UTACHEKA MASHINDANO YA KULA CHAKULA KIGOMA''MISOSI KAMA YOTE, WATU WANAKULA SANA, MSHINDI HAKUNA''

  Рет қаралды 49,892

Millard Ayo

Millard Ayo

8 ай бұрын

Пікірлер: 227
@nurumasha
@nurumasha 8 ай бұрын
Elfu 30 inaenda kuwatoa roho😅😅😅😅
@zitongwang6278
@zitongwang6278 8 ай бұрын
This tournament is not fair , a human being can't manage to eat such a food ,.. how can one person will eat 1kg of rice, 1kg of ugali + 10 chapatis and other stuffs like beans , meat and local ugali ..., Is too much for one person to finish or to eat half of eat ..., They could give little food for the competitor's with a limited time to finish up and it could be fair 🇹🇿😋👏👏👏👏
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 8 ай бұрын
Sawa ni mashindano ya kula...lkn wangesema kila mtu apewe chapati 3,nusu sahani wali maharage, ugali nusu sahani na mchuzi wa nyama au mboga za majani...halafu waambiwe mshindi anatakiwa amalize ndani ya dakika 15 au 20... na kuwe na kiingilio...hayo mavyakula ni mengi na ni uhalibifu na wala hayana mvuto sababu vimeshapowa...chapati zinalika vizuri zikiwa za uvuguvugu...zikipoa sio chapati ni jiwe...mashindano mazuri ila strategy zake ni mbovu
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 8 ай бұрын
Jamaa kajamba alafu kaanza kujipepea dogo wakaribu yake nae akaanza jipepea 😂😂😂
@hamicpina1151
@hamicpina1151 8 ай бұрын
😂😂
@odalomary5446
@odalomary5446 8 ай бұрын
Jamani..uu ni upuzi sasa wakishindwa kuinuka hapo..jamani wanatafuta kufa hawa😢😢
@user-cheedycheedy
@user-cheedycheedy 8 ай бұрын
Yani chakula mpaka kinahamia mgongonii😂😂
@faidhamakubi9283
@faidhamakubi9283 8 ай бұрын
Washindane na kutafuta pesa pumbavu zao
@Zenny89
@Zenny89 8 ай бұрын
Acha wivu🤣
@baruthmussamuslim3434
@baruthmussamuslim3434 8 ай бұрын
Kwan unadhan au awanan shuhuli zao embu elewa nn maana ya neno mashindano kwaiyo Kila shindano like la ngumi kula tuzo inamaana wanaoingia kunywnganyia hua wawana kazi oya tuachie kigoma yetu mzee hii ndiy tz ilobeba jina la Tanganyika nakuzaliwa Tanzania kama ujui sasa acha usese ww
@taibomar3926
@taibomar3926 7 ай бұрын
😂😂😂pole ndugu hta sisi hatuna hizo pesa bora washibe tu
@baruthmussamuslim3434
@baruthmussamuslim3434 8 ай бұрын
Kibobe umenifanya nicheke 😅😅😅😅😅et matumbo ya mpira juma et chakula kama tambiko
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 ай бұрын
Elfu 30 NI hela ndogo sana😢😢
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 8 ай бұрын
Pesa ni ndogo mnooooo elfu 30000
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 8 ай бұрын
Pesa ndogo lkn c kashiba kwa uroho wake 😂
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 8 ай бұрын
Sana yani imezidi adi gharama za uwandaaji
@mwasimujinja
@mwasimujinja 8 ай бұрын
Kweli ni ndogo sana maana ukibasti utumbo gharama ya kuushona
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 8 ай бұрын
Hahah yaani hela ndogo kuliko gharama za uandaaji
@godfreyrenatus2090
@godfreyrenatus2090 8 ай бұрын
Wajuzi wa hizi mambo apo unapiga mdogomdogo ukijifanya upo lesi ata chapati tano humalizi ushavimbewa
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 8 ай бұрын
Abasi ukawape masikini chakula.
@dayana5513story
@dayana5513story 8 ай бұрын
Duh kweli hawa ndo wanaume wa mkoani 💪
@japhetadelard9465
@japhetadelard9465 8 ай бұрын
Wole wako akukamate umekwisha
@aminasaid9382
@aminasaid9382 7 ай бұрын
Subhanaallah! Kukomeshwa kula mwenye njaa ashibe kazi ipo sioni km ni mashindano mazuri kivyangu mm maana vyakula maashaallah vingi
@EliasEsau.EsauDaudi.
@EliasEsau.EsauDaudi. 7 ай бұрын
Akk hii ni noma kama siulafi inatisha
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 8 ай бұрын
Asiyekua na kiasi ameshakufa ingawa yu hai,Ulafi ni dhambi,kuvimbiwa ni dhambi!!! Waandaaji na mnaoshindana, hamjui hayo?
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 8 ай бұрын
hapo kwenye chapati ndo shida! mana zinachosha kwenye utafunaji
@AwadhiAlfani-bd5pj
@AwadhiAlfani-bd5pj 8 ай бұрын
hahahahaaaaa
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx 8 ай бұрын
Watu wa kigoma wanakula sana hata ivyo
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 8 ай бұрын
Na wanavyakula vingi hawa jamaa. Maharage, mahindi,ndizi, Maharage dagaa, Samaki ni bei poa Sana nikifika masoko yao Kibirizi, Nazareti, Busebaseba na soko la Marungu mjii Kigoma. Ila nikifika pia Kasulu ( soko la Sofa) na Kibondo ( pale karibu na Hospitali ya Wilaya) vyakula nivyakumwaga. Hongereni watu wa Kigoma
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 8 ай бұрын
Subhanallah kazi ipo jamanii kwa uĺaji huo nyumbani tutafilisika😂😂😂
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 8 ай бұрын
Mtakuja kuua watu 😂😂😂😂
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 8 ай бұрын
Njaa mbaya sana hawa ndo wanao tumaliziaga vyakula hadi vinapanda bei
@YusufLubangula-yn6tq
@YusufLubangula-yn6tq 8 ай бұрын
Kweli DUNIANI kilamtu na faniyake!🤣🤔
@chingaboy1149
@chingaboy1149 8 ай бұрын
Nawewe funny yako nikuandika english kwakiswahili 😂😂😂😂
@immadeogratius2295
@immadeogratius2295 8 ай бұрын
Ukisikia kula mpaka kujinyea ndio hii sasa mmmh!!!!..😂😂😂
@AlfredAloyce-wh5nq
@AlfredAloyce-wh5nq 8 ай бұрын
Hapo mtu anakula Cha asubui mchana na jioni duu sana
@issackathman850
@issackathman850 8 ай бұрын
huyo jamaa et me nimekuja kula😂😂
@issakingombe6991
@issakingombe6991 8 ай бұрын
Watoto wa beach wanabalaa
@officialkdee35
@officialkdee35 8 ай бұрын
Dah aisee nimechekaa😂😂😂😂😂
@sauka9622
@sauka9622 8 ай бұрын
Hapo inapambaniwa elf 30000 tu daa! Kwali watanzania tunahitaji ajira kwa wingi
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 8 ай бұрын
😅😅😅
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 8 ай бұрын
Kwakweli
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 8 ай бұрын
Yan 30 elfu tu khaaa
@issackathman850
@issackathman850 8 ай бұрын
sasa si ilikuwa weekend wenzako wanafurahia we unapiga nyeto
@user-ch3ku3yx2z
@user-ch3ku3yx2z 8 ай бұрын
Ata maera yawepo siwezi kusumbua masera kifara kama hivi boss buni ishu nyingine uitafute pepo
@nurