Рет қаралды 141
Chunya Dc Online
Vikundi vya wanawake , Vijana na watu wenyeulemavu Halmashauri ya Wilaya ya Chunya vimefundwa kuhusu mambo mbalimbali kuhusu mkopo wa asilimia 10 unaotolewa na Halmashauri kupitia mapato yake ya ndani.