Sheikh kishki unanifanya nibugujike na machozi sheikh narejea Tena na Tena masheikh wote wangekuwa kama wewe nchi yetu ingekuwa na nuru kubwa sana sheikh hongera sana Allah akulipe pepo iwe makaazi yako siku ya kiama sheikh nakupenda sana❤❤❤❤❤
@MUKANDOLIAISHA11 ай бұрын
Sheikh kishki Allah akupe heri ya dunia na Ahkhera napenda Sana kufuata mawaidha yako yananistiri .
@omarmwabege11 ай бұрын
Aaamin
@zulfahussein678411 ай бұрын
Allahummaa Aaaamiiin Yaa Raab
@jaymwinyi695711 ай бұрын
Waallahi ht mm nimelia sana na nimefurahib sanaa Allah ajaalie vizazi vyetu viwe bora zaidi
@zubedadello911711 ай бұрын
@@jaymwinyi6957 amiin
@UmmuhabibHabib-yb2es11 ай бұрын
Sheikh kishki kama ulivyomfurahisha mtoto Allah akufurahishe na wewezaidi akuhifadhi na akufanyie sahli mambo yako
@bintsalimalbimany28711 ай бұрын
Mashallah mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Wazaz tunamchango mkubwa kwa watoto wetu mtoto umleavyo ndivyo akuwavo😢Mashallah Abdulrahman Allah azidi kukuongoza Mwanang Akuhifadhi na kila shar yaarab Na wazaz wako Allah awabarik🤲🤲🤲😭Kwajuhud wanazozifanya leo utaona Mtoto mdogo Anarikodiwa anafuatiza Nyimbo Innalillah wainnailaih rajiun na ukicomment Jaman jaman mtoto munampoteza utatukanwa Alhamdulillah yarab atuongoze waja wake Shukran sheikh kishk Jazakallah kher😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲
@fabssaleh727311 ай бұрын
MAA SHAA ALLAH
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@bvff869111 ай бұрын
Masha Allah mpaka chozi lafuraha limetoka Allah akuhifadhi shekhe wetu na Abdully amjalie awe kama wewe❤❤❤
@aminamohamed995511 ай бұрын
Hakika mm pia machoz yanitoka
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill na watoto wetu wote😭😭
@hamzamwaya46311 ай бұрын
Mama mdogo nimekupenda sana kwa namna ulivyoitikia amri ya Allah ya kujisitiri kisheria. Allah akuhifadhi
@eshasalim549611 ай бұрын
Allahumma Amiin
@oman771011 ай бұрын
Allahumma amiiin Yarabb
@lifeinmiddleeast817911 ай бұрын
Amin Ila wote wamesjistir
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@samahakihange642111 ай бұрын
Mashallah mpaka nimeria wallah mwenyezimungu na sisi atujaalie vizazi vyema inshallah
@shifaaal-baity45034 ай бұрын
Nimelia
@RehemaWere11 ай бұрын
Sheikh insha Allah nikirudi kutoka gulf nitakualika kwetu kenya, na insha Allah nikkah yangu ni wewe utanifunganisha kwa uwezo wa Allah ❤ Nakupenda kwa ajili ya Allah 🥰
@habybmaruwan99911 ай бұрын
Insha Allah ❤
@artisthusnatalal309911 ай бұрын
Mabrook Rehema💞
@AlaloMkenya10 ай бұрын
In shaa Allah
@user-fs7xc2bb5d11 ай бұрын
MashaAllah Mwenyeez Mungu akupe umri mrefu shekh Kishk upendo wako nauna watoto wengi na watu mbalimbali wanatamani kuonana na wewe hata kama utachelewa lazima uonane nao Mwenyeez Mungu akubari sana
@eshasalim549611 ай бұрын
Allahumma Amiin
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@NizigimanaFatuma3 ай бұрын
Hongera sanaaaa shekh kishki allah akuhifadhi kwajuhudi zako unajitahidi saaana kupambaniya dini ya allah nimefray sana nimetokwa na macozi yafuraha kabisa
@mwanakombokalamu700911 ай бұрын
MashAllah, MashAllah, MashAllah Allah awalinde na hasad wazazi Wake na mtoto AbdulRahman na amuongoze mtoto zaidi
@zainabmaulidi984611 ай бұрын
MashaAllah tabarakaAllah jmn nimefurahi sana sheikh🥰😰😰sheikh wetu we kipenzi cha watu ALLAH akujalie umri mref🤲🤲
@eshasalim549611 ай бұрын
Allahumma Amiin
@mwanaaminahusseinsuleiman698011 ай бұрын
Amiin yarabbal Alamiin
@enjiidasnan285111 ай бұрын
Mashallah sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah hata mimi niliwahi kupata mwaliko wako na ulitupokea vizuri sana ofisini kwako Allah azidi kukuhifadhi sheikh wetu unajitoa sana ktk dini.
