Nyangemba upo vizuri kwani nikikuangali kwenye black lion unaonekana kijana huku unaunekana kikongwe kweli kama mnamkubali bi nyangemba mpeni like zake
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Asant
@YasintaMabumo-x5k2 күн бұрын
@@chumvinyingigang Bro chumviii black lion sesion 2 ni lin broo
@Evelina-nj4tc2 күн бұрын
Uyo mama anajua sana mm namkubali sana 🎉🎉🎉🎉
@Evelina-nj4tc2 күн бұрын
@@chumvinyingigangtunasubiri kwa hamu sana simba mweusi sehemu ya pili kaka chumvi🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@YohanaLukosi2 күн бұрын
Ame tishaaa😅😅
@NacirMendez-j5c2 күн бұрын
Walah wabilah ani we mama au bibi unaecheza kama mama chumvi nyingi kwa jina la nyangemba aseeeeeeee unajua yani unajua walah naaapa unajua hakuna mfano unauwezo wa kipekeeeeeeee Allah akutunze inshaaaalwahhhhhh hata kama move mbaya au stor yani uk vizur sanaaaaaaaaa Congratulations
@sharifamahamudu1822 күн бұрын
Chumvi nyangemba mshahara wake uzidi maana anajua sana
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Sawa boss
@shortgun_76.132 күн бұрын
Nyangemba apewe mkongojo jamani 😂😂 tukifika episode 30 atakuwa amechoka kwa kweli,, hila kazi anaiweza sana. Team zima ya chumvi nyingi geng hongera kwa kazi nziri 🎉
@AishaMohamedhaidari2 күн бұрын
Wa 28 kutoka oman nawapend chumv nyingi gang tupo pamoja nipen like zangu❤
@sarahthyaka-v2k2 күн бұрын
Nyangemba nakurumia mamagu 😂😂 lakini kwa hii kipindi umeua mama chukua maua yko🎉🎉🎉🎉🎉
@NtacobanzizaLeatitiazilfa2 күн бұрын
Yani bi nyangemba na bi kawiye kikweli Na wapenda sana ❤❤❤
@JamesMwandoje2 күн бұрын
Nyangembaa juuu...kwriiii...nyangambe mwamba...Usiseme Chumvi nyngi Gang juuu
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Asant
@MpashiKennedy2 күн бұрын
❤❤❤Nyangemba niwewe yani ume iweza kazi yako kweli kama bibi kweli
@swabiaa14892 күн бұрын
Nyangemba anajua sana ana fit kila mahali🎉
@LettyLussi2 күн бұрын
Kazi nzurii San chumvii chukua maua yako ukiwa hai bro😊
@SimbasportsClub-l1q2 күн бұрын
Bi nyangemba upo vizuri sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@HazardBoy-h4w2 күн бұрын
Mwamba chumvinying gang respect yak
@chumvinyingigang2 күн бұрын
🎉🎉
@abdillah_Viera9615 сағат бұрын
Nyangemba Mwaka Umeanza Vizur Na Ww pia Umeuanza. Vzr Mungu Akusimamie inshaAllah 🎉🎉🎉
@AbdallahNdaza2 күн бұрын
Nyangemba chukuwa mauwa❤❤❤❤❤❤
@mealiichaurembo2 күн бұрын
Huyu bibi nyengemba hii party ya uzee hatar kwly❤😂
@modestamodesta39402 күн бұрын
Mzigo wa moto no moja mm jmn mwaka mpya na mamb mapyaaaaaa❤❤❤❤❤
@HhBbh-tn5uh2 күн бұрын
Nilikuwa naongoja kwa hamu😂😂😂❤❤❤
@HhBbh-tn5uh2 күн бұрын
Chumvi nyimbo yakumalizia mchezo umeipatiya🎉🎉🎉🎉🎉
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Asant
@MazanzaOfficialКүн бұрын
Nakubali Hamjawahi Kuferi Mnatoa Moto Mnaweka Moto Hongera Kwa Timu Nzima Mnaofanikisha Kazi Ila Nyangembaa Wewe Unakiti Chako Mbinguni Unahatar🔥🔥🔥🔥🔥
@SophiaAuni2 күн бұрын
Mungu awabariki sana mashabiki wote wa chumvi nyingi gang..NAWAPENDA sana
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Amen
@Stogwa2 күн бұрын
WA kwanza Leo nipeni ata tano bass
@KimsitiThedon2 күн бұрын
Sasaseni munasikia musisemeeeee
@enockjohn24532 күн бұрын
Wa kwanza leo
@Fatma-e5q6f2 күн бұрын
Kila mtu wa mwanzo chumvi wee kiboko😂😂😂
@negoboy0022 күн бұрын
Mama nyagemba mungu akueke uko swa sana sana sana yani hongra na team yote ya let's go!😂😂🎉
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Asant
@helinasubila9872 күн бұрын
😂😂😂 nyangemba kwa simba mweusi hapa umeseka
@CHEUSIMEDIA22 күн бұрын
One love chumvnying gang❤❤❤
@SimaojorgeManuel2 күн бұрын
hii movie ni nzuri sana ❤👍🙏🇲🇿🇲🇿
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Asant
@KastrojayMuleghusa2 күн бұрын
Hongera sana kazi ina ENDA POA POA Na ifata Toka drc congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Asant sna
@FabianNtimba2 күн бұрын
Kongole kwako nyangemba upo vizuri sana bibietu kipenzi bila kumsahau bibi yetu pia a.k,a kawie nawarespecti sana 🫡🫡
@jumambunda22562 күн бұрын
Nakubali chumvi nyingi ndugu yangu kazi iendelee
@JacquelineErick2 күн бұрын
Kazi juu ya kazi pongezi kwenu 🎉🎉🎉
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Asant
@FrankFribat2 күн бұрын
Mko vzr
@bakarigugah12322 күн бұрын
Wa kwanz jamn
@BUTILANJIA2 күн бұрын
Ng`adu kwa ng`adu😂
@SelemanKayange2 күн бұрын
Jaman hii movie leo ilivoanza aaah bc tu!
