USIYEMPENDA KAJA | Kp & Zebuu

  Рет қаралды 236,562

Zebuu

Zebuu

Күн бұрын

#bintinyoka #mapoz #diamondplatnumz #kpnazebuu #clam #kicheche

Пікірлер: 349
@user-ec7us8gx2c
@user-ec7us8gx2c 3 ай бұрын
Nawapenda saana kip. Na zebu. Hadi. Nikiwa nafatiria mv zenu. Najikuta uck nimewaota. Nawapenda saana
@madymag6926
@madymag6926 7 ай бұрын
Waaaah mzee likoma na dibozi mnanifurahisha sana Nawapenda nyote❤❤❤❤
@MzeeBabaProduction-qg5dx
@MzeeBabaProduction-qg5dx 6 ай бұрын
Mzee likoma unaweza sana kp nakukubali Sana aidiya zako ni mafuvunzo kwangu
@nurusaid4698
@nurusaid4698 7 ай бұрын
Kp Kwani Anaetengeza Watto Ni Mungu Au Ni Mbebaji Mimba
@Baudouin-Tv
@Baudouin-Tv 7 ай бұрын
Wa kwanza leo ❤❤❤
@user-flavian
@user-flavian 7 ай бұрын
Nawapenda sana ndugu zanguni wote❤❤
@AishaMpole-ps9rm
@AishaMpole-ps9rm 7 ай бұрын
Jamani kp na zebuu mtoto wangu wa miaka tatu anawapenda sana
@alfredtebeka2497
@alfredtebeka2497 7 ай бұрын
Jaman nime miss sana last card na mzee wa giza❤, zaidi sana mzee wa giza❤❤
@Joycekwolola7
@Joycekwolola7 7 ай бұрын
Samahanini comment zangu ziko nyingi kweli naomben like zenu nimecheka baada ya kusikia watoto mapacha watatu wote wa kike nimecheka kwa sauti kiasi kwamba hata watu nilikuwa nao walinishangaa na kuniangalia kwa ajabu haaa. Kumbe wewe ndio unambegu za watoto wa kike nimegundua chekooo wapiiiii😁😁😂🤗🤗😁😂Asante Mungu
@ThriveRukoma
@ThriveRukoma 2 ай бұрын
Nawapenda sana enderea kutupa vitamu
@shadyayussuf341
@shadyayussuf341 7 ай бұрын
wakwanz leo nipen like vipenz kam inamkubali kp ja zebuu
@SarahHusen-vi2iy
@SarahHusen-vi2iy 6 ай бұрын
Jiluma.salawa.nimewapenda.sana.tena.zaid.ya.sana.t
@vivianmusic.
@vivianmusic. 6 ай бұрын
Inapendeza kwakweri
@BarakaWabaya
@BarakaWabaya 3 ай бұрын
Manbo zebuu❤❤ ❤
@rozlyscola-cy8qi
@rozlyscola-cy8qi 7 ай бұрын
wahoooh❤❤
@user-uw3fw9rr2n
@user-uw3fw9rr2n 7 ай бұрын
Wasikia apoo kwa sheilaaa kabobea kweli nawapenda sana kp na zebu
@user-sd6gi1nb8w
@user-sd6gi1nb8w 7 ай бұрын
Zebuu na kp mwanivunja mbavu jamen😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nawapenda tu bure❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 7 ай бұрын
😂😂😂Mke wa piliii wa nn lakn❤❤😂😂😂😂
@user-rl4cf6tc5n
@user-rl4cf6tc5n 7 ай бұрын
yaan nikichek muvi zenu huwa naona cku yngu inaenda vzr jaman mungu awajalie mzidi kubuni vitu vikubw zaid big up sana
@user-sz7iu5co5p
@user-sz7iu5co5p 6 ай бұрын
❤❤
@user-ms3rz7uh9m
@user-ms3rz7uh9m 7 ай бұрын
zebu nice xana nimegupenda pamoja na hao wenzako hechima yenu
@BlacketSmith
@BlacketSmith 10 күн бұрын
❤❤❤❤dibozi na likoma nawapenda 🎉🎉🎉 munanicekesha sana
@MaryNzasu-tl8ch
@MaryNzasu-tl8ch 7 ай бұрын
Ugomvi niwanini mtoto ujaliwa na mungu siyo mapezi yko ,usi mtimuwe zebu bure
@ZawadiZakayo-hy8jn
@ZawadiZakayo-hy8jn 3 ай бұрын
Kp na zebuu hongeren aisee kazi nzuri
@JacksonLiman-vc1ml
@JacksonLiman-vc1ml 7 ай бұрын
❤❤❤❤ nawapenda xn wanangu kwa kazi nzuri
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 7 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@Meryda623
@Meryda623 7 ай бұрын
Tamu sana 🎉🎉🎉🎉
@deviskikoti2259
@deviskikoti2259 7 ай бұрын
Much love bro tunaomba muendelezo wa last card
@user-yv8zw5lm9g
@user-yv8zw5lm9g 7 ай бұрын
Mpaji ni mungu pk 😂😂😂😂😂😂😂😂zebuu cheka tena mpenzi 😂😂
@user-wt9cx3hb1i
@user-wt9cx3hb1i 6 ай бұрын
Nawapenda sna from Kenya
@MancaGilbert-os9kx
@MancaGilbert-os9kx 7 ай бұрын
Mbavu zangu jomonn uwih😂😂😂😂😂
@rozlyscola-cy8qi
@rozlyscola-cy8qi 7 ай бұрын
mzee likoma na diboss mnanifuraishaga san kweli 😂😂😂
@NuruChanga-rj3ym
@NuruChanga-rj3ym 3 ай бұрын
😅😅😅😅
@jumasoud3617
@jumasoud3617 2 ай бұрын
@@NuruChanga-rj3ym .s 8si
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 7 ай бұрын
I like this movie za kp na zebuu. Kwasababu zinafurahisha na kuchangamsha😂😂kp malipo ni apa apaduniani adhere ni hesabu.halafu kazi ya kumeesha ni yako ww😊😊😂😂😂❤❤❤❤nice 👌
@DagascoDany8-dx8bg
@DagascoDany8-dx8bg 7 ай бұрын
Hapo kwenye ha-trick ndo pameniua kweli mzee Likoma bwana maajabu mbavu zangu njoo ulipe😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-sp5zj8nk9i
@user-sp5zj8nk9i 6 ай бұрын
😂😂😂yah ndo kp aache tamaa watching from 🇰🇪 zebuu mama cheka
@RehemaMoshi-nj7gu
@RehemaMoshi-nj7gu 3 ай бұрын
Jamani mnanikosha roho nawapenda bure ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@patrickmvera6487
@patrickmvera6487 7 ай бұрын
Napapenda hapo mwisho❤❤
@sadcome3213mapenzi
@sadcome3213mapenzi 7 ай бұрын
Mtoto nmtoto bwana acha ubaguzi na atoaye n mungu alaaa kula chuma iko😂😂
@user-dn3sn2fk9v
@user-dn3sn2fk9v Ай бұрын
Na babu akaandae vijola vya wajukuu sita😂😂😂😂😂😂
@Felista_tz
@Felista_tz 7 ай бұрын
Mm pia nmewah jmn nipen like
@rozlyscola-cy8qi
@rozlyscola-cy8qi 7 ай бұрын
duuuh akuna anayependa kushea bwana 😅
@MitiMitiComedian
@MitiMitiComedian 3 ай бұрын
❤❤
@MitiMitiComedian
@MitiMitiComedian 3 ай бұрын
❤❤
@usterbae
@usterbae 7 ай бұрын
Good job guys I really appreciated your efforts much love from Kenya ❤❤
@Zebuu_tz
@Zebuu_tz 7 ай бұрын
Our pleasure 😀
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu 7 ай бұрын
​@@Zebuu_tzWaaah wapendanao hao wanaosha vyombo pa 1,,Zebuu usimwache Kp anakupenda mnooo🎉🎉👌👌❤
@user-ho3hi4lh1b
@user-ho3hi4lh1b 7 ай бұрын
Kwel🎉❤
@yunisbahati-wv9ne
@yunisbahati-wv9ne 7 ай бұрын
Nawapenda sana
@AnchaMaulide
@AnchaMaulide 7 ай бұрын
Nawapenda sana kp na zebu! Mozambique 🇲🇿
@juliettv6626
@juliettv6626 7 ай бұрын
Kp mjinga sana😂😂 mbegu za watoto si zinatoka kwako wewe ndo una mpa mtoto wa watu watoto wakike yeye anapokeya tu hapo ndo naonaka ujinga wa wanaume❤❤❤❤
@user-yi6ub2uq2i
@user-yi6ub2uq2i 7 ай бұрын
Wahoooh ❤❤❤ tamu xana jameni nawapenda xna guys
@user-is4fm6rv3w
@user-is4fm6rv3w 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 asante mungu mungu sio athumani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@liylahahmed829
@liylahahmed829 7 ай бұрын
Jmn mmh😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@darlingmumy4928
@darlingmumy4928 7 ай бұрын
Hatareeee😁😁😁😁😁😁
@JamilaMtangi
@JamilaMtangi 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😅, mzee likoma kiboko yao, kiukwel wapo vzr wote,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-kh2oe2bn8n
@user-kh2oe2bn8n 7 ай бұрын
😂😂😂😂hii kali, kwani mnasahau Mungu ndo mpaji😂😂
@FredrickOuko-vp6io
@FredrickOuko-vp6io 7 ай бұрын
Zebuu, tafadhali mfanyie mwenzako huduma wa kwanza, amepoteza fahamu.....haki nawapenda😅😅
@NicholasStephanoHenry-so9tv
@NicholasStephanoHenry-so9tv 7 ай бұрын
Nawa Penda Saana Jeshi langu
@user-bv8mx6pf3r
@user-bv8mx6pf3r 7 ай бұрын
Zebuu ety anafungua team gani Iyo bn bt memnimbamba guys much love
@juliahmwaka7184
@juliahmwaka7184 7 ай бұрын
😂😂😂😂kp bado unataka kuongeza mke wa tatu au ndio imeisha hvo? Kula chuma hicho. Much love ❤ from the pride of Africa 🌍
@AlvinSakwa
@AlvinSakwa 7 ай бұрын
😂😂😂😂🎉❤ love from Kenya ❤️🎉😅
@nancyshikuku-vs9le
@nancyshikuku-vs9le 7 ай бұрын
Good job guys nawapenda sana.
@MancaGilbert-os9kx
@MancaGilbert-os9kx 7 ай бұрын
Yaan nyie Mie niliweka bando na Weka kwasabb yenu jmn ❤❤❤❤
@protusmakokha1028
@protusmakokha1028 7 ай бұрын
🎉🎉🎉😂😂😂😂❤hongeraa sana team kp n zebu
@IanPaul-j4m
@IanPaul-j4m 23 күн бұрын
Kp bro nakukubali sanaa na Dada zebuu nawapendeni nyote
@user-ir9xj5yt5p
@user-ir9xj5yt5p 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kp n bbke zibozi 😂😂😂😂❤❤❤❤nawapenda bure
@zainzain1163
@zainzain1163 7 ай бұрын
Haaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@AysahAysah-o1h
@AysahAysah-o1h 13 күн бұрын
Hongereni Sana kW kazi nzuri inaelimisha jamii maana Allah ndie muamuzi n mwaname ni ndie mwenye manii mwanamke mpokeaji2 jamani tuelimikeni
@user-zg8lr7ur5k
@user-zg8lr7ur5k 7 ай бұрын
Likoma pokea maua yako❤❤❤❤❤❤❤ im from congo
@user-wt9cx3hb1i
@user-wt9cx3hb1i 6 ай бұрын
Mzèe likoni eeee wafuraisha
@lucypaulo9238
@lucypaulo9238 7 ай бұрын
Leo wa Kwanza naombeni like zenu
@dollar105
@dollar105 7 ай бұрын
😂😂😂mzee likoma🎉🎉❤nampendaga😅😢🎉🎉🎉stoppers amebobea
@IsaacmakokhaOfficial
@IsaacmakokhaOfficial 6 ай бұрын
Kazi iko.sawa,songa mbele
@jailosibrahim88
@jailosibrahim88 7 ай бұрын
Katika nayoikubal inajua nn inafanya na haizungumziwi sana basi ni timu ya Kp na Zebuu hongereni sana
@malichanda3146
@malichanda3146 7 ай бұрын
Hahaha 😂😂😂 nawapenda sana ❤❤
@Kelvinkevohshow
@Kelvinkevohshow 7 ай бұрын
Zangu likes kutoka 🇰🇪
@user-bt1vl8nu5n
@user-bt1vl8nu5n 7 ай бұрын
We kp wanawake wanatoaga x tu swala la kuproduce mtoto ni wew baba
@millicentgitaari9965
@millicentgitaari9965 7 ай бұрын
Hongera sana KP kama vile Zebuu ameqwambia
@PatrickEliasi-bd4zv
@PatrickEliasi-bd4zv 12 сағат бұрын
Hongereni Sana tunapenda kazi zenu, Ila nampenda Sana nora
@Joycekwolola7
@Joycekwolola7 7 ай бұрын
Wifi wifi wifi acha domo wifi Dunia mduara wifi shay shay
@elizabethcatherine-jm8fr
@elizabethcatherine-jm8fr 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂nmejikuta nmecheka kwa nguvu akih much love from kenya ❤❤🎉
@user-sp1qi7xi9c
@user-sp1qi7xi9c 7 ай бұрын
Nawapenda xana team ya netball mikono juu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-jj4id8vq2d
@user-jj4id8vq2d 7 ай бұрын
Tulisubiri mtoto wa dume😂😂😂😂wheee kazi njuri team kp🎉🎉
@user-hp7fp5hz4h
@user-hp7fp5hz4h 7 ай бұрын
Mim wa kwanza leo nipenilek zangu
@user-bq1wl6wh2o
@user-bq1wl6wh2o 7 ай бұрын
Waaaaaoooohh wakwanza mie jamani nigongeeni like pls ❤❤❤
@lornahmulitani2798
@lornahmulitani2798 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂wanaume mnatamaa sana kp kula chuma icho😅
@user-xs2yr3zd1j
@user-xs2yr3zd1j 7 ай бұрын
😅😂cheka mwayaaa zebuuu kp limemkwamaaa😂😂😂❤❤
@Aysha-gn8vh
@Aysha-gn8vh 7 ай бұрын
Iendelee jamani nimeipenda 😂😂😂😂
@user-vl3mo6tk7z
@user-vl3mo6tk7z 5 ай бұрын
Keip umepata demu mrembo sana au unipe Mimi
@KhairatAli-hx6xi
@KhairatAli-hx6xi 7 ай бұрын
Nampenda kp 🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yako hayo
@eligiambigi4884
@eligiambigi4884 7 ай бұрын
Alie kwambia ukiongeza mke uta pata mtoto wa kiume nawa penda jamanii
@user-tu5pu9sf4x
@user-tu5pu9sf4x 7 ай бұрын
Mmejuwa kunifurahisha kweli mungu awabariki
@SarahWanyonyi-dz6hq
@SarahWanyonyi-dz6hq 7 ай бұрын
Jmn nawapenda bure😂😂😂😂😂
@user-js1lj3ob4t
@user-js1lj3ob4t 7 ай бұрын
❤❤😂😅😅😅😅Huuuw mbavu zangu.jamani
@user-xv4tg2no5b
@user-xv4tg2no5b 7 ай бұрын
😂😂😂 yani mueye munajuw kutufurahish kbx
@darlingmumy4928
@darlingmumy4928 7 ай бұрын
WiFi kapatikana ni mjubaaaaa
@Sapnaahabdallah
@Sapnaahabdallah 7 ай бұрын
Mzèe WA Giza Jaman mbona mmechelewesha
@sadiasalmasadiasalma412
@sadiasalmasadiasalma412 7 ай бұрын
Zebuu wew ninataka NEXT 2 please ❤❤❤ China
@AnnaNgwatu-lr9sx
@AnnaNgwatu-lr9sx 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mmenitengenezea siku jamani,much love from Kenya
@user-wn3nj5np5n
@user-wn3nj5np5n 7 ай бұрын
Sheishei ww😂😂😂
@rozlyscola-cy8qi
@rozlyscola-cy8qi 7 ай бұрын
mtu upewa anacho kistali sio unacho kitaka kep😅
@verahagwona1919
@verahagwona1919 6 ай бұрын
Kula chuma hichoooo 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Yaani ya Mungu hayabishaniwi. Likes zangu please
@user-qh2ij3kj8s
@user-qh2ij3kj8s 7 ай бұрын
Mzee likoma maajabu wanivunja mbavu 😂😂😂
@Vincentmwangi-co8hr
@Vincentmwangi-co8hr 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@aishalovesesibe
@aishalovesesibe 3 ай бұрын
Muze Rikoma anasema kweri kbs❤❤❤
@user-eb3zt3wc4b
@user-eb3zt3wc4b 7 ай бұрын
Mko vzri guys more love team kp
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂msafisheni uwanja muhuni wa manzese anataka kuzimia
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 7 ай бұрын
Asali hii🎉🎉🎉🎉
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 7 ай бұрын
Ngoja tu ni cheke leo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fatmahmuhamad7301
@fatmahmuhamad7301 7 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka mie😂😂😂😂😂😂😂😂❤
@khadijamoss293
@khadijamoss293 7 ай бұрын
Ongera sana munanichekesha
@user-dm6dr4sn2n
@user-dm6dr4sn2n 7 ай бұрын
Hii imeenda watching from Kenya
SITAMSAHAU EX WANGU | Kp Na Zebuu
24:39
Zebuu
Рет қаралды 702 М.
KIMEUMANA:(MZEE LIKOMA,DIBOZI,SHEILA,KP &ZEBUU)
9:55
LIKOMA
Рет қаралды 291 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,2 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
CHOKOCHOKO | Kp Na Zebuu
18:14
Zebuu
Рет қаралды 238 М.
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
Kp & Zebuu _ UTAJUA HUJUI
18:30
Zebuu
Рет қаралды 214 М.
MZEE LIKOMA - VIDEO MPYA
9:05
dayo funny comedy
Рет қаралды 103 М.
AMEYABANANGA | Kp Na Zebuu.
18:23
Zebuu
Рет қаралды 185 М.
EXCLUSIVE; KP NA ZEBUU WALIVYO KUTANA HADI UCHUMBA
49:23
Mbengo Tv
Рет қаралды 361 М.
NDARO NA STEVE MWEUSI WAROHO UTACHEKA
13:28
Ndaro Tz
Рет қаралды 526 М.
MAGIC SCHOOL | ep 01 | FULL EPISODE
28:02
Dubu Tz
Рет қаралды 172 М.
Kp na Zebuu_ Ajali kazini
8:53
kp wa Aquino
Рет қаралды 89 М.
WAPANGAJI WA STEVE NA NDARO
14:01
Ndaro Tz
Рет қаралды 371 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,2 МЛН