''USINIPIGE MKWARA - TULIA'' - BOSI wa MADINI ATETEMEKA MBELE ya MAKONDA - AULIZWA MASWALI MAGUMU...

  Рет қаралды 111,044

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 176
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@kilogreek4050
@kilogreek4050 11 ай бұрын
BRAVO MAKONDA WANAKWITA JINI WIVU WA KUSIMAMIA UKWELI KWA WANANCHI KAMA MAKUFULI❤❤❤
@MaliusMaliuskagumisa
@MaliusMaliuskagumisa 11 ай бұрын
Samia hoyeeeeeeee❤ makonda oyeeeeeeee❤❤ kula milioni kumi apo asanteeee apo apo naona umeludisha vilivyo potezwa asante sana mama mungu akutunze
@oscarmisiru9725
@oscarmisiru9725 11 ай бұрын
Ndoo nn
@HamisiDale-rl1vg
@HamisiDale-rl1vg 11 ай бұрын
Mungu yumwema alhaji kaniliza sana,mungu mbariki Dr samia tunaemjua ana huruma sana,kwako mwenezi Mungu akutangulie katika maisha yako ya hapa duniani!
@DJINNOSSBTZ
@DJINNOSSBTZ 11 ай бұрын
Baba jpm pumzika kwa amani vijana wako wapo huku kazi inaendelea👏👏👏
@AntonyMashama
@AntonyMashama 8 ай бұрын
Mheshimiwa mwenezi mnguu akubaliki kazi nzur tunakutegemea sana sisi wanyonge
@hamisimwinyi-c5t
@hamisimwinyi-c5t 11 ай бұрын
Hongera Rais wangu Samia kwa kumchagua MAKONDA
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Makonda oyeee Magufuli oyeeeee Mungu akulaze mahali pema
@JackKazembe-fe9uh
@JackKazembe-fe9uh 7 ай бұрын
Mungu sawazisha kila njia anayo pita makonda ata palipo miba apite na isimchome ❤❤❤❤
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 11 ай бұрын
Mtoto wa Magu ju! ju ! Zaidi. Mama Samia oyeee! Mtu kama huyu ndiyo msaidizi halisi wa mama.
@Mainda-q5b
@Mainda-q5b 11 ай бұрын
Umeona eee.... wananchi bado wanadhurumiwa haki zao jamani na Mungu anawaona dhuruma wote
@JackKazembe-fe9uh
@JackKazembe-fe9uh 7 ай бұрын
Naimani watu wengi tunakupenda na kukuombea mungu yu pamoja nawe akukinge na kila mtu anae kuangalia kwa jicho lapili wewe o
@Izaangonyan
@Izaangonyan 11 ай бұрын
Ise nagundua kitu pia ila Tanzania yangu hii watumishi walio wengi wanapenda kutumia sheria za mifukon dah inaumiza sana alafu akitokea mtu wakuilekebisha hata kwa mwanzo wake anakuwa katika wakati mgumu😢😢
@MwanneHussen
@MwanneHussen 11 ай бұрын
Makonda Oyeeeeee mungu akutunze Mama Samia umejua kuchagua Jembe Makonda kuponya mioyo ya wanyonge🙏
@hassanyohna6121
@hassanyohna6121 11 ай бұрын
Rais wetu ana Hekima Juu ya Maamzi na Uteuzi ndio maana katuletea Nyota njema Paul Makonda ......God bless Rais SSH God bless Paul Makonda....❤❤❤🙏
@brunidamadege3747
@brunidamadege3747 11 ай бұрын
Samia naomba kama Mungu aishivyo umechagua chombo, ila mtafutie ulinzi kwa ajili ya usalama wake na msogeze kwenye kitengo cha kuwa na muda wa kutembelea wananchi zaidi kuliko kuwa na ofisi maana viongozi wengi wanaandika mambo ofisini bila kuwafikia wananchi wanaowahudumia hili ni ombi langu huyu anafaa ni mtetezi wa wanyonge hata awe makamu wako kama yeye alivyowahi sema kwako na Mungu ampandishe hadi kiwango hicho ameeen.
