Nimefurahishwa na huu ushuhuda wa huyu Mtumishi wa Mungu. Zidi kubarikiwa Bishop
@ScolasticaJoseph-r8y6 ай бұрын
Nakupenda bule❤❤❤❤ Bishop umegusa moyo wangu sana hata mm nilikuwa natokewa lakini vita vilipozidi nimeshindwa niombeee mtumishi natamani kumtumikia mungu
@AlfonceGwambiyeBilantanye5 ай бұрын
Amein Amein Mtumishi barikiwa sana, na mafundisho na shuhuda zako hakika Mungu anawatengeza wasiofaa kuwa vyombo vikali.
@frankmsechu6468 ай бұрын
MTUMISHI NAKUPENDA SANA MUNGU AZIDI KUKUTUMIA UMEFANYIKA BARAKA SANA KWANGU NA KWA WINGINE KEEP GOING MTUMISHI
@AndrewJonathan-ru6ph8 ай бұрын
Kiukweli Mungu azidi kukuinua umefanyika baraka za watu wengi mataifa kwa mataifa yani nakupenda sana Sumbe hata kama watu waseme nini wewe ni mtumishi wa kweli
@agnesspaul18667 ай бұрын
❤❤❤❤❤asilimia mia moja uko Kama mimi
@ElizabethJoseph-to6po8 ай бұрын
Huyu baba nampenda sana kutoka moyoni
@CofridaRichard-e1l8 ай бұрын
Ameniiiiiiii!! Ubarikiwe Kwa ushuhuda mtumishi wa Mungu.
@RehemaElias-el3jg3 ай бұрын
Amina amina aaaaaass ooooh asant yesu maan unatujua
@SynphorienZamukul7 ай бұрын
amen amen amen Mungu azidi kutupeleka juuu🎉🎉🎉
@RoseKessy-td7uo4 ай бұрын
Amen..Mungu apewe sifa
@JustineEbinda7 ай бұрын
Ushuuda wakutia nguvu❤❤❤🎉🎉
@VeronicaNyahega7 ай бұрын
Ushuhuda umenigusa sana,barikiwa sana baba🙏🙏
@JosephatMollel-fe7yd8 ай бұрын
Naomba uniombee naumwa mguu nilifunjika na Bado naumwa Mungu anisaidie Bishop sumb
@GetrudeMwemba2 ай бұрын
Hakika kweli ni Mtumishi wa Mungu ,natamani kila mtu asikie ushuhuda huu,ili waokoke
@AinessRobath6 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu
@AngelMbaga7 ай бұрын
Kuandaliwa ni gharama❤❤🙏
@alainwapol31346 ай бұрын
Bonjour pasteur, je suis en RDC 🇨🇩, dans la province de l'ituri, j'ai besoin de la prière que Dieu me délivrer, car je travaille mais l'argent de mon salaire n'est m'aide pas
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤❤❤ ubarikiwe mutumishi wa Mungu
@MughunaKisay6 ай бұрын
Ameen nabarikiwa sana
@yukundapeter82008 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu.
@Ibrahimally-i6r6 ай бұрын
Nime barkiwa sana kutoka daresalam
@RehemaElias-el3jg3 ай бұрын
Mungu awajua salio wake
@marygumbo32967 ай бұрын
NABARIKIWA NA USHUHUDA. BARIKIWA SANA BABA
@rosengowi8478 ай бұрын
Be blessed our bishop elibarik🙏🙏🙏🙏
@ernestleonard-n9lАй бұрын
Amina amina
@rahabnkya82765 ай бұрын
J2, ndo aliokoka, mungu anaona Kila mahali. Musa bahari ya sham. Powwp
@Leginandi4 ай бұрын
Amina
@PriscaMasanja-rw1hj7 ай бұрын
God bless you more
@henagemasulu50513 ай бұрын
Mungu. Amekutoa mbali saanaa@Askofu. Elibariki. Sumbe
@RaphaelSangalali2 ай бұрын
Barikiwa
@RehemaElias-el3jg3 ай бұрын
Jmn mungu ni mkuu hakuna mfano
@alistidiacharles87628 ай бұрын
Napenda anavyoongea mtumishi,ubarikiwe
@justice6077 ай бұрын
Karibu kanisani Kisongo waya
@MerveilleMahoro10 күн бұрын
Ushuhuda wako umenigusa niko burundi ubarikie bishop sumbe
@StevenMutale-xt9yj7 ай бұрын
Nani kweli maana atulisha neno la Mungu sisi atuidaji wanabii wametekwa na ibilisi
@SalomeAthanas-f3l4 ай бұрын
Hata Mimi mtumishi natamu niwe kama wew ubarikiwe sana
@PaulinaTabu-n6s24 күн бұрын
Mtumishi wamungu niombeee mie paulina
@millicentrabera8 ай бұрын
Nakombolewa na damu yesu
@RehemaGodfrey8 ай бұрын
Ameniiiiiiiii kubwa 🎉🎉🎉❤❤
@loserianlaizer67118 ай бұрын
Amen ❤Amen ❤
@carolinetoto87068 ай бұрын
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JONASNGHOKA8 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@carolinetoto87068 ай бұрын
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@MAYASASULEIMAN-ho8uf7 ай бұрын
Miezi 5 kwa sumbe kwa sasa niko amerca sumbe ni noma
@NduwayoAline-c9w8 ай бұрын
Ameeen
@ANETHNTIMBA8 ай бұрын
Amen
@neemanyagawa94797 ай бұрын
Ameeeeeeeeen Baba
@kelvinkamelwa74174 күн бұрын
Ameni ameni
@carolinetoto87068 ай бұрын
Amen👏🏻👏🏻
@eugenejohnmassawe89398 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba
@AbigaeliSeleman7 ай бұрын
Ameen
@redemptervictor50068 ай бұрын
Ameeen 🙏
@elishamafulu1067 ай бұрын
I received I received I received
@yalalaambobe95288 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah
@flaviajudy22767 ай бұрын
Amina Amina
@gukawafly8 ай бұрын
Hallelujah amen
@HabibaHabiba-m5d4 ай бұрын
Mm Niko Namimba Mtumishi Yamizi Mitano Kwetu Nitanzania Mm Niko Kongo Yani Nimejukuta Sina Mbili Hata Moja Nalala Sijui Nifanye Mchungaji Siendi Kiliniki Sina Hata Mia Mchungaji Mwanaume Mwenyewe Alio Nipa Mimba Yanitaki Hata Kuniona Nimeangaika
@elishamafulu1067 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@happymbise33997 ай бұрын
Kwa kupita ushuhuda wako past nimejifunza kumwogopa Mungu
Kanisa lipo Kisongo waya ukipanda gari za kwenda monduli waambie wakushushe waya, Karibu sana mpendwa
@JosephLukumaiLukumai4 ай бұрын
Kanisa liko kisongo woya. Ukifika Arusha mjini utapata magari yanayo enda huko
@NjunaelSwai8 ай бұрын
eeeeeeemeeeeeeeeennn tayari nimejiunganisha madhabahu ya vuka yordan
@jefwakalama43368 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@NjunaelSwai8 ай бұрын
ameeeen
@gracesenzota65558 ай бұрын
Awesome GOD 🔥
@trophywilson72118 ай бұрын
Na IPM alisema ametokewa na Yesu ila sasa yanayotoka mdomoni mwake ni hatari kwa Wakristo
@hurumajosephat63338 ай бұрын
Na kukengeuka kupo
@MaryMichaelMaryMichael-i7o8 ай бұрын
Ipm.saah amekengeukaa mana alianza vizuri kabsaaa na YESU KRISTO...bt anaenda akimaliza na ukimwengu wake..ila shetan basi tu..uwa akati tamaa akimfatilia mtu aliyeamu kumrudia MUNGU wake.😢YESU tusaidie tuwe na mwisho mwema
@Kamkono8 ай бұрын
Acha kutokewa mbona Yuda Iskariote aliishi na YESU!
@DelAdry8 ай бұрын
IPM ni nani?
@Kamkono8 ай бұрын
@@DelAdry IPM ni sheikh Ibrahim Mohamed ambaye YESU kristo alimtokea AKIWA msikitini kwenye swala ya asubuhi. Kwa sasa ni nabii
@rahabnkya82765 ай бұрын
Moto mkali ulimjia!
@clifgerconNKURUNZIZA7 ай бұрын
Alipata ne ema
@CharqueAli6 ай бұрын
Ww😂😂😂😂
@HabibaHabiba-m5d4 ай бұрын
Sielewi Mchungaji Yani Kua Niko Nammba Nilikua Nataka Kufa Yani Nimechanganikiwa M mchungaji Ubalikwe Kwamaombi Yako Mbili Inaludi
@NjunaelSwai8 ай бұрын
eeeeeeemeeeeeeeeennn
@LebahatiLaizer-b4q3 ай бұрын
Aminaa
@sylviamassawe26675 ай бұрын
Ameen
@christophehakizimana51038 ай бұрын
Amen
@HabibaHabiba-m5d4 ай бұрын
Sielewi Mchungaji Yani Kua Niko Nammba Nilikua Nataka Kufa Yani Nimechanganikiwa M mchungaji Ubalikwe Kwamaombi Yako Mbili Inaludi
@HabibaHabiba-m5d4 ай бұрын
Mm Niko Namimba Mtumishi Yamizi Mitano Kwetu Nitanzania Mm Niko Kongo Yani Nimejukuta Sina Mbili Hata Moja Nalala Sijui Nifanye Mchungaji Siendi Kiliniki Sina Hata Mia Mchungaji Mwanaume Mwenyewe Alio Nipa Mimba Yanitaki Hata Kuniona Nimeangaika