Nimefurahishwa sana na ujasiri, ufundi na jihad ya kupigania heshima ya Zanzibar iliyooneshwa na wachezaji wote wa Timu ya Taifa ya Zanzibar. Siku walipocheza na Kenya kulizuka maneno kwamba wamependelewa na Refa lakini kilichotokea leo hakujawa na hisia hizo uchezeshaji umekuwa wa haki na Zanzibar wameonesha uwezo wa hali ya JUU.
@HareniBasiaya14 күн бұрын
Jika siku mnarudia post moja tu, achen propaganda fanyeni kazi Za ukweli uaminifu