@jacktonmakau3397
@jacktonmakau3397 11 ай бұрын
Mtoto wa mangufuli walk vizuri sana
@JumaShimende
@JumaShimende 11 ай бұрын
Nampongeza mama Samia kumpa nafasi hii mtoto wa maghufuli mana hili ni tingatinga no 2. Mama mwenyezi mungu akupe ulinzi lizamapo jua na lichomo zapo jua mama Samia mungu akubariki kwakutuletea makonda.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 11 ай бұрын
Makonda. Maashaallah. Allah akulipe heri
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Ccm oyeeeee Makonda oyeeeee ushindi kwa kishindo Mama Samia oyeeaaaaaaa unepatia kumuweka Makonda unashinda kwa kishindo kwa kuwasikiliza wanyonge hapo mama Samia umepatia
@meshakimtenga4550
@meshakimtenga4550 11 ай бұрын
Dah inaniuma saaana makonda unanikumbusha mheshimiwa 𝐌𝐀𝐆𝐔𝐅𝐔𝐋𝐈 kbsaaa
@silverman6930
@silverman6930 11 ай бұрын
Magu is watching you 🙏.. congratulations Makonda 🔥🙏🇬🇧
@vieemzee
@vieemzee 11 ай бұрын
Vraiment Makonda ayébi mosala ya ccm😅💪
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 11 ай бұрын
Namuona diamond wa ccm 😂😂😂washa vidogoli tuone respect sanaa makonda
@MariamElibariki
@MariamElibariki 11 ай бұрын
Tunataka kiongozi kama huyu anaewasaidia wanyonge❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@albinakayanza-rz5cv
@albinakayanza-rz5cv 11 ай бұрын
Baba makomda mungu akulinde sana unapotembe usiku na mchana tusaidie wanaichi wanyonge ss
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 11 ай бұрын
Mungu akubariki Makonda 🙏🙏🤍❤️
@KabadiMabula
@KabadiMabula 11 ай бұрын
Ccm juu Samia juu makonda juuu na Kisha chapa kazi
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 11 ай бұрын
Sana 🙌
@setiseti5281
@setiseti5281 11 ай бұрын
Alihamdulilah asante mungu
@Sulekha-k8d
@Sulekha-k8d 11 ай бұрын
Makonda mungu akutuponye unayoyafanya nimakubwa unahitaji mungu mkubwa mwingi wa rehema funga na uwe unaamka kumuomba mungu usje kuuriwa tukakukosa .mungu wetu asante
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 11 ай бұрын
Mama unajua kuchagua,hapa kwa mhe Paul Makonda umechagua.Juu juu chama chetu/Ccm
@GloryMasoi
@GloryMasoi 11 ай бұрын
Uko vizuri kakaangu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 11 ай бұрын
Mkuu wa wilaya mhhhhhh naona haya mie
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 11 ай бұрын
Me naogopa kudhulum maana kula jasho lisilo lako n atar ata kwa afya
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Mwanazengo chapa kazi umefufua ccm
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 11 ай бұрын
Safi sana kaka makonda chapa kazi
@melkizedekwiliam-hi7bz
@melkizedekwiliam-hi7bz 11 ай бұрын
Rais wetu ana hekima sana tena sana.
@chire4574
@chire4574 11 ай бұрын
Sio uwazir tu..wazir mkuu
@ClaraCecil-rq4xf
@ClaraCecil-rq4xf 11 ай бұрын
Jamani Mungu tuondolee udanganyifu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Sana wakomeshe hao wanataka ccm ishindwe pumbavu zake huyo anawaonea wanyonge
@PiliSampuli
@PiliSampuli 10 ай бұрын
Makonda jembe letu wanyonge❤❤❤❤❤❤
@RichardSadiki
@RichardSadiki 9 ай бұрын
Makonda umekua diamond akiwa Zanzibar
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 11 ай бұрын
Ccm Raha jman ❤❤❤
@jabirikilagilile9799
@jabirikilagilile9799 11 ай бұрын
Kaka Makonda njoo na Morogoro vijini utakayoyaona hutaamini barabara mbovu mnoooo
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 11 ай бұрын
Makonda anatisha aiseeee
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 11 ай бұрын
