Jee mimi naitowo jane mpenzi wangu ana itowo Salim uko sawa ama nikibu
@UtabiriWaNyota5 жыл бұрын
BONYEZA LINK HII KUPATA WA VIDEO ZANGU MPYA kzbin.info/door/xBrgr6eSdKzbt1PUSZ9dWQvideos?view_as=subscriber
@franklinewafula36934 жыл бұрын
Nimemwota mbwa ameniuma inamaana ipi na mimi sijawai umwa na umbwa
@mamawawili37255 жыл бұрын
Dada mm nimeota nimetoka damu nyingi puani,nikaota tena kuna boss wangu nilikuwa namfanyia kazi siku nyingi Ila nikaota namdai posho akanipa not mbili mpya za elfu Mojamoja ni nini?