It does not matter how long it takes but God is always watching and He is a just Judge
@sallysally90113 жыл бұрын
Ukoloni. Mwafrica ana fanyia hivi mwenzake
@Snager0013 жыл бұрын
Ajab, Kenya should stop buying ajab, am first,as much as loved it, I can't buy something to pay hooligans.
@MwariwaMukurino3 жыл бұрын
Twihamwe nawe
@astolafisto56603 жыл бұрын
Muje hakika unga safi
@abbakarkheiry3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@wlkmwlkm33813 жыл бұрын
Pia Mimi nimeama kabisa
@bestfitpro8743 жыл бұрын
Brookside and safaricom are also owned by dynasties
@assumtajane78203 жыл бұрын
I'm happy ikiwa ako uhai woiii aki aliteshwa.. na uyo jamaaa achukuliwe hatua
@natashachao28623 жыл бұрын
I will never buy ajab unga
@muhruzmohamed58183 жыл бұрын
Nyinyi hamujawahi kushikiwa panga na mwizi
@ummiissaabdulissaabdul81173 жыл бұрын
Eeeh nimwizi umemuona ameiba au vile sio mtu wako tuweni na moyo wa uzazi
@queenbee15883 жыл бұрын
Muhruz Halby, mimi nimeshikiwa bunduki asubuhi na mapema. Mwizi ni mwizi according to me.
@richardochola63823 жыл бұрын
Hata huyu kwangu anikalia mwizi tuu...eti hakumbuki kituo cha polisi alikoripoti kisa hicho.
@ifgodsayyes.nobodycansayno17963 жыл бұрын
@@ummiissaabdulissaabdul8117 🙌🙌🙌
@eunicewairimu50153 жыл бұрын
☠️💀😭😭😭😢People are wicked!! Pole Sana, na siwangempeleka polisi, alafu those who were watching him, their couldn't rescue him 👀
@zuhurasuleiman4343 жыл бұрын
Ni amlipe Kwa kumpiga alafu achukuliwe Sheria hiyo kampuni.ifungwe
@mstevens8323 жыл бұрын
Kabisa
@muhruzmohamed58183 жыл бұрын
Wewe una bifu na kampuni hujui stori yote lakini unajijibia
@chozilasamaki54733 жыл бұрын
Hapo kuna kasiasa cha biashara umetumwa na kutia chuki kwa company ya Ajab ili ifungwe haya nenda kachukuwe ulicho ahidiwa kazi unshaifanya lakini kwa uwezo wa mungu Ajab haitafungwa
@jacksonmutukujacksonmutuku74543 жыл бұрын
Unyama huu wa waislamu,,tunawaelewa
@Dymitri-Babushka.3 жыл бұрын
Sasa dini nzima unailaume na alie tenda hicho kitendo ni mtu mmoja ,rudi shule ukajifinze kuongea na watu,it shows una tatizo na waislam na ujichunge sana
@rosekadzokadzo14013 жыл бұрын
Ubadhilifu wa binadamu afungwe huyo alimfanyia mwana wa mwenzie. Kitendo kibaya... Na amlipe muda wake aliouguza majeraha... Mshenzi sana huyo.... Punmbavu linavuta bangi haliezani hilooo... 😳🙄🙄🙄👌👌👌
@theblessedone75263 жыл бұрын
Ndio maana likafutwa KAZI KDF
@mwenifiona7973 жыл бұрын
Fala yeye Hao watu Wana dharau watu weusi Sana haki kwa kijanaaa
@theblessedone75263 жыл бұрын
Kabisa
@dickensojiambo2758 ай бұрын
Boycott ajab
@andallaathman38563 жыл бұрын
Htakama ameiba Kwa nn achukue sheria Kwa mkono wake na serikali iko tena adhabu ya Moto hio ni adhabu ya mwenyezimungu pekeake huyo swabir ashtakiwe apate adhabu mzuri iwe funzo
@judithmakuto36122 жыл бұрын
Mulikuwa hapo Na mkawa mwaangalia tu,Mkingoja3 auwawe!
@faizislam23783 жыл бұрын
Nyinyi munao coment kua waarabu wana roo mbaya.mumesahau waizi wamabunduki mombasa ni kina nani?si ni watu kutoka bara.juzi kuna kesi jamaa amemchinja grandmother wake huko bara.mbona hio hamuongelei?acheni ukabila shenztyp nyinyi
@queenbee15883 жыл бұрын
Sielewi kwa nini wanaingiza swala la kabila hapa. Wezi huuliwa kila mwezi katika sehemu mbalimbali.