@myunaniniahmad646311 ай бұрын
Mashaa الله , yani angekuwa mtt wangu ningempa kishki kwa moyo wote kwa kujua yuko mikono salama na yenye faida duniani na akhera, yani hiyo ni chansi, plz wazazi msipoteze hii nafasi.
@QusayQusay-ci4np4 ай бұрын
kabisa
@bimkubwaali595111 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh NURDIN KISHKI Wllah Allah atakulipa pepo ya darja ya juu kwa uwezo wake
@omargargaar561111 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah akuhifadhi sheikh wg Kishki pmoja na fmily yko Allah amuhifadhi kizazi chtu ❤❤❤
@user-je7qd5po5q11 ай бұрын
Maasha Allah, Allah amuhifadhi mtoto na amzidishie mahabbah huyu sheikh, Allah ampe umri sheikh wetu❤
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin ammin
@lifeinmiddleeast817911 ай бұрын
😢😢 mashallah shekh wetu tunakufatilia kutoka omani Allah akuhifadhi na waumin wote
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@user-vg6gp3bz1f10 ай бұрын
Aaaamina ya Rabby 🤲 🤲 🤲
@faridahalwaily8511 ай бұрын
Alhamdulillaah Alhamdulillaah Allaah Azidii kukupa imani na kuiitikiyaa muitikooo in sha Allaah Allaah Akuhefadhi nakukuzidishiyaaa elimuuh ya kuwanufaishaaa waislamuh woteee…❤nifurahaaa kwa kulaaa aliekuonaaa Allaah Akupe umriey mwemaa na kukuhefadhi na kukuepusha na mahasidi n na maovu ya duniyaaa yarrrraaaab
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin 😭😭
@Mcbel33111 ай бұрын
Maashaallah, Allah akulipe kila khery sheikh wetu umetuonyesha moja ktk vitu vikubwa ktk dini nayo in Tabia njema Kwa kuweza kutekeleza ahadi Yako ,uunga udugu , kuonyesha huruma na kuimarisha mapenzi kwa kutoa zawadi Kila jambo linamazingatia maashaallah,Allah aitakase nafsi ubaki kufanya kwaajili ya kutafuta radhi za Allah
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill
@rehefehe889011 ай бұрын
Mashaallah shekh kishki kwa upendo wako, mashaallah mungu akulipe kila lenye kher
@bahatilaizer870611 ай бұрын
Sheirk Kishki Mwenyezi Mungu ☝️ Subhaana wa taa'l Akuweke miaka mingi upo na Utu wa mtume Muhammad tabaraka Allah 🤲 Sheirk Kishki
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@HusseinHassan-sn8yq11 ай бұрын
Chozi la furaha lanidondokq😢😢😢😢 Shekh kishki MashaAllah, Allah akuhifadh na akuandalie nyumba nzuri kesho Akhera❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@user-np7uu5ve3l11 ай бұрын
Mashaallah mashallah wallah nimefurahisana tena sana kwakweli unamoyo waukarimu hatamm binafs kunakipindi nilitamani nikutafte nikukabidhi mtoto wangu ajekusomea kwako wallah nilitamani sana ila nikavunjika moyo nikaona itakua vigumu mana sikua nakazi alaf mwanangu alikua nahiyomyaka pia mitano bas nikasema sitaweza garama zakumleta tanzania nakumhudumia kimadhrasa iliniuma pekeangu ndani yanafsi yangu had mwisho nikasema huenda allah hajapanga iwehivyo kipindihicho nilimuona yulemtoto wamiaka9 aliekua amehifadhi Quran alafu alikua yuwaishi nabibiyake kamavile mwanangu anavyoishi nabibiyake ak nlitaman ajeakae huko had afikie umri wakuoa ndoarudi nyumbani lkn sikufanikiwa ila alhamdulillah namshukuru mungu nimtoto ambae yuwashika sana masomo yapandezote mbili na pia nimkarimu hajashika mambo yakidunia alhamdulillah namshukuru allah kwahilo
@zuhurayusuph90111 ай бұрын
Mimi nakushauri umtafute usivunjike moyo, nina imani kupitia hili la abdurahman litakuwa limekipa moyo. Allah akufanyie wepesi ktk hilo ndugu yangu
@user-mn6vh4gq9e11 ай бұрын
Allah amuhifadhi mtoto wetu nasisi tuliokuwa hatujapata watoto atupewatoto wema amiin
@mariamnjama396311 ай бұрын
Ameen
@mariamnjama396311 ай бұрын
Ameen
@artisthusnatalal309911 ай бұрын
Niombee na mimi😢
@SihabaAbdallah-li6dx4 ай бұрын
Aminn
@binjabir10943 ай бұрын
Amiin
@azaniasaidi9311 ай бұрын
Mashaa'Allah Tabaaraka Allah ..... Inapendeza kwa kweli uislam raha❤
@hamzamwaya46311 ай бұрын
Maashaallahu taala, sheikh Allah akulipe kheri na Akuhifadhi
@abdallahsalum935011 ай бұрын
Mwenyez mungu akujalie umri mrefu zaidy inshaAllah endeleea kutufundisha Iman hakika hadi ni Den sheikh Kishk mwenyez mungu akubarik ❤❤
@hussainmasoudsubhannallah378611 ай бұрын
Mashaallah Allah akuhifadhi shekhe wetu umetimiza ahadi
@yussufsaid822311 ай бұрын
Mashallaah Shekh Kishk Allaah akujalie umri mrefu akujalie akupambe kwa afya njema
@qalbi819811 ай бұрын
Wallah sheikh wetu nakupenda saana kwaajili ya Allah kila baya Allah akuepushe naloo❤❤
@SARAHKATAGIRA11 ай бұрын
Alahamdulillah Allah akulipe dunian na akhera shekhe kishk we ni mfano was kuigwa tunajivunia kuwa na shekhe kishki
@myunaniniahmad646311 ай бұрын
Mashaa الله hii ni chansi kubwa sana sana sana, Mashaa الله shekhe kishki الله akuhifadhi hapa duniani na akhera na akupe umri mrefu wenye manufaa.
@sulekhaabdulahi218311 ай бұрын
Even me I loved so much when sheik reading al quruan karim
@AshaJuma-kr3rb11 ай бұрын
Mashaall 🥰🥰 Allah akuzdishie shekhe wetu kishiki mashaall 🥰🥰
@khayraatabdool228611 ай бұрын
الله أكبر ما شاء الله لا قوة إلا بالله العلي العظيم اللهم صل وسلم على نبينا محمد صلى الله عليه وسلم ما شاء الله بارك الله فيك
@tausimpoma34711 ай бұрын
Maa Shaa Allah TabarakAllah..Allah amjaalie afya sheikh wetu,,
@HabonimanaAmina-ht7fv11 ай бұрын
Sheikh kishki nakupenda kwa ajili ya Allah 💖 Allah atukutanishe katk pepo ya fildausi inshaa Allah 🤲🤲
@aminanahimana875911 ай бұрын
Aaamina Aaamina Aaamina ya Rabby 🤲🤲🤲
@bentybenty234311 ай бұрын
Masha ALLAH ❤ ❤. ALLAH akuhifadh sheikh kipenzi cha wengi...🤲🤲🤲
@user-bw7ve8ce3q11 ай бұрын
Mashaallah mwenyezi MUNGU akuzidishie sheikh wetu na Abdul pia ❤❤
@eshasalim549611 ай бұрын
Amiin Ya Rabb
@aminauwimana997611 ай бұрын
Masha'allah tabaraka allah natamani nami nihipate hiyo bahati kuwanangu😊❤
@NM-rq9dr11 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Akulipe mema zaidi sheikh wangu. Barak’Allah feek wa JAZAAK’Allah Khair Hongera kwa mama Abdul, Masha Allah. Mwenyezi Mungu Akuzidishiye Ucamungu mama♥️
@Jafaryahmada11 ай бұрын
ماشآء الله، كان أمر الخير في قلوب الناس جزاكم الله خير الجزاء
@rizikijuma720723 күн бұрын
mashaAllah shekhe kishki Allah akuhifadhi na akulinde na nakupenda bure kwa ajili ya Allah nakuangalia nikiwa kenya
@AshaKamota-wg4oc4 ай бұрын
Mashaallah sheikh nurudini kishki Allah awajaalie maisha marefu
@benjaminkangolo201711 ай бұрын
ALLAH AKBAR so beautiful MashaAllah ❤❤❤❤ ALLAH akulinde na mabala yote yaki Dunia
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin na sote kiujmla na washaotangulia mbele ya haki atujaalie na husnull khatima kbl ll mauti wabaada ll mauti
@bisadaally929811 ай бұрын
Mashaallah shekh kishki allah azidi kukunawirisha kila uamkapo na akulinde na hasadi za walimwengu allah akujaalie uwe ni miongon mwa watu wa peponi amiiiiiin nakupenda kwaajili ya allah na mtume Muhammad s.a.w ❤❤❤❤
@user-pj8ed9kn6g11 ай бұрын
😂😂😂Mashaallah mashaallah Mwenyezi Mungu akuhifadhi sheikh wetu jamani
@fatuma206111 ай бұрын
Mashawaa sheikh kishiki aki Allah akulipe hapa duani na akhera nakupenda kwaajili ya Allah aki sheikh kishiki haubagui mdogo Wala mkubwa mm naomba Dua tu kwako sheikh kishiki Niko saudia
@fatumahussein639910 ай бұрын
Masha Allah!! Kishki online mnanifanya nizidi kuwaoenda. Yaani kadri nnavyo endelea kumuona nasikia Raha. Uki sikia mawaidha Yake uta ona Km ni mtu fulani hivi wa Hali ya juu. Kumbe yuko simpo Tena mcheshi Masha Allah. Hadi nazidi kumpenda kwaajili ya Allah.
@MuemedeMussa11 ай бұрын
kishk nakupenda kwa ajili ya alhah nami nataka nissome chuwo chako
@user-zt3et5kl5m11 ай бұрын
Sijui kwann machozi yanitoka daa!! Mungu akupe maisha marefu shekhe wetuuu😢😢
@sistertrashid248811 ай бұрын
Mashaallah sheik kishki mungu akuhifadhi raha naona mimi jamani sheikh wangu nakupenda kwaajili ya ALLAH
@rawdahhussein840111 ай бұрын
جعل الله في ميزان حسناتك شيخنا ربي يحفظك ويطول بعمرك ويسعدك دنيا و أخرة يا رب يا شيخنا الكريم♥️
@aminanahimana875911 ай бұрын
😢😢😢😢😢kwakweli nalia kwa furahaa sina la kusema Zaidi ya kusema Allah akujaze kheri Duniani na Akhera Sheikh wetu mpendwa 😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲Ubarikiwe 🤲🤲🤲😍😍
@asilahassan996511 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@faizanassor633611 ай бұрын
MASHA ALLAH MASHAALLAH MASHA ALLAH kipezi cha wote sheikh wetu na koo nnzima ya kishk tv online ALLAH AKBAR
@khadidjasuleiman800611 ай бұрын
Mashallah tabaraka llah 🥰 hatimae mekutana 🎉🎉🎉
@user-vs5eb1oq7w9 ай бұрын
❤😊
@user-nl6yp7ku9x4 ай бұрын
Mashaallah shekhe wetu ubarikiwe unapendwa na wengi
@HamisijumaaMapera-fh1tu2 ай бұрын
Mashaallah niliwahi kukufananisha na sahaba wa Mtume Umara bna khatwabi sikukosea wallahi
Nilichojifunza hapo kutoka kwa sheikh Abdul kwa sheikh Kishk ni kwamba huyu Abdul ana mapenzi ya dhati kabisa kwako she kishki, Hivyo sheikh unajukumu kubwa sana la kutimiza lengo lake ambalo ninaamini Allah s.w anamalengo yake
@MuhamadHatib-bc1kb10 ай бұрын
Allah atujaalie Kila la kher na awaongoze vijana wetu katika kheri
Mashaallah tabarakaallah Allah amuhifadhi yaani mpaka nimeliya kwa furaha
@jaymwinyi695711 ай бұрын
Mashaallah tabaraqallah Allah amzidishie ilmu ya juu zaidi na zaidi na vizazi vyetu
@DelightfulPenguin-wk4kv6 ай бұрын
Mashallah sheikh kishk mawaidha Yako yanapendeza na ndo mana watoto wadogo wanakupenda Mwenyezi Mungu akuajalie maisha marefu na mwisho mwema Amin pia mm nko mbali Kwa sababu ya kazi ila naaishi Kenya ningependa xana pia mm mwanangu nikuletee Tanzania Kwa madrasa Yako aifadhi Quran inshallah Kwa uwezo wa Allah akipenda ameen
@fatfat909311 ай бұрын
MASHAALLAH MUNGU AMUONGOZE MTOTO NA SHEKH KISHKI NA KONGAMANO YAKO❤
