Рет қаралды 24,663
Licha ya mageuzi katika idara ya Usalama mjini Mombasa, magenge yameendelea kuzuka hasa katika maeneo ya Kisauni na Nyali. Vijana wenye umri kati ya miaka 13 Hadi 18 ndio wanaodaiwa kushiriki uvamizi huku makundi hayo yakibadili mbinu. Je nini kinachochangia kuzuka tena Kwa makundi haya.