@Thuon_3 жыл бұрын
Huyo chinja unaemsema si yumo ndani ama yuko huru..
@tafari9883 жыл бұрын
Kenya sio saudi Arabia wacha ujinga na upuzi 😒
@faizislam23783 жыл бұрын
@@tafari988 wacha nyege wewee.
@faizislam23783 жыл бұрын
@@tafari988 origin ya watu wa coast ni arab.sio mkikuyu wala mkalee wala wewee takataka
@saadiaali56093 жыл бұрын
Amlipe kwanini anafanya unyama kama waarabu ugaibuni
@chozilasamaki54733 жыл бұрын
Bado hujaibiwa ukisha patikana utajuwa ladha au utamu wa kuibiwa pole mama
@swalehali50423 жыл бұрын
Mm binafsi nawajua hawa mateja ni wabaya wanaiba mbaya sana
@theceefamily77643 жыл бұрын
We want justice for this MAN,plz Raisi uhuru🌞🙏🇰🇪
@rodgerthegreat91923 жыл бұрын
Si jamaa anasema kwa video ni mara yake ya kwanza?
@carolynegatere57853 жыл бұрын
My question too alisema ni mara ya kwanza
@rodgerthegreat91923 жыл бұрын
@@carolynegatere5785 mi nashuku kuna mtu ana beef na ajab na hii ndio tu weak link anayowezatumia kuwaumiza.
@haithamdahillard87463 жыл бұрын
Lazima akubali ili iwr rahisi kuhukumiwa kama ni kichapo. Kika ukikataaa wanakupija.
@richardochola63823 жыл бұрын
Reporters are also in this mix...rotten Kenya. (Zaidi ya mwaka mmoja)
@maryannonalo88723 жыл бұрын
Kabisa lakini he has people backing him up
@angelawambui14683 жыл бұрын
Yes we need social justice for this fellow of little means.
@umma66543 жыл бұрын
Mwamtetea wizi labda nynyi wenyewe ni wezi ndio maaana.hamujui uchungu wa kuibiwa washenzi nyny munaotetea wizi
@michaelblumer693 жыл бұрын
Hawa watu huwa na roho ngumu za kishetani ata sijui wale mwaenda Uarabuni huwa mwatoa wapi hizo nguvu 🤧
@kassimmwamambeya44893 жыл бұрын
Mimi sio mwarabu lakini nakurekebisha kidogo africa watu wanauana zaidi ya huko uarabuni unakosema.
@michaelblumer693 жыл бұрын
@@kassimmwamambeya4489 still doesn't change my stand 🖐️
@kassimmwamambeya44893 жыл бұрын
@@michaelblumer69 ok...xawa lakini xahii naangalia news tayari afisa wa polisi amedunga mtu kisu ya shingo na amemuua huko baringo
@arabianlady63043 жыл бұрын
Habari zenu twaziona daily kwa t.v mtoto amuuma mamake na babake ama baba amnajisi mwanae ama mama amchinja mume wake mume nae amnyonga mke wake ama jamaa amnajisi mbuzi yani zoooote zafanywa hapa kenya hata kwa waarabu kuna nafuu lakini chuki zenu twazijua
@theblessedone75263 жыл бұрын
@@arabianlady6304 basi wewe mwarabu au chotara🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pthoooooooooo
@maggie7makoha4143 жыл бұрын
Masikini wa .mngu pole uta shgulikiwa
@muhruzmohamed58183 жыл бұрын
Huyo jamaa kwenye video si amesema kuwa ni mara yake ya kwanza kuiba mbona sasa nyasema hakuiba
@astolafisto56603 жыл бұрын
Sababu wame myadhibu ndo maan amesema ivo ili awachwe hapo mm nakubali hakuiba sababu kuna ma CCTV na kuna electric wire kwa ukuta
@mwenifiona7973 жыл бұрын
Wacha niwaambie Kuna situation unaeza. Pitia ukitolewa bunduki lazima ukumbali ndio usichomwe
@xjxjxnxn26733 жыл бұрын
@@mwenifiona797 kweli sister
@muhruzmohamed58183 жыл бұрын
Huyu jamaa alikua ana fanya kazi ya kufagia unga kule kwa hivyo aliiba baada ya kushikwa ndo akakimbia
@salminsalimn91153 жыл бұрын
@@muhruzmohamed5818 ,Hata kama aliiba that was not the way to go about it...sasa ndio watajua kuna power of Internet
@ahmedyussuf94963 жыл бұрын
Waizi wana sumbuwa Mombasa junguza kabla ya kufunga hiyo jama hiyo ni hasira wana ebaa kila kito hawa paka wana funja mnyumba tuki anda safari
@sevenscounty4093 жыл бұрын
Siulisema ni mara yako ya kwanza?
