Wallah hamna shekhe nampenda dunian kama shekhe kipozeo yarrabi kwa rehm zako mjalie shekhe kipozeo pepo ya firdaus amiiiiiiiiiin
@allyshaban5444Ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI SHEKH WETU HILAL SHAWEJI MAKARANI A.K.A KIPOZEO
@MoranotzАй бұрын
Mashallah isilamu ❤
@mwaringakali483 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana bwana kipozeo Allah akupe afya na nguvu
@AnnoyedSunlightForest-uv2cx24 күн бұрын
MashaAllah
@rajabukimosa3377 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe heri duniani na Akulipe wema Akhera
@stevenkipara93106 ай бұрын
Mmmm! Mbona huyu Sheih yote anayo zungumza yapo kwenye bibilia Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@hadjrahkhalfan3584 Жыл бұрын
Manshallah tabarakallah imam Abuu Hanifah kwa jibu zuri saana
@user-sy3qw2zk1b Жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU akupe umri mrefu na akuongezee hekima ktk mafundisho yako ya kilimani. Mimi ni mkristo lkn napenda kusikiza hekima hii ulionayo.
@ibnukhatwib29696 ай бұрын
Karibu katika dini ya haki,ndugu mpendwa
@ibrahimally8073 Жыл бұрын
SubHanaAllah.. Allah atujaliye mwisho mwema
@zayanaduduna1405 Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH tabaraka ALLAH ALLAH akupe JANNAH FILDAUSI ALLAHUMMA AMIN YA RABBI 🤲🤲🤲🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@asrymohd6690 Жыл бұрын
Muda mwengine mada zako zinanikosha Mashallaaah
@abduladenya2435 Жыл бұрын
Sheikh Mola amjaze kheri ana ilmu kubwa na Bora zaidi,Kenya tuna m enzi
@zitoncombo1317 Жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah shekh.
@saidmwakulika9945 Жыл бұрын
Kugongozwa roho Allah atupe wepesi
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Mtihani kwa kweli
@AllyMwambashi10 ай бұрын
Kila la kheri shekhe
@saidmwakulika9945 Жыл бұрын
Yani 😂😂😂😂 ustadhi wangu huwa nakutambua sanaaa
@mohamedali7544 Жыл бұрын
Ustad kipozeo MashaAllah. Maustadhi wengi tz huwa nimatabibu Inna Lilah wa Inna Lilah rajiun
@safielimjema4593 Жыл бұрын
Nakuelew sana sheikh kipoozeo
@abdallahbrek1698 Жыл бұрын
Hapo katika Sunna mjomba umechanganyikiwa. Allah katuamuru tufuate kitabu chake. Muhammad alikuwa ni mjumbe tu. Tufuate ujumbe aliopewa, Qur'an. Wala hakuna cha makhulafaa wala khilafa. Huo ni uzushi chungeni
@fahadmussa8879 Жыл бұрын
Sun bwana wana chunguza mada nzima ili wapate kwakukosoa sio kupata dawa wao niubishanitu
@othmanmasoud16728 ай бұрын
Maana vijana wa kileonataka kukifanya kila kitu mnajuwa kazi yenu kuwakosoa mashekhe tu hata kama hamjui
@RadjabuNiragira-xr5zr Жыл бұрын
Mansha allah nakupenda sana maana mawaifha yako napata faida alafu na unanicekesha
Shekhe mwalimu alijua kuwa ankufa saabu alikua na stage 4 cancer alikufa muda alioambiwa atakufa na alikufa muda alioambiwa na madaktari na nyerere alimwambia ata mkapa ( ugonjwa huu mimi sitopona) na mkapa akawaambia wananchi
@SultanAkram-ou8nt5 ай бұрын
Uwezo wa kufikiri wa mwanadamu una kikomo ,hivyo na ww hapo ndo mwisho wako wa kufikiri
@SultanAkram-ou8nt5 ай бұрын
😊😊😊
@khadijanyevu5866 Жыл бұрын
Nayapenda mawaidha ya sheikh kipozeo lakini kwanini hapendi kuja Kenya??
@musegedi319710 ай бұрын
Cre
@othmanmasoud16728 ай бұрын
Hiyo sio mada hayo ni mawaidha wee vip eti wakati mwingine mada zako zinanikosha alafu huyo shekhe kama hujui anavitu vingi kichwani achilia mbali huo uchale wake
@abdallagaza6864 Жыл бұрын
❤
@ManaseManase-in3bg Жыл бұрын
Naminywilu ndo wapi shekh
@saidimaliki8342 Жыл бұрын
Mkoa pwani
@aisharajimbo6784 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@edoedo4973 Жыл бұрын
MASHEIKH WETU MNAFULAI SANA KUPATA RAIS MWANAMKE MASHEIKH INABIDI TUPATE NA MAIMAMU WANAWAKE