Nimekuelewa mwalimu wa neno la Mungu sijui kama kuna mwingine anaweza akawa amebarikiwa kuliko mimi
@ayubonyando Жыл бұрын
Amen 🙏 Neno la Mungu lipewe sifa zaidi
@rebeccakadzo80572 жыл бұрын
Asante sana nimejifunza kitu ndani ya hili somo barikiwa sana mtumishi wa Mungu🙏🙏
@akimanachristine8050 Жыл бұрын
asante mtumishi wa Mungu,kuna vitu vingi nilikua sijui.
@patyadhis37802 жыл бұрын
Amen asante kwa mafunzo ubarikiwe
@solangeissa71325 жыл бұрын
Amen
@irenedaffi71792 жыл бұрын
Ameeen 🙏
@serinaserina96392 жыл бұрын
🙏🙏
@irenedaffi71792 жыл бұрын
Waooooo hongera pacha wangu naiman umepata kitu habity 🥰💞
@serinaserina96392 жыл бұрын
Naam mpz wangu Mungu nimwema lazima kutoka nakitu
@AngelFrank-s1x4 ай бұрын
Wow
@navokisembo2 жыл бұрын
Ameeen and ameeen
@نورةكينيا2 жыл бұрын
Emen mchungaji neno limenibarki mpaka limelia mtumishi ubarkiwe xna
@Bracha_collections2 жыл бұрын
Ameeen....! Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu...!
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
NABARIKIWA SANA PASTOR KUTOKA DODOMA
@beckybeckum62822 жыл бұрын
Amen...nimefunguka kabisa..be blessed
@EunyKims2 жыл бұрын
Nashukuru kwa mafundisho yako mtumishi. Bwana akubariki sana kwa neno ila hiyo background music iko kwenye mafundisho mengi yenu na inaathiri usikivu kwa kiwango (naongelea kwangu mimi binafsi). Ikiwezekana mkayatoa bila huo muziki itarahisisha na kunisaidia sana katika kusikia. Naongelea tu kwangu binafsi kwamba bila huo muziki, kunakuwa na utulivu.katika kujifunza. Ni kama vile mafundisho na muziki vinagombea kusikilizwa kwa wakati mmoja. Hata hivyo namshukuru Mungu sana. Asante
@alphadreammedia Жыл бұрын
Mimi nafurahia sana background hiyo nabarikiwa sana