Raha kwenda , Mola tujaaliye tufe , tukiwa waislamu, Amen .
@venancegaspatv19613 жыл бұрын
"Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye, Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu." Al Baqarah - 255
@abaafarhat91912 жыл бұрын
Allah akbaru wallah huo ndo utamu wa uislam
@abaafarhat91912 жыл бұрын
Uislamu mzuri mambo yake murua zaid
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm ww...... Shukran sana Sheikh kipozeo. Allah akulinde. Jazakallah kheir 🙏
@RASCOKALUME-no4dp Жыл бұрын
Sheikh m.mungu akulinde Sana akuepushe n'a mahovu
@hyasintajoseph25893 жыл бұрын
Maa shaa Allah kweli kabisa tujitahid waislam walau Aya10 za mwanzo, Ayat kursy na Aamanarauul hizo mbili za mwisho kibokoo fanyia kazi utastajaabu. Ukiongeza na kumswalia mtume ndo kabisaaaa
@jamillahaidha81843 жыл бұрын
Aamanarauul ni Aya nayo au ni nini? Au ni zile Aya za mwisho wa tabaraka