@alicembugua52463 жыл бұрын
fanyeni uchunguzi kwanza
@maurynshicco92243 жыл бұрын
Story kama hii haiwezi letwa kwa news bila kuchunguzwa vizuri,obvious kuna cctv zimetumika kutoa ukweli na zingeonyesha kijana alikuwa ameiba hangeileta wakimtafutia justice. So which is that further uchunguzi you meant?
@peninahwambua49263 жыл бұрын
Sheria ifanye kazi watu wamezoea kuwa wengine
@franciswarutumo16273 жыл бұрын
whether he is guilty or not, torture is not allowed.
@ruthmukuyu7253 жыл бұрын
Nivibaya Sana 💔💔💔 haki etendeke
@agnesodipo12653 жыл бұрын
Adhibiwe ili iwe funzo kwa mabwenyenye wenye wanakuja inchini mwetu na wanaleta tabia ya kuoza that was very bad
@hassanajiruu51282 жыл бұрын
Mpambe nuksi zenu zako zimewadia unafiki na kujipendekeza kwa matajiri hole wako. wewe wamchoma mfanya kazi mwenzio kwa Mali ya tajiri Linalokushuhulisha lipii...😂😂
@ApostleJasonWinner3 жыл бұрын
So do we expect a thief to say, that he has stolen?
@qerysir44103 жыл бұрын
He was tortured to a point of accepting any accusation, you could say he has raped and him agree just to save his skin!
@muhruzmohamed58183 жыл бұрын
@@qerysir4410 ukikubali kuiba unauliwa lakini baada ya kumpiga huyo security guard alimpeleka polisi ambapo polisi walimpiga na wakamwachilia wakisema ni teja
@qerysir44103 жыл бұрын
@@muhruzmohamed5818 hayajakupata, ukasingiziwa kosa kisha ukapigwa hadi ukajiona unakubali tu na kuomba msamaha ili upone!
@marynyaga49113 жыл бұрын
What a criminal that is? He should be investigated thoroughly whether he's a sadist murderer. Unless he's used to that kind of violence, there's no way he should have applied such cruelty towards the poor man. Justice should be accorded to the victim. Period.
@swalehelshabiby59153 жыл бұрын
Dhulma mbaya sana.
@karimabdul39283 жыл бұрын
Haki ya mnyonge haiwezi potea ,itachelewa tu
@jarantinekyania22013 жыл бұрын
Haki kidini unaeza torture mtu juu ya Unga so sad indeed hata kama alikua ameiba vituo vya polisi vipo angepelekwa station.
@darweshswabir94893 жыл бұрын
Mwizi ni mwizi awe mweusi mweupe ni Mwizi
@t.c79153 жыл бұрын
@@darweshswabir9489 alikubali ameiba, msamaha pia iko sio kuchoma mtu..
@inahazan93393 жыл бұрын
Meh suali niko nayo ni....... Ni nini alikuwa analia akisema ni Mara yake ya kwanza? 🤔
@theblessedone75263 жыл бұрын
Ku trespas
@rishadmohamed31543 жыл бұрын
He must pay kumamake
@angelawanguinjuguna8943 жыл бұрын
My question is had he stolen or not?
@annkimani94343 жыл бұрын
That lord ju kijana ako hai
@TafariIssack3 жыл бұрын
ni Mara yangu ya kwanzaaa 😂😂😂😂😂😂
@sturbbornvideoz85473 жыл бұрын
Mbona watu wako ivo
@khalidahmed80503 жыл бұрын
wajuluo wapi raila..
