Рет қаралды 34,123
EZEKIELI
22:24-2524.
Mwanadamu, uiambie nchi, Wewe u nchi isiyotakasika, wala kunyeshewa mvua siku
ya ghadhabu.
5.Fitina ya manabii wake imo ndani yake, kama simba angurumaye akirarua mawindo; wamekula
roho za watu; hutwaa kwa nguvuhazina na vitu vya thamani; wameongeza idadi ya wajane wake
ndani yake.