kila petrol station,,,lakini hapa kwetu Bongo twaona maajabu kweli
@festongonyani1524 жыл бұрын
Picha ya ndege jirani na ATN Petrol Station ilikuwepo hiyo
@namirihamisi38994 жыл бұрын
mbona hayo mambo yapo sehemu nyingi tu
@teychriss32484 жыл бұрын
Zipo hata TZ sema inaiosha nje tu!still vacuüm iitahusu ndani
@primienr58905 жыл бұрын
Hiyo techno tunayo huku Europe , tangu zamani bro!!!
@sabatomashiri5649 Жыл бұрын
Ina bei gani bro
@simonringo47015 жыл бұрын
Miaka ya 90 nakumbuka kuoshea gari yangu Super Star Mwembe Chai kwenye mtambo huo. Ni kitu ya zamani sana hiyo dogo.
@josephatmazinde16285 жыл бұрын
simon ringo Sure hata mimi nilishaoshaga hapo siyo jambo geni
@bonaventurasheshe9615 жыл бұрын
Nmeshuhudia Hata hapa nlipo mitambo io ipo ming dk chache hazizid 4 na bei n poa si ghali
@mouhclassic54834 жыл бұрын
Wew unadhani gari zao zinachafuka kama zetu
@thisistechnology65364 жыл бұрын
hvi huko kwao kuna matopee kweliiii au tunatanianaa
@jabirimdoe19825 жыл бұрын
Superstar magomeni mwembechai kitambo IPO iyo.
@mnzavachris54235 жыл бұрын
duuh!
@iNro645 жыл бұрын
Tunazo hapa Nairobi'
@blasiamahenge29184 жыл бұрын
Jina lake tafadhali
@muniramohammad17885 жыл бұрын
Mambo huku dubai pia
@nyakisasaempire37925 жыл бұрын
Mbona arusha ipo siku nyingi karibu na Aim mall
@mufasamufas60235 жыл бұрын
Huyu mtangazaji mshamba
@mzungukiyungu28375 жыл бұрын
Wewe acheni kubeza watu. Mtu katumia gharama kuandaaa. Lakini nyie mnammbeza sio poa kabisa
@nyakisasaempire37925 жыл бұрын
Hizo kwa magari yanavyochafuka,nililipa hela nyingi tofauti na huduma niliyopata.
@burundishallsmile1day1094 жыл бұрын
Mashines hazifai. Hazitakatishi Gari. Na zinavunja Antenna la Gari.zipo bathi ya Nchi hapa Africa mbona hizi Machines