@stevekioi20443 жыл бұрын
He is supposed to be compensated anything upto. KSH 200,000, 000 . these are the things that happen to a common Mwana inchi kama viongozi wanashughulikia uchaguzi na njia za kuongeza utajiri wao
@saadiaali56093 жыл бұрын
N'gambo vipigo hivyo vipo na serekali hawashuhulikii jee hio iliotokea kenya huo afungwe na pia amlipe tena afungwe kidungo milele musilete tabia za waarabu na wakoloni kutesa wananchi
@arabianlady63043 жыл бұрын
Na wale waarabu walopigwa kilifi mbona hamusemi kitu wacheni ukabila na chuki zenu
@saadiaali56093 жыл бұрын
@@arabianlady6304 wanafaa kupigwa lwasababu watu wetu wakienda nchi yao huwatesa
@arabianlady63043 жыл бұрын
Nani asema wao watoka nchi za huko sisi sote ni wakenya lakini ukabila na chuki ziko ndani ya damu yenu mwafananisha waarabu wa huko na huku mbona basi kama mwateswa huko mpaka leo mwaenda na wengine mpaka kesho wako huko si kila kitu muamini hizo chuki sababu mwaskiza upande mmoja tu wakija kutoka huko arabuni mwadanganywa mwaamini mbona mpaka leo wanaenda kufanya kazi huko si wakae basi
@arabianlady63043 жыл бұрын
@@saadiaali5609 kama kweli mwateswa huko mbona kila siku mwaenda huko kwa waarabu kutafuta kazi kama kweli mwateswa
@saadiaali56093 жыл бұрын
@@arabianlady6304 ndio wanaenda kutafuta kazi wakibahatika wengine hupata mahali kwenye afadhali lakini wengi huangukia pabaya na nasema hivyo kuna jirani yangu mtoto wake alisafiri akapewa mateso hata alipopata usaidizi ndio aliponea chupu chupu kurudi na wengi tuu tunawaona kwa habari wengine wanakuja uguza majaraha nchi zao wengine wanaletwa ni maiti hivi nikuambiavyo wengine wako kwa ofisi na hawana chakula video kama ushawahi kuziona zasambaa maana wanasema wamesafirishwa juzijuzi arabuni wameshtukizia viza haikuandikwa kafili wao bali zimeangikwa ni za matembezi na wengine wanalia wameletwa na maboss wao mateso yamezidi wakakimbia sahii hawajui watasafiri vipi ww unayajuwa hao musione wanao enda arabuni wanaraha ni kutia mkono gizani
@omarbachu10743 жыл бұрын
Anafaa afungwe 30 yrs behind bars
@majidsaid083 жыл бұрын
Sawa amekosea..... jee wale waizi waliopigwa kilifi video zikaenda viral mbona hakushikwa mtu??? Na juzi kisumu yule jamaa aliiba boda boda aliyechomwa hadharani mbona hakujashikwa mtu?? Ama sheria ni tofauti??? N waizi wangapi wanauliwa na wala hakuna kitu chafanyika?? Hebu nielimisheni
@queenbee15883 жыл бұрын
Hapa kuna watu wanataka kuangusha kampuni ya ajab. Wezi huuliwa na kuadhibiwa kila mara sehemu mbalimbali za nchi, hii imeangaziwa sababu za kibiashara
@arabianlady63043 жыл бұрын
Zao hua hawaoni lakini ikiwapata wao mbio washaingiza ukabila wanachuki zao hawa watu
@chozilasamaki54733 жыл бұрын
@@queenbee1588 hapo umeongea ukweli wa mambo kuna siasa ya kibiashara
@theblessedone75263 жыл бұрын
Waizi wa kilifi walipigwa na mob huyu ni mmoja kajifanya kidume jua kutofautisha mambo
@majidsaid083 жыл бұрын
@@theblessedone7526 kwa hivyo mob yaruhusiwa??
@richardray26803 жыл бұрын
Some guys are just helping this guy so that if he sues the company and gets compensation they can split the money among each other. That's how it always goes. They have even told him to not admit he stole yet in the video he shouts and screams that it's his 1st time to steal. But the security guards can't use that video in court because he was under duress when he said that. 🤷🏽♂️.
@teresangugi65083 жыл бұрын
He meant it's his first time trespassing. He stole nothing
@theblessedone75263 жыл бұрын
@@teresangugi6508 ambia tena hio nugu ikuskue inakaa kiziwi. Hajui tofauti ya trespassing na stealing
@janembinya97673 жыл бұрын
Unga hajab bye
@watirim9153 жыл бұрын
Thats inhuman,achukuliwe hatuwa.
@davidwandera69483 жыл бұрын
wacha uongo ww kinjana, , , , , , na bona ulikuwa unasema ni Mara yako yakwanza????
@theblessedone75263 жыл бұрын
Acha ujinga wewe . First time trespassing not stealing
@iminzaiminza58133 жыл бұрын
Mbona achapwe?
@sallysally90113 жыл бұрын
Yap. Adults aren’t supposed to be beaten. Taking law in his hands is wrong
@mabyserolouchcraig24313 жыл бұрын
This is the reason why watu wanakuwa wezi huyu mtu afungwe kabisa
@dennismukhebi34343 жыл бұрын
this man I lying to us because in the clip he is heard saying it is just his first time, here this story to have the security guy into jail is a master plan by some people with interest, even look who are complaining on behalf of the person. apa tunachezwa kabisa,
@phillipmsamire9373 жыл бұрын
Watu wengi wakianza kupigwa na mob watu wengi utapata wanaconfess ili waachwe huru
@abdab84663 жыл бұрын
Denis nakubaliana na wewe kuna master plan kabisa tena kama huyu anayetoa ushahidi muarabu walipatana vp na huyo jonalist na huyo kijana
@vanhelsing40413 жыл бұрын
Blaming the victim
@chozilasamaki54733 жыл бұрын
@@abdab8466 ukweli kabisa kuna chuki ya kibiashara inaendelea kwa kuwa unga wa Ajab watu wameupenda sana sasa utaona vibaraka wanatumwa kusema hata hiyo company ya Ajab ifungwe na wakijuwa hiyo company haija mtuma mtu kuvunja sheria,tuwache uchochezi na company ya Ajab sababu unga wa Ajab ni wa AJAB
@abdab84663 жыл бұрын
@@chozilasamaki5473 dah, si haki Allah ndio atoae rizki na Allah ndio atoae hukumu ya haki
@MercyMazmida3 жыл бұрын
Sorry brother .. Also people need to stop stealing hustle for yourself stop expecting others to struggle then u come to get it by force
@queenbee15883 жыл бұрын
Very well said my dear
@vanhelsing40413 жыл бұрын
Stupid- Politicians grab land, embezzlement of public funds- you are judging a poor man
@marynjengah27713 жыл бұрын
@@vanhelsing4041 So you justify taking something that isn't yours 🤔
@vanhelsing40413 жыл бұрын
@@marynjengah2771 Is there evidence he was taking what doesn't belong to him. The idea coming from a woman is appalling considering that you seem to be justifying what happened to the man. Like Feminists state:don't blame the victim
@aminabashir58433 жыл бұрын
Afanana na Jamaa mwizi hapa mtaa wetu tuko jirani na Hiyo company na sisi kama wakazi wa hapo hizo company zinatuudhi na moshi zao naona tutafanya madano ya hizo moshi wtto wanaumia na asmatic
@junior.k.wambua87923 жыл бұрын
How did you reach here?? Ati anafanana na jamaa mwizi wewe ndio unajua wezi wote😂😂
@aminabashir58433 жыл бұрын
@@junior.k.wambua8792 😂😂
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
🙏🙏
@djishagoldenmaina66083 жыл бұрын
Sad Sana anafaa punishment ya nguvu
@wauwaupikpok25333 жыл бұрын
this young man could be lying.but to burn and torture someone is just inhuman.all the security guy had to do was hand him over to the police.see now where his sadist behavior got him into.
@geraldgm12173 жыл бұрын
😂😂😂😂
@williamobegi30933 жыл бұрын
I can't breath
@edwinokoth18913 жыл бұрын
kama ni mwizi
@MwariwaMukurino3 жыл бұрын
Justice delayed is not just denied
@koechgedeon95813 жыл бұрын
it has taken too long
@ApostleJasonWinner3 жыл бұрын
When police beat and tortured innocent kenyans nobody spoke
@ezramuruka77193 жыл бұрын
Very unfortunate
@phoebemukhwana30583 жыл бұрын
God Knows
@abdallatwaha48843 жыл бұрын
Nothing makes sense here... All witness accounts are mere PR. I think there is more than what meets the eyes... huyo jamaa might have tried to Steal (though I dont support him being tortured)
@muhruzmohamed58183 жыл бұрын
Wewe hujaiba mbona wakimbia
@rehemasalim45903 жыл бұрын
😎😎😎
@SalmaSalma-sd5we3 жыл бұрын
Sorry
@SuperMartolo3 жыл бұрын
This is a case dead on arrival
@farhiyajamaa77173 жыл бұрын
Sorry sorry sorry
@fly69jamual623 жыл бұрын
I saw that video sometimes back but i couldn't finish it was so traumatic, they were burning him with a nylon paper in his body while whipping him, his boss was wither an arab or somali, he either gave those police some money and case was thrown through the window, am happy people and lawyers as well as honest police have decided to step up for him, that boss will pay him handsomely!
@motivatedfitnesscentreyoga3 жыл бұрын
Sasa huyo ni mukikiyu alishikwa akiiba, kwa bahati mbaya huyo kijana angekuwa mukikiyu ungeona vile hawa wacresto hapa wangeongea mafi sai wajifanya wazuri nonsense