walokuja hapa kwa ajili ya mama zuchu tafadhar naomba tujuane 😊😊😊
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@SurUser-d7s Жыл бұрын
😂😂😂😂
@Ashleyqueen001 Жыл бұрын
Niko hapa😂
@luhajufilmstanzania Жыл бұрын
😂😂😂tumeuzwa
@aishaabdullah837 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅 Atari sana
@YusraIbrahim-y6xАй бұрын
Makonda m.mungu akujaliye kher kwenye kaz zako in shaa allah
@neemanziku54039 ай бұрын
Yan Makonda hata wakupe ujumbe wa nyum ba kumi yan tunakupenda tena tunakuombea chukua maua🎉🎉
@allykayanda693011 ай бұрын
Nilichogundua huyu Hadija kopa hapa niwamchongo tuu,hanachakuongea,mzugaji tuu hapo 😂😂😂,lakin hongera sana kwakusikiliza kero za watu mwenezi wetu
@mariamrema611211 ай бұрын
Pambana baba na mungu akutie nguvu tetra wanyonge na wasio na haki baba
@lunangabenjamin312111 ай бұрын
😮wow wa africa tuna maisha marefu dah mzee,ulianza,ulisumbuliwa njo nazaliwa duniani mpaka loe hujapata haki yako.mpaka ukakata tamaa.yaani uliuwawa ila kifo kikakukataa.pole sana.
@DavalsonMarlony Жыл бұрын
sema serkal knaviongoz waonev Sana wanapenda kuwanyang'anya raiya maeneo yao hata Kama labda aklpa kod ya ardh kwann msimpe nafas afanye process ya klpa ili mumuachie eneo lake Yani unakta viongoz ndy wanagawana ardhi ya Mt kna sehemu nlskia iyo habar ad mzee wawatu kafa kwa kpora mashamba yake mtakja klpa mbele za mwenyenz mungu sk moja
@johnbernad3990 Жыл бұрын
Hoja yako nzuri sana lakini unachafua lugha ya Kiswahili unapoandika kamilisha maneno siyo mkatomkato
@DavalsonMarlony Жыл бұрын
@@johnbernad3990 isafishe man we ujawai kosea, smat kawaida unaweza kuandka kt ukakuta umeboronga chukuwa brashi broo icho kiswahili kina benefit gan kwako Zaid ya kuongea Cha umuhm point umeiyelewa kausha
@nuruhabasimainya11 ай бұрын
Paul makonda mungu akutunze
@radhiamalla942810 ай бұрын
Mzee katisha Sana gonga like kwaajiliyako, nataka eneo sitaki hela Safi kabisaaaaa👏👏👏👏
@sijartv955410 ай бұрын
Sitaki pesa
@omanoman2044 Жыл бұрын
Wallah mtihan makonda kashakuw msilim maashaallah am ni kibarakashia tuy
@AhmadaHassan-gy5uj Жыл бұрын
Sio kama kazugia hiyo balagashia kwa kuwa yupo kwa waislam wengi
@omanoman2044 Жыл бұрын
@@AhmadaHassan-gy5uj ndo kuzugia kwenyew huko kwa sababu ni kwa waisilam
@fbensony Жыл бұрын
Barakashia ndiyo usilam😅
@omanoman2044 Жыл бұрын
@@fbensony som vizur hiyo meseji wa TZ MNAPENDA KUKURUPUKA TUY KUJIBU
@ouldaidallah467011 ай бұрын
ni vazi la asili kumbuka hayati Mrema
@andreauisso3225 Жыл бұрын
Hiiii inchi bwana Mungu atusaidie hivi tangu tumepata huru wameshindwa kuwapatia wana nchi wanacho hitaji
@sevelinsilinu5621 Жыл бұрын
kwahiyo wewe tangu umezaliwa unachohitaji ni hicho hicho hujui kama mahitaji yanabadilika hizo ni akili mgando
@mohamedothman5792 Жыл бұрын
Na sijui watashughulika na waTZ wangapi kwa style hii Futuhi
@andreauisso3225 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 hawa ma ccm kama wameshindwa kuwafunga na kuwaamurisha warudishe hela walizo iba ndiyo wata weza kusuluisha migogo iliyopo inchini tunahitaji viongozi wazalendo na siyo waigizaji na kuwa kiongozi haijalishi upo chama gani tumeelewana hapo au na wewe ni chawa wanao kaasehemu chafu😂😂😂😂@@sevelinsilinu5621