Ukiwanakiongozi kamahuyu hatausipokula njaahaitakuua mungumwema mlindeMakonda
@ReginaldAplonary
@ReginaldAplonary 11 ай бұрын
Unanikumbusha enzi ya mangu mkuu piga kazi daaah narahaaa sana
@Zubaiba
@Zubaiba 11 ай бұрын
Umelitimba.kwa magufuli mdogo😂😂😂
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 6 ай бұрын
😁😁😁😁🙌
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 11 ай бұрын
Huyu Mkuu wa Wilaya aondoke mshenzi tu hawa ndiyo wanamuangusha Mama
@neemanziku5403
@neemanziku5403 11 ай бұрын
Yesu wetu ni mkuu Makonda unakazi ngumu tena ngum tunataka viongozi wanao jitoa kama we
@ZenahAlex
@ZenahAlex 11 ай бұрын
Muheshimiwa p makonda ukuje na mafinga tutoe kero zetu turizofanyiwa unyama turipotaka kujetetea wakasema mdawetu wamaerezo umeisha ukuje baba mtetezi wawanyonge
@PendoNgemaPendoNgema
@PendoNgemaPendoNgema 11 ай бұрын
Jaman Makonda Mungu akuntunze jmn jamn
@Naju645
@Naju645 11 ай бұрын
Makonda 🔥
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 10 ай бұрын
Mama samia naomba tumbua majipu wanyonge wananyanyaswa sana viogozi wanakula rushwa
@SamwelDanielDaniel-r1l
@SamwelDanielDaniel-r1l 7 ай бұрын
Mhh. nchi hii umeixha sana Dah
@JeanBaptisteBasumingera
@JeanBaptisteBasumingera 11 ай бұрын
Kumbe na Tanzania munashida nyingi jamani uwo jama mumuwekwe kwenye mikono ya Mungu sio gupiga vigelegele tuuuu
@Zubaiba
@Zubaiba 11 ай бұрын
Hahahahaha makonda chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mlaydaud9237
@mlaydaud9237 11 ай бұрын
Makonda namini utatfkisha nchi ya ahadi mwenyez mungu Katie nguvu maana unapenda haki
@rambostalon2888
@rambostalon2888 11 ай бұрын
Magufuli ❤ makonda god bless you
@papaabdoul5830
@papaabdoul5830 7 ай бұрын
ama kweli kumbe viongozi africa bado wapo, dahh maconda noma kweli kweli
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 11 ай бұрын
Hii Nchi imeoza kila mahali!
@Ihsankeizer
@Ihsankeizer 10 ай бұрын
Honestly the only country in the world practising RAW DEMOCRACY is Tanzania. This is what real PEOPLE'S POWER means. Tanzanians surely should thank the late President Maghufuli, he set a precedence that every leader after him has to emulate and follow...
@edisonemmanuel-po6ds
@edisonemmanuel-po6ds 11 ай бұрын
Chapa kazi mh makonda tunazikubali kazi zakooooooo
@BizimanaDesire-cq9tr
@BizimanaDesire-cq9tr 11 ай бұрын
Samia oyeee
@keamohamedkhamis
@keamohamedkhamis 6 ай бұрын
Yani wallahi Kenya yetu ngekua kama hivi aki Kenya tunge kua mbili lakin Kenya ufisadi huwizi madawa waporaji mashamba Yani Kenya kero
@SEBASTIANNDEGEMAGAU
@SEBASTIANNDEGEMAGAU 11 ай бұрын
Nyie wadhurumaji tu
@johnsanda4931
@johnsanda4931 8 күн бұрын
Huyu jamaa anafaa Sana kuwa Rais
@abbassalum6824
@abbassalum6824 11 ай бұрын
Makonda Uko vzr ila Chama unachokipambania nimeshaoza tutakuchukia kwaajili ya Chama Chako siutafuta tu chama kizuli Moindue Meza
@PriscaKashamba
@PriscaKashamba 10 ай бұрын
Makonda Mungu akutunze
@PetertamsonMwavipa-qn3tw
@PetertamsonMwavipa-qn3tw 9 ай бұрын
Makonda saf kwakuwajari wananchiwako
@Elizabethlizy-w1v
@Elizabethlizy-w1v 10 ай бұрын
10:50 10:53 10:56
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 11 ай бұрын
HUYO MAKONDA MOTO ❤❤❤❤
@najmamgallah8154
@najmamgallah8154 11 ай бұрын
Jamaan kaka Leo umebambwa n watu wa madini, konyagi itashuk kwel leo
@NiselaNyakato-wl3kq
@NiselaNyakato-wl3kq 11 ай бұрын
Mheshimiwa uyu ni magufuli tosha baba wa wanyonge
@maugomachele3823
@maugomachele3823 6 ай бұрын
NAKUBAR....SANA KIONGOZ JEMEDALI.
