Рет қаралды 157
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya wakumbushwa kujitokeza kutoa Ushahidi pale wanapotakiwa kufanya hivyo kwani Mashitaka ni mchakato hivyo kutoa ushahidi ni sehemu ya Mchakato huo
Gharama ya mwananchi kwenda kutoa ushahidi popote kwasasa inarudishwa siku hiyo hiyo