Nimependa hiyo,,, nenda na mizigo yako, mambo yako, ubaya wako kwa Kristo. Yeye atakubadilisha.
@eunicehezron34814 жыл бұрын
Umekuwa Kama mimi Hata Mimi nataka kumuabudu MUNGU aliye hai ,MUNGU wa Kweli na kuna mambo hata Mimi nimekutana na hayo na YESU mnazareti amenisaidia Nina msimamo wa kwenda mbinguni ndicho ninacho dumu nacho kisha uzima wa milele Ndiiyo haja yangu katika jina kuu lenye uweza la YESU aliye hai amen.
@lwimboderick74793 жыл бұрын
Joyce Mayor,,, nikatafute hicho kitabu pia .....
@yukundapetershayo51054 жыл бұрын
Hakika shetani amesarenda! Acha Mungu aitwe Mungu,
@eunicehezron34814 жыл бұрын
AMINA
@michaelngondai31644 жыл бұрын
Nakukubal sana pastor ceasan na mimi natak kuwa km ww amin
@amosmahona4334 жыл бұрын
Amen
@kingkituru36004 жыл бұрын
amina imekaa vizuri , ishu ni kusikia maneno. na mafanikio yanaanza kwa kupumzika, haya maneno yanapumzisha ukiyasikia. call me King
@kingsulemani72514 жыл бұрын
Kiukweli nimebarikiwa sana nakutiwa nguvu kwa upya kabisa
@katarinawilliam99604 жыл бұрын
Mmm🥺🥺🤔🤔🤔🤔
@eunicehezron34814 жыл бұрын
Binti Umesema maneno yenye nguvu za MUNGU juu ya ujanja na MUNGU aliye hai akusaidie Wewe ni mwana wa MUNGU aliye hai Ameni
@josephinemumbua1594 жыл бұрын
Joo Kwa yesu kuna raha ukitubu dhambi utakua uhuru