@adamimis10 ай бұрын
Kopa wafamishe kwamba nyinyi wote kule kwenu Uku kwenye samaki wa siwa 😂😂😂❤❤❤
@norahgingi564211 ай бұрын
Ongera Sana mwenezi wangu mwenyezi mungu ambariki raisi wetu mitano tena ccm oyeeeeeeee
@ladooladoo128511 ай бұрын
Amina
@mwajumamwajuma5510 ай бұрын
😢
@husseinkitingi818610 ай бұрын
Hii ndo njia aliyoianzisha magufuri Allah amuongoze inshaallah
@janetchinga695 Жыл бұрын
Masikini mzeee😢😢 polesana
@salimakuyela781311 ай бұрын
Kama umefurahi hadija kopa kushushuliwa gonga like hapa ili kumuaminisha sura ya ushari ndio amekataliwa kuongea 😅😅😅😅
@hansynasery6399 Жыл бұрын
mzee kichwa smart sana😂😂😂
@hamisimsosi6237 Жыл бұрын
Muheshimiwa makonda kila la kheri kwa kazi kubwa unayoifanya kupitia hii naikumbusha selikali kuwa migogolo ya aridhi inazidi kuongezeka kila kukicha kwa hiyo ningeishauli selikali iwe ajenda ya kitaifa kila Kona watu tunalalamika kudhulumiwa aridhi aksante😭😭😭😭😭😭😭
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Maneno mengi vitendo hakuna. Utawala bora hakuna
@raheematanzania2816 Жыл бұрын
Kelo nyingine nahisi hata Makonda hajazaliwa😂😂
@mohdmakame4552 Жыл бұрын
Nmecheka San kuona hii comment 😂
@thomasmsuya-ui5kh Жыл бұрын
Matukio arusha
@jalaryababilasi1562 Жыл бұрын
Mnasaidiwa kero afu mkitoka hapo mnasema makonda ni muuaji makonda chapa Kaz kaka nakupenda xan
@Chettymlambalipsi-lb9km Жыл бұрын
Namsuburi mama zuchu aongee ata sijamuona😂😂
@feelNice-vi3lo Жыл бұрын
Ccm hadi mic mchongo hapo kwenye kundi la khadija kopa kunapesa zimetolewa wasisikie kero nyie kuna mungu baada ya haya maisha ngoja wazee wafe na vinyongo tu
@hamiduchingi267211 ай бұрын
Darasa lanne ilo mzee nabado upovizuli, sasa awa awtoto wasasa wanatusumbua etikisa tu wanabachela zao, kingereza awajui kusoma awjui kingereza munatusumbua watu wenye tuliojikatia tamaa naiinchi😢😢
@jeremiahngoka4980 Жыл бұрын
Mkome na mporwe ardhi kbs.Bado mnavaa manguo ya kijani ya hicho chama cha dhuluma.Pigweni sana tu
@MaikoManeno-v9r10 ай бұрын
Nkajua Khadija Kopa a.k.a mama Zuchu ataongea kumbe ziiii 😂😂😂😂😂😂 ila millady ayo
@VuaiMuhidini6 ай бұрын
Makonda nakibarakashia
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
Millard naww umeanza uhuni sasa mama zuchu kaongea wap????mzee umeniumiza moyo sanaaa😭😭😭😭😭
@hafsahmassemoh3598 Жыл бұрын
Tena mm nilivyo poteza mda kuangalia yte 😢😢😢😢😢amenikera ujue 😂😂😂😂😂😂
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
@@hafsahmassemoh3598 kasha anza kupoteza mvuto wa habali kisa kashiba
@neemawilliam8415 Жыл бұрын
@@hafsahmassemoh3598ngoja niachie njian
@chusseboywcb280810 ай бұрын
@@hafsahmassemoh3598 habali zake zimekua zakiboya
@surusuru1994 Жыл бұрын
Nakubedea❤❤hapotu kaka kaz vury
@popiya2368 Жыл бұрын
Mzee kaongea vizuri sana
@mamiyfeiy11 ай бұрын
Sana tuu amejua kujielezea
@TatuCharles-m1e11 ай бұрын
Talatibu fupa lilimshinda fisi mbwa utaliweza❤
@Zainabkhamis-d2s Жыл бұрын
Mzee mashallah anajua kuongea
@dorcaskidoti249 Жыл бұрын
Mama Khajida kama misukule yaaani yuko bwajabwaja sijui kalewa😢
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Anatudhalilishia imani yetu ya Uislam. Haitegemewi Muislam tena Hajjat halafu awe tim tim hivi ingawa yupo kibaruani lakini vibarua vyenye staha vipo.