@mulebamnaku4130
@mulebamnaku4130 8 ай бұрын
Kwani kukubadilisha kaZi kafikilia nini raisi mbona unezi ulukufaa sana, kama ni rungu ulipewa
@rithaurassa
@rithaurassa 9 ай бұрын
MAKONDA ni lazima. UWE Raisi MWAKA 2025makonda hoyeeeeeee
@DenisDomician
@DenisDomician 10 күн бұрын
Huyu makonda shujaa kweli
@PetroNyamanche
@PetroNyamanche 7 ай бұрын
Chapa kazi baba
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 11 ай бұрын
Hyu ni wazir mkuu
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 11 ай бұрын
Kagera group ina wanachama wangapi?
@joycekalago532
@joycekalago532 11 ай бұрын
Kumbe makonda ndio ana akili hivi😂😂😂sijawahi kujua
@MfikaMkumbwa
@MfikaMkumbwa 10 ай бұрын
Mama samia oyeee makonda oyeee!!?
@MichaelMlowe-ne3ri
@MichaelMlowe-ne3ri 10 ай бұрын
Jmn mbn nanogewa na mikutano ya hyu mh
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 11 ай бұрын
Mm ninge kuwa Mama makonda ndio ninge fanya waziri mkuu
@Mainda-q5b
@Mainda-q5b 11 ай бұрын
Ahahahahaaaaaaaa
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
@@Mainda-q5bhutaki 😂😂
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 11 ай бұрын
@@MsAggie5 nime sema mm sija sema ss tofauti ni hiyo nilichokiona uja ona
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 11 ай бұрын
@@Mainda-q5b mm si ss plz nieleweni
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
@@festokivuyo7121 hukunielewa
@PeninaMagati
@PeninaMagati 11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉makonda hoyeeee
@iddyngaiwa
@iddyngaiwa 11 ай бұрын
Huwa mnakela kutomaliza habar
@annamwanakatwe233
@annamwanakatwe233 11 ай бұрын
Dhiliumati Hatuna rahana CCM balaa
@hanifamziray277
@hanifamziray277 11 ай бұрын
Nakuona makonda safari yk ya uwaziri haipo mbali
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 11 ай бұрын
Uwaziri utambana hyo nafasi ndo streaker
@soudedward3779
@soudedward3779 11 ай бұрын
Awe WAZIRI MKUU
@SurprisedBoomBox-yq2pt
@SurprisedBoomBox-yq2pt 10 ай бұрын
Makonda nimelia Sana hasa unanikumbusha baba magufuli
@bekabeka6255
@bekabeka6255 9 ай бұрын
Nice
@Zubaiba
@Zubaiba 11 ай бұрын
Magufuli mdogo oyeeeeeee🎉😅😅😅😅
@salimamani6672
@salimamani6672 11 ай бұрын
Siasa mbaya sana
@JuliusTanzania
@JuliusTanzania 11 ай бұрын
Hakika Komredi Makonda wewe ni nuru inayotembea, kwa kifupi hapo kuna harufu ya Rushwa inayomhusu Afisa madini na Mkuu wa Wilaya. Malamka husika zinazohusika zifanye kazi dhidi ya hawa watumishi wababaishaji ili wananchi wapate haki yao.
@GloryMasoi
@GloryMasoi 11 ай бұрын
Jamani mwenezi nitapataje ata namba yako nikupe tu neno labaraka???
@PoundJerome-ul3rd
@PoundJerome-ul3rd 11 ай бұрын
Glory
@AdamFundikira-jb9vq
@AdamFundikira-jb9vq 11 ай бұрын
Nilikuwepo leo
@giftmusa6543
@giftmusa6543 11 ай бұрын
Nilikuona
@AdamFundikira-jb9vq
@AdamFundikira-jb9vq 11 ай бұрын
@@giftmusa6543 hahahaha kweli kaka
@MagidaFafa
@MagidaFafa 11 ай бұрын
Piga kazi baba keagan
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 11 ай бұрын
Nasikia mpaka waseme
@melkizedekwiliam-hi7bz
@melkizedekwiliam-hi7bz 11 ай бұрын
Makonda yupo imara. Samia hajakosea kumkubali.
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 11 ай бұрын
Kiukweli huo ndio mzimu wa magufuri atari Sana
@Zubaiba
@Zubaiba 11 ай бұрын
Mkuu wa wilaya kwio😂😂😂😂😂😂
@Mainda-q5b
@Mainda-q5b 11 ай бұрын
Kwa kweli bado kuna madudu mengi ya wananchi kudhurumiwa hasa mikoani
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI,  JANUARI 12, 2025
ITV Tanzania
Рет қаралды 120
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН