Usiyoyajua kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar-Waathirika wafunguka

  Рет қаралды 3,878

Zanzibar Kamili TV

Zanzibar Kamili TV

Күн бұрын

Katika njadala huu uliofanyika siku ya kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wazanzibari walijadili uhalali wa mapinduzi hayo. Miongoni mwa walioalikwa kutoa mada ni pamoja na Tundu Lissu, mwanasiasa na mwanasharia maarufu nchini Tanzania pamoja na Mohamed Said, mtunzi wa vitabu na mwanahistoria maarufu nchini humo. Mwingine ni Wakili Awadh Said wa Zanzibar. Na katika video hii tunakuletea uchambuzi wa Profesa Ibrahim Noor, Sheikh Ibrahim Hussein, Zitto Kabwe, Bi Aisha na wengine kuhusu dhana nzima ya mapinduzi. Je, ni kweli yalilenga kumtoa mwarabu Zanzibar? Wasikilize ujue mengi ambayo hayasemwi kuhusu mapinduzi ya Zanzibar.

Пікірлер: 8
@rastafare878
@rastafare878 2 жыл бұрын
We love our Zanzibar , Mwenyezimungu turejeshee Zanzibar yetu katika uasilia wake AMIN
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Kila kitu kinamwisho na kwa Allah hakuna kubwa kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah
@2002-h6c
@2002-h6c 2 жыл бұрын
Kwani Allah anawahukumu Waafrika tu waliojikomboa kutoka Usultani wa kiarabu au hata Waarabu waliokuwa wanawanyanyasa watu weusi kwenye ardhi yao ya asili ?
@mangofish9079
@mangofish9079 2 жыл бұрын
Mpuuzi leta huo ushahidi waafrika kunyanyaswa
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 2 жыл бұрын
Kwani zanzibar ilitawaliwa na waatabu mbona uhuru ilipewa na waigereza haikupewa na waarabu?
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
Ndugu mussa nasor ndugu yangu nimeziona comment zako nyingi sanaa ukiwachukia waraabu,na kuunga mkono mauaji yakiyofanyika wakati wa mapinduzi,na unawapa tuhuma waraabu kuwanyanyasa watu weusi wapi umeona nchi za kiarabu zikifanya ubaguzi was wazi wazi kama vile marekani ilivyokuwa inaua watu weusi hadharani,kama vile ulaya tukiona live hats kwenye mipira watu weusi wakizomewa na kupewa majina mabaya.diniani katika nchi zinazojitahidi na zimeepukika na ubaguzi ni nchi za kiarabu kwasababu wanajitahidi kuufuata mafundisho ya dini yao ya kiislamu kwamba sisi wote ni viumbe wa ALLAH.
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
Ndugu yangu mussa Nasor nimeziona comment zako nyingi ukiwashambulia waarabu,umejawa na chuki kubwa sanaa zidi ya waarabu Mimi ushauri wangu wachana na kufuata dini iliyoshuka kwa waarabu utakuwa umejitendea haki chuki yako,achana na hiyo dini kwasababu mtume wake mwarabu kashushiwa kitabu kitakatifu kwa lugha ya kiarabu sasa wewe wafate walioshushiwa dini watu wengine achana na waarabu.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 634 М.
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Funny superhero siblings
Рет қаралды 11 МЛН
Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume "afunguka"
8:23
Life coaches trolling former members - Trolled podcast, BBC World Service
18:37
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 238 М.
Can there be a peaceful solution in the Middle East?
20:34
Sky News
Рет қаралды 2,8 М.
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 66 М.
ROBOT AZUA TAHARUKI MJI MKONGWE ZANZIBAR
7:47
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 17 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34