@FatimaAli-of4gh Жыл бұрын
Kumbe na wewe umeliona😂😂😂
@nancychesang956711 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mussammanga7791 Жыл бұрын
Jitu zima ovyo mawigi kama kichaa. MwenyeziMungu ametupa muda mfupi sana hapa duniani wkt wowote tunaondoka tujiandae. MwenyeziMungu ameuwapia wakati katika Qur-an.
@emmanuelmatogolo5869 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Acha makasiriko 😂😂safisha nafsi yako kwanza uache kuhukumu watu pumbavu
@chuggaboy9877 Жыл бұрын
Nenda kamfanyie daawah sio kumnanga mtu huku…!
@mussammanga7791 Жыл бұрын
@@rosemahenge9071 Hukumu unaijuwa. Apo nimemtakia mema arudi kwa Mola wake au kwakuwa wewe ni mtu wa motoni unataka muingie nae pamoja?
@mussammanga7791 Жыл бұрын
@@chuggaboy9877 Iyo peke yake daaawa nimemkumbusha kwamba muda tuliyopewa na MwenyeziMungu ni mfupi. Na MwenyeziMungu ameuwapia wakati.
@afredyohana356 Жыл бұрын
Usaniii huu wa ajabu
@joycemuhoja4729 Жыл бұрын
Bi Hadija mbona uko kishari hujapendeza si vizuri ata kidogo
@Mumewangu Жыл бұрын
Mama zuchu kalewa mpaka kalewa lewa zuchu akimuona mama take atasema he mamaeee. Diomond kichwa chini
@mangofish907911 ай бұрын
Hii nchi vichekesho sana yaani makonda awe bora kiufanisi kuliko hizo taasisi husika yaani ni dhahiri taasisi zimefeli kuhudumia wananchi ipasavyo ni jambo ambalo limezoeleka.
@HafidhiSaidi-f3j Жыл бұрын
Huyo Dada mwenye kidoti nampendaga sana nilimuonaga lugoba.
@GodilivaSanyawitimu Жыл бұрын
Nishida
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Huyu makonda mmemchelewesha kumpa cheo kingine Cha utendaji ni zaidi
@aboudijaaboudija Жыл бұрын
huyu baba oohh jamani pole sanaa mzee daah😢😢😢
@Mosesndahani Жыл бұрын
Vkomled mziki wa huyo mzee ndiyo tatizo la kushughurikia, achana na akina Mbowe, mama mwenye nywele ananichanganya mzima kweli.
@maniamba.tz_11 ай бұрын
Mama mwenye Nywele ni Adija Kopa msanii mkongwe 😂😂😂
Faida ya maandamano ninini? Elezafaida kwanza unaandamana unakamatwa ukifika huko unabadirishiwa kes unakua mhujum uchumi hiv unaijua hii selekalilakini
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Hili biki kama sura yake kama kima hee halitubii tu hee bibi jiheshimu umri ushaenda jua linazama tena
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Akiwa Bagamoyo Paul Makonda Kavaa Kofia!!!!
@leokamil6284 Жыл бұрын
😅😂😂
@ahmadamohamed1907 Жыл бұрын
Lishalewa hilli huoni hata.sura yake
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
KOFIA YA NYERERE ZANZIBAR NA YA MAKONDA BAGAMOYO Uislam ulianza Zanzibar kabla ya Bagamoyo alikovaa Kofia Makonda. Lakini alipokwenda Zanzibar hakuvaa Kofia. Kinyume chake, Nyerere alivaa Kofia aliyopewa Makunduchi, alikozaliwa Mufti Hassan bin Ameir al-Shirazi aliyepigania Uhuru wa Tanganyika kabla ya Nyerere kupokelewa na Mufti Hassan kujiunga na Tanganyika African Association. Lakini baada ya Uhuru, Nyerere alimsaliti na kumfukuza Mufti Hassan kurudi kwao Zanzibar. MWONGOZO WA WAISLAM Allah amewakataza Waislam kutowafanya AULIYA Mayahudi na Wakiristo. [Qur'an; 5:51].
@chifbrown1568 Жыл бұрын
Alietupa siasa Africa alion mbal sana mana ni 😂😂 Badala ya kudili na mizizi ya changamoto zetu na uhalisia wa maisha yet kuanzia ngazi zaki familia mpka kwa jamii nzima katika kukuza na kuongeza Thamani za mataifa yet tuna weka sias😁😁
@uwimana6533 Жыл бұрын
Huyo hadija mbona kama kituko mtumzima, hovyo umri umekwenda akili kamakisoda 😂😂😂
@hamisiabubakari565011 ай бұрын
Viongozi wetu waserikali mnayasikia nakuyaona haya migogoro ndyo imekuwa sehem ya maisha yawatu tubadilike ili tuishi kwa usawa
@felixkamkala3303 Жыл бұрын
Mama Samia Suluh afanye mabailiko ya Haraka sana Ma Dc na RC na ikiwezekana Hawamu hii asiangalie Mavyeti wafanye uchambuzi kwa viongozi Wazalendo
@onesmomwakasege5215 Жыл бұрын
Mbona mama zuchu kachakaa ivyo ivi anasaminiwa nakushauliwa kweli
@omarkhamys9818 Жыл бұрын
Samahanini waungwana!!! Huyu khadja kopa iyo minywele kama mgonjwa!!!!
@billgussy6099 Жыл бұрын
maigizo hadi kwenye maisha ya watu
@allyadam7355 Жыл бұрын
Greenwood wa getafe
@shangweyussuf64011 ай бұрын
Warogeni!!!
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Mzee ana akili sana maana angetaja hela angepewa 20,000 yake hapo hapo.
@saloomidd108410 ай бұрын
Ni mjanja ana mahesabu
@fatmasaid353611 ай бұрын
Mama mtu mzima hayo manywele angejitanda kama anavojitanda kawaida angependeza tu
@adilhabib8988 Жыл бұрын
Khadija kopa
@isayamapela2087 Жыл бұрын
Ujauja hutakiwa
@Sultan-o7m9s Жыл бұрын
Sifa ya kiongozi ni kuwa mpole pale panapotakiwa na kuwa mkali pale panapohitajika ila Si kuwa shipa na udikteta
@kaaakwakutuliaa5179 Жыл бұрын
ivi diamondi kazama vip pale
@jeffhard5773 Жыл бұрын
Mnajitekenya wenyewe harafu mcheke wenyewe
@freduallughano2301 Жыл бұрын
We mama zuchu,eti ndio uongozi du tanzania kwisha kabisa unamuitaje mtu mzima hivyo ambaye kakuzidi miaka 30?mnaharibu sana maadili katika jamii.
@saloomidd108410 ай бұрын
Inaonekana wanajuana kwenye harakati zao ndio maana amejiamini kumuita hivyo,mbona wengine hajawaita hivyo
@frankmasuke775010 ай бұрын
Hawataki kujifunza bado.., mbna wanasheria walielekeza kama nikero wapeleke sehemu gani??
@raajquoteswords7805 Жыл бұрын
Milad na wee ushaanza ujinga kma mbengo Tv... Unatazamwa na taifa sio Wana udaku kaa na media yako wanaokiwa Wana upload video zako content..iwe sawa na kilichopo
@EshaHamd-ed9yv Жыл бұрын
Huyu Mama ulevi ndio chai yake sishangai msulule WA Khadija Kopa unatoka wapi
@ONJAHWorldwide9 ай бұрын
SIJAPENDA KITU KIMOJA KUHUSU HII SERIKALI. MTU ANAPEWA CHEO.. ANAANZA KUFANYA MAJUKUMU.. KABLA HAJAFIKIA HATA ASILIMIA 30, ANATOLEWA. ALAFU YALE MAMBO AU MICHAKATO AKIYOFANYA INAISHIA KATIKATI, INAKUA SAWA NA BUREEEEE...
@AllyAbdallah-b5s Жыл бұрын
Aaah makonda hana lolote
@aishaalbalushaishabalush829110 ай бұрын
😅😅😅😅😅khadija kopa waachie masikin ambao hata harufu ya rais hawaijui wewe kila mara unakutana na rais na mnaonana unaweza omba msaada mbele yake akakupa kinachokufanya ukabanane na wasio muona rais live ni nini we mama 😅
@RehemaRashidy-d2h Жыл бұрын
Makonda naomba uje kigoma kaka
@mariamarywenslaus2938 Жыл бұрын
Babu kakazana kupokonya maiki😂😂😂😢😢😢
@jalaryababilasi1562 Жыл бұрын
Kumbe ccm mnajifanya tu kumbe matatizo mna mengi ovyo kabisa ukipiga wimbo wa mbele Kwa mbele mnaenda Nao kumbe ovyo 2
@ekkymumba8566 Жыл бұрын
Watu wanahisi wanamshtakia Magufuri 😭😢
@Nalitumpaboy-dm4tk Жыл бұрын
Makonda anajaribu kuwa kma anko magu lakin wap
@bulunjamalimikulwa4876 Жыл бұрын
@@Nalitumpaboy-dm4tknikulingana na position yake alokuepo, lakin angekua mkuu zaidi pasingetosha
@eligiusedmund3187 Жыл бұрын
4:20 umeskiaje ayo najibu kwa Mzee wetu CCM mna drama sana
@Nalitumpaboy-dm4tk Жыл бұрын
Makonda hauna adabu uyo sinimamaako unamwitaj we khadija
@user-ex3mw1bj9k10 ай бұрын
Hana adabu huyo anaeitwa wee khadija kopa maana hajiheshimu yeye mwenyewe mwanamke mtu mzima usojiheshimu mpaka leo umo tu kujitoa fahamu kaenda kutafuta nini hapo ? Mbona hakusema hiyo kero yake ???uzee ushamfika lakini anajaribu kuupiga mateke iweje uso ushamshuka kila kona, asotubia anasubiri nini umri huu tena?
@afredyohana356 Жыл бұрын
Mnawakusanya watu kwa magari kutoka maeneo mbalimbali
@thaddeojude7511 Жыл бұрын
Nenda naww ukakusanywe...kama vip
@mahersaid25810 ай бұрын
Km umemuon uy Dada wa nyuma ulivy taj ukimwi aka shangaa wek comment yak ap
@zatchardzknestor Жыл бұрын
Makonda ubarikiwe
@neamusic260111 ай бұрын
Kwani kalewa au..
@HusseinMustapha-n2n Жыл бұрын
Aya maingizo 😂😂
@leokamil6284 Жыл бұрын
Wameona watokeje nchi ya maigizo watanzania tunajua kuchezewa kwa thumni😅
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Wapige kambi hata ya mwezi mmoja kwenye hayo maeneo yenye migogoro. La sivyo huu ni usanii tu
@rahmaissa10 ай бұрын
Muwe mnacha usenge 😢 unatuandikia mama zuchu alaafu hamnaa kitu mbwa kabisa 😏😏
@HSpeedone-ke5nh Жыл бұрын
Muaminifu ndeye fisad😅
@albertvalentino130 Жыл бұрын
Due, mh hicho unachokiskia hapo ni asilimia 0.00% ya migogoro ya ardhi iliyotapakaa Nchi nzima --- na kama ndio ita tatuliwa kwa utaratobu huo " basi kazi tunayo wa Tz "
@Mbossokhanmatelephone98 Жыл бұрын
Hiv makonda ni nani
@AngelChino-v8f6 ай бұрын
Makonda tunaomba huwende kisiju jamani watu wanateseka
@Abu-Hamza254 Жыл бұрын
Huyu mama wa Zuchu kachizika nini,mama mzima muislamu atembea kichwa wazi
@SilaMinanda Жыл бұрын
Shetan huyu mama
@GatekaFatma11 ай бұрын
Makonda alivo pendeza na kofia
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Matatizo Kila kona
@alluminiumexperttz.12mview13 Жыл бұрын
Makonda nguvu imeanza kuisha. Mwanzo kero alikuwa anazifanyia kazi mwenyewe saiv anarudisha wananchi kule kule zilikoshindikana
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Hana cha kufanya zaidi ya hayo. Tanzania ya kijani mtachoka sana
@Tariqxxtenations11 ай бұрын
Uyo mama zuu kapngwa hapo.hhahaa ccm bwana
@HajiHaji-u4h11 ай бұрын
Ni mzaramo wa bagamoyo huyo itakuwa na yeye wamemdhulumu