@HamisiMachinda2 күн бұрын
Naipenda sana chumvi nying gang mungu awazidishie mzidi kutuletea vitu vizuli kama ivyo❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@HazardBoy-h4w2 күн бұрын
Kaz kaz chumvinying gang
@MohamediKalanje2 күн бұрын
Nyangemba mpk kuisha hii tamthilia basi mgongo utakuwa ushagota
@HassanTanda-y1n2 күн бұрын
Good job
@Muna-en4yq2 күн бұрын
Duuh hpa bi nyangemba kaumizwa kiuno mbaya😂
@LucySamwel-t9d2 күн бұрын
Chumvi uko vizuri sana kaka 🎉🎉🎉❤❤
@MohammedOman-y4l2 күн бұрын
Jamani simba mweusi ndiyo imeisha au vipi
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Inaendelea
@AlexandreNdayambaje-ck9bv2 күн бұрын
Mbona ii nikali zaidi ya Simba mweusi ii nimeipend sn😂😂😂
@ValentinaPeter-z3n2 күн бұрын
Chapu nimeinyaka 🎉🎉
@jamespetro30142 күн бұрын
Sema chumvi movi zako zinazingua uchawi wa kupotea sikuhizi haupo bwana ebu onesha uhalisia kidogo siyo kuyayuka yayuka tu utt huo
@LettyLussi2 күн бұрын
😂😂😂
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Ebu Nipe mfano wauchawi ulionao wewe
@LettyLussi2 күн бұрын
@@chumvinyingigang 🤣🤣🤣
@aminakipande56452 күн бұрын
@@chumvinyingigang😂😂😂
@fatumaselemani38072 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤mungu awajalie sana washilika ❤❤❤mbona autumi linki jamani
@negoboy0022 күн бұрын
🎉🎉❤❤😅usiseme is the best movie😂😂kizungu is the bestoo😅
@RizikiZiki2 күн бұрын
Usiseme😅Cumvinyingi vipi kuusu Simba mweusi ebu nijibu basi
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Inaendelea tar 5 kwenye acount yetu ya chumvinyingi tv
@SaidyBotea2 күн бұрын
leo wakwanza nipeni like zangu
@saida6330Күн бұрын
Kusema ukweli nyangemba iwachoka huko kuinama
@HalimaMwamnyasa2 күн бұрын
Bi kauye ongera sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@MisangaNassoro2 күн бұрын
Nimekuwa wa 317 nime like🎉🎉🎉🎉 usiseme ❤❤❤❤❤
@dalalimwalimufurnitures2 күн бұрын
Chumvi umekuja na moto sana, safi kabisaaaaa kama na wewe unakubali hizi kazi gonga like
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Asant
@NelsonbernabeInàcio2 күн бұрын
🇲🇿 so primero
@FurahaKulapha2 күн бұрын
Nyangemba uzee unauweza hatari 🎉🎉🎉
@chumvinyingigang2 күн бұрын
🎉🎉
@damesabundiko4066Күн бұрын
😂😂😂
@KAMANDATV252 күн бұрын
Kaxi nzuri sana. Pia katazameni SINGLE MOTHER Ep4 out now..
@AbiwaqsExpensiveboy2 күн бұрын
Respect kwa Bi Nyangemba,anajuwa kuigiza mpaka bac
@RukiyaAbdillahi2 күн бұрын
Nimewahi
@JemaNkoba2 күн бұрын
Hili goma fire linanoga mno ila chumvinyingi nimemisi uwepo wa kibisa the sun
@AllyMilunda2 күн бұрын
Mimi napenda sna kazi kama hizi zakutisha mzuri sna upo vizuri kaka kazi kazi
@MoukhalamiSeiph2 күн бұрын
yuko vizur sana namkubali
@SalimIbrahim-z1p2 күн бұрын
Brother chumvinyng mbn simb mweusi hutoi vp
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Tar 5
@AshaLazaro-u9m2 күн бұрын
Much 😘 love home boy ❤
@SalomeMnzava2 күн бұрын
Hongera San chumvi nyingin,nimezikubali sana kazi zako , your the best mwaaaaaaaaaa 🎉🎉🎉
MOZES mmemuuza kwa starTv maana nimemuona kwa wikiend movi yakuitwa penzi la yatima na huku simuoni😢
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Ndio
@JohnFarao-h5k2 күн бұрын
@chumvinyingigang Haya sawa, nashukuru kwa kujua hivyo. endelea kutupa vitu poa kama hivi.
@PatrickSimetikapolemba2 күн бұрын
Kazi muzuri sana natililia toka Congo 🇨🇩🇨🇩
@PrinceemanuelBusungu2 күн бұрын
Chumvi hivi simba mweusi ndo imeisha au😂😂😂
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Inaendelea tr 5 chumvinyingi tv
@PrinceemanuelBusungu2 күн бұрын
@chumvinyingigang maana nimeona kama mmetuacha njiani mzee 🤣🤣
@SwabraHabibuOmar2 күн бұрын
🎉🎉🎉
@AliAbassi-k9j2 күн бұрын
Mr chumvi kazi nzuri sana but change creativity izi zenye uchawi ndani yake zimekuwa nyingi toa ambayo haina mambo ya kishirikina ndani yake Big up sana unafanya kazi nzuri
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Sawa boss wangu
@RamadhaniNgokoro2 күн бұрын
Bomba iyoo💪💪💪
@UpendoRamadhani-d5j2 күн бұрын
Move ni nzur sana ila tunaomba muendelezo wa simba mweusi
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Tar 5
@Lameck-q6i2 күн бұрын
Nakuerewasana chumvinyingi🎉🎉🎉🎉
@aminaadam49472 күн бұрын
Mashalh.mpo.vizuri.🔥🔥🔥🔥
@YohanaMakwisa3 сағат бұрын
Nazipenda xana kz nzenu chuvinyingi ging
@SimbasportsClub-l1q2 күн бұрын
Usiseme
@RhodaJaphet2 күн бұрын
Kaka chumvi nyingi, naomba nafasi na mim jamani niwe mmoja wa kundi lako please
@UmmiRamadhan2 күн бұрын
❤❤❤❤ good job
@danta77182 күн бұрын
Simba mweusi mbona imegota bro hutoi
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Tar tano kaka
@KlementinaNgatunga2 күн бұрын
Simba mweusi vip
@MajorZimba-mg4ci2 күн бұрын
Zambian here to tz
@ChomarJúniorChomarjuniorchomar2 күн бұрын
Malta mandar com todas força 😊😊😊🎉🎉
@RidhiwanIbrahim-wj6nsКүн бұрын
Bibi Anavyofanya usoni Ananichekesha sana Yaan Nafurah mno dah
@MiriamKufigwa2 күн бұрын
pamoja❤🎉❤❤
@khalifahmartin3725Күн бұрын
Aki wapi like ya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 chumvinyingi nakukubali San
@SaidyIbrahim-f4h2 күн бұрын
Simba mweusi ndo imeisha sielewi
@chumvinyingigang2 күн бұрын
Inaendelea tr tano
@Bahati-wu4bs2 күн бұрын
Yan kosofa anavofanya mdomo wke mm hoi😅
@aminakipande56452 күн бұрын
Chumvi chendu yuko wapi jamani
@AlexandreNdayambaje-ck9bv2 күн бұрын
Kuanzia nimujue Pashambe ndomala yakwanz namuona anakubali kutibiwa 😂😂😂
@Fazaldin-l9p2 күн бұрын
Cool man 😂😂
@ezekielagostino90082 күн бұрын
Sema uyu chalii white hans hajavaa uhusika wa kijijini kabisa leo kichenchede wa kuwa mpole😂
@GwamakaSamson-pg6bl2 күн бұрын
Umezingua Simba mweusi vp
@MichaelShadrack-h7q15 сағат бұрын
Ndugu naiyomba iyo nyimbaomapenzi nishuka
@gayanestory43572 күн бұрын
❤❤❤
@AnifaAhmadi2 күн бұрын
Nyangemba hii movie ikiisha mgongo wote utakua unakuuma Mama 😅😅
@Josetz-d5l2 күн бұрын
😂😂😂
@roudhamahmoud7637 сағат бұрын
Hans mzee wa mapenzi
@MoukhalamiSeiph2 күн бұрын
Chimv nyingi ni mkali wa bongo movies akuna zaid yake