Рет қаралды 88
Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, wala uganga juu ya Israeli... (Hes 23:23)
Fuatilia ushuhuda huu utambue ni namna gani kama Wana wa Mungu aliye Hai tunazo nguvu na uweza na jinsi shetani hana mamlaka juu ya maisha yako kiujumla.
Wala huhitaji kuombewa wala kuwekewa mikono. Wewe binafsi ukisimama katika Neno unazipinga nguvu za shetani
Ungana nasi kumwabudu Mungu live kila Jumapili. Ibada ya kwanza huanza 12:00 asubuhi na ibada ya pili 04:00 asubuhi.
Kanisa letu lipo Kimara Mwisho, mwendo wa dakika moja kutoka Morogoro Road.
Pia tufuatilie katika mitadao ya kijamii;
Instagram @tagkimara / tagkimara
Facebook @TAG-Kimara Church / kimaratag Ubarikiwe!