@omaritvtz52355 ай бұрын
Masha Allah Allah aendelee kumhifadhi huyu sheikh Nurdeen kishki
@MteleShadia-lc6gi10 ай бұрын
Allah akupe pepo la juuu kbsaa,,nakupendaa snaaa shekh nurdin kishik,,nakupendaa sana snaa sana sana,,
@user-vg6gp3bz1f7 ай бұрын
Kwakweli sichoki kuitazama hiyi Clipe inanifurahishaga saaana😂 mpaka natokwa na chozi😢Ma sha Allah Tabaarakallah 😍 😍
@ashaidd291211 ай бұрын
Mashaalah shekhe una upendo sana Allah akuzidishie
@ashaidd291211 ай бұрын
Shekhe inshaalah mwanangu mwakani anamaliza shule form four km unaweza five na six naweza kumleta hapo ili apate elimu ya dini nimependa Hy mtoto ulivyo mkarimu mie single mother wanangu baba alifariki lkn alhamdulillah najituma
@alimatambwe340211 ай бұрын
MashaAllah Jazakhallahu kheiri 🙏🙏🙏🙏
@Khadija-tr8du11 ай бұрын
Allah Akuzidishie kheli shekhe kishki na msafara wako Allah Awahifadhi
@shd12m5511 ай бұрын
Dah nimeikubali sana hii video kishk uko safi sana alhamdulillah
@rabylicious717811 ай бұрын
Mashallah sheikh kishk allah akupe maisha marefu uendelee kutupa dawa kwakwel huwa nakuwa na moyo mwepec nikifungua tyu channel yako unanipa mafunzi na kunikumbusha njia njema❤
@wstaramohammed368911 ай бұрын
Masha Allah masha Allah masha Allah 😢 shekhe kishki Allah aendelee kukupa moyo waupe ivyoivyo inshaAllah ❤.
Mashallah Allah akuhifadhi shekhe wetu .Akulipe khery kwa yote unayoyafanya Aminn
@MteleShadia-lc6gi10 ай бұрын
Tunakupenda sana,,shekh wetu kishik kwaa kaz nzuri unayoifanya ,, Allah akulpe,,,piaa allah siku ya kufaa aje kukuandalia pepoo la juu zaidi nzuri,kuliko pepoo zote,,nakuelewa vzr snaaa snaa snaa
@lolollololi105011 ай бұрын
Masha Allah masha Allah sheik kishki Allah azidi kukulinda😢😢machozi ya furaha yananizidi
@wifematerial894311 ай бұрын
Mashaa ALLAH niliiona video ya abdul akikualika alikua na furaha isio kifani,hatimae umetimiza mwito Mashaa ALLAH,ALLAH akuifadhi sheikh kishki uzidi kutupatia dahawa
@zainaabdallah80911 ай бұрын
Mashaallah Allah akuhifadhi sheikh wetu ❤
@naimarishedy15234 ай бұрын
Sheikh Allah muweza wa yote akulinde kuikuza dini maana tumepotoka.🤲🤲
@eshasalim549611 ай бұрын
Wa Alaykum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh. Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU AKBAR WALILLAHI AL HAMDU. ALLAHU BAARIK 🤲
Mashallah shekhe wallah Allah akulinde na hasad zawat twajuwa kuna wat hawakupend illa Allah aendelee kukupa moyo na sbra wallah❤❤❤
@mariamhamisi59811 ай бұрын
Mashaallah sheikh wetu uko na roho nzur san allah akuzidishie Umr mrefu na mwisho mwema tunakupenda kwa ajili ya allah unafanya kazi nzur sana ni masheikha wachache san wanasikia wito wa watu kwa ajili ya allah ila wewe ni moja wapo ya masheikha watu wazur ❤❤❤
@ashashaban648411 ай бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI SHEIKH WETUNINSHALLAH NA MTOTO WETU ALLAH AMUONGOZE INSHALLAH
@NasraShabani-xf3ny9 ай бұрын
Mashallah Allah atuongoze kwa kila jambo ameen
@RamadhanHamimАй бұрын
Allah akuhifadh sheikh na wengin wajitahid kuiga tabia zak
@user-db6wd4bf3u10 ай бұрын
Masha Allah,sio mtoto pikeake ww ni kipenzi cha wengi🌹🌹🌹🌹🫶🫶🫶
@rashasramsey729210 ай бұрын
Maasha allah shekhe mungu akuweke sana insha allah