Pole Frida Mwenyezi Mungu akufute machozi na kukupatia faraja katika utumishi wako Hakika Mungu ni mwema
@kissamwamunyange10189 ай бұрын
Najiungamanisha na huu ushuhuda najua Nani nimepona. Alhamdulilah 🙏
@agripinajingu395610 ай бұрын
Jaman Hongera, I connect through sis frida hta Mimi Mungu atanijibu
@BeatriceAdolf-gj6lr9 ай бұрын
Ameeeen,,mungu ndo Kila kitu,,mungu anatendaaa na Mimi pia naushuhudaaa,,acha mungu aitwe mungu
@Chr1969 ай бұрын
Amina barikiwa dadangu hata Mimi nimepitia machungu lakini Mungu amenionekania namtukuza Sana
@rehemasilasi298510 ай бұрын
Amina hata kwangu nitapata muujiza wangu Amen
@stella-t3v10 ай бұрын
Powerful testimony! Praising the Lord with her!
@violethmrema28699 ай бұрын
Mungu wetu ni mkuu sana sana sifa na utukufu tumrudishie yeye aliye juu
@IddaItuga-o9d9 ай бұрын
Mungu ni kila kitu katika maisha
@NeemaMgaya-ez9un10 ай бұрын
Amina mungu mwema
@jeniferlyimo82609 ай бұрын
Trust yourself be yourself strand yourself please...no friends at all be with them anyway with great Akili....
@itiamekimbui7229 ай бұрын
❤Amina lakini Tafadhali naomba ujue kiswahili chako ni kitamu sana kwa masikio yetu usitumie kizungu 🇰🇪
@Pendo9419 ай бұрын
Jesus is awesome 👐👐👐
@grolyjosephat82639 ай бұрын
Mungu mwacheni aitwe Mungu
@magrethmvwango758010 ай бұрын
Ameni mungu wetu mwema🙏
@ebenezermachange-zp4es10 ай бұрын
Oo haleluya....Glory be to God
@barakanatus567610 ай бұрын
JAMANI MARAFIKI WA KWELI WAPO KWA YESU KRISTO, NDO MAANA TUNATAKIWA KUTAFUTA MAHALI SAHIHI
@naturelle109710 ай бұрын
Madhabahu yanayojibu❤❤
@MaureenKilonzo-de5of10 ай бұрын
God is faithful
@gracelyimo68009 ай бұрын
Utukufu Kwa Mungu juu
@SubilagaKabango-bu8tu10 ай бұрын
Hongera sana kwa hayo yote! Ogopa sana marafiki wapo wa ukweli lakini wapo wanafiki kwako! Caution! Jitahidi sana Uwe na BiBLE Original na wala sio usome kifungu cha neno la Mungu kwenye Simu ya mkononi! Thanks
@FreeGod36810 ай бұрын
Uyo rafk ake alifanya nn na gari yake maana hanyoooki kona nyingi
@kindandakudingwa751410 ай бұрын
Huenda Kuna KITU aliweka ktk gari yake NDIO maana akakamatwa
@collincarlos74339 ай бұрын
Kikubwa neno..iwe krts au cm yte xawa
@jumasongoroka2149 ай бұрын
😢
@gloriamunhambo86549 ай бұрын
Great testmony
@eliasthomas154710 ай бұрын
Ameen Ameen.
@aminatambi983110 ай бұрын
Do you? Well done .
@Worldunite9 ай бұрын
Baadhi ya manesi na watendaji wanakiuka maadili yao ya kazi, ndo mitihani km hii mjue Mungu yuko na anaona
@florarwegerera802510 ай бұрын
Groly to God
@lightnessmariki43139 ай бұрын
Rafiki wa kweli ni Mungu,hatuachi siku za mateso, shida na uchungu!Hututia moyo na kutuinua pale tunapo inama, hutupitisha kivulini nyakati za jua hata giza lijapo hutuwashia mwangaza.Huyu ndie Mungu wetu na Frida.Yeye aliye mlinzi wa Izrael .Sifa na utukufu zina Mungu wewe peke yako uliye mkuu ,unayetunyeshea mvua wakati wa ukame na huachi tunyauke baba!!!
@jescarwegoshola17549 ай бұрын
Kweli kabisa mapito mengine sio shetani, Mungu ana kunoa ili upate kujua kuwa yeye ndiye Mungu. Amen sifa na Utukufu ni kwa Yesu 🙏
@abelsonda44869 ай бұрын
This generation!
@AlbinMsechu9 ай бұрын
Dada kiongozi umeongea jambo la muhimu sana hapo ambalo sidhani kama Frida amelinote...Mungu alikua anakufundisha SUBMISSION....Very important kukumbuka hilo hata wakati huu unaodhani sasa kua unaenda kua independent
@valenakomba768610 ай бұрын
Aminaa sanaa.
@idiphoncemwakajwanga9 ай бұрын
Hayo salsa ndo maisha Una watu wanakaa wakiomba kaz n a hawapati wewe mwaka tuu unatetemeka second year of your study ulikuwa mtumishi acha Julia komaaa miaka miwili unalia
@LidahTumusiime-nc4uu9 ай бұрын
Amina sana
@piussimtala51119 ай бұрын
Milango ni ibada gani?
@MatronaThomas-wz5si9 ай бұрын
MUNGU ni mwema tuishi imani
@ebenezermachange-zp4es10 ай бұрын
Amen
@barakanoel14339 ай бұрын
Kabisa Liko wapi hapa dar?
@PriscaKiwuyo9 ай бұрын
Sinza mori opposite La chaz bar
@loycenicolao74889 ай бұрын
Hakuna kinachoshindikana Kwa Mungu
@idiphoncemwakajwanga9 ай бұрын
Tatizo hujawahi pata shida Dogo ulizoea mteremko hilo ndo somo
@salemkambuteh14099 ай бұрын
Wewe huna adabu tu,, na wewe na wakiristo wenzako mkisoma na kuelewa vizuri uwepo wa mungu na lengo la kuumbwa kwetu musinge waza ujinga kiasi hiko.
@petronillajosephat919 ай бұрын
Mshenzi kwel ww limbukeni wa Dini .akil huna .
@idiphoncemwakajwanga9 ай бұрын
Unajali kaz kuliko kusali sali wakati wote wa shida n a raha acha kulia hayo ulonayo wenzako wanayo miaka nenda rudi harafu a cha uvivu kanisani sali hata kama huna hela
@RhodaMshana-ih4qu9 ай бұрын
Hii madhabahu Iko wapi
@jacqueisaac81559 ай бұрын
Sinza mori pembeni ya TAMWA
@tinnahagustinolyelu42479 ай бұрын
Usijisahau maana nyie manesi na nyie mna makubwa Mungu hashidwi
@idiphoncemwakajwanga9 ай бұрын
Unaweza kuishi maisha ya martin Luther king the junior??? Ishi maisha magumu ujifunze maisha ya Wale wasio na wakuwasaidia komaa acha kulia Dogo
@gracekagoma323110 ай бұрын
Baadhi ya marafiki ni hatari.ogopa 😢
@rehemakanyere41886 ай бұрын
Yes
@liannsambu726410 ай бұрын
NDUGU YANGU OGOPA SANA MARAFIKI kuwa makini na mjanja kama NYOKA na uwe MPOLE KAMA NYOKA ,WANAWAKE TUNAMIDOMO YA KITOA SIRI ZETU HASWAAA KWA HAO TUWAITAO MASHOST , NDUGU OGOPA , SIRI ZAKO MWAMBIE YESU NDUGU AWATU WANAANGUSHA ,POLE SANA BT SIFA KWA BWANA
@rusimbitumaini777210 ай бұрын
Kila unapomwamini Mwenyezimungu lazima kuna fungu lako.tume ya utumishi wa umma itanguliwe na Mwenyezimungu katika kutenda haki. Dr Samia suluhu Hassan amekuwa akionyesha kila siku ni kipi tukifuate katika ulimwengu huu tunao pita haki first.
@justaalphonce918310 ай бұрын
HALELUYA😅
@FelisterRobert-d3j10 ай бұрын
Hongera kwa ushindi dada, ushuhuda wako umeniinua
@idiphoncemwakajwanga9 ай бұрын
Kumbuka baada ya shida zako kutokea ukaacha kwenda kanisani umefanikiwa ndo Umeenda kanisani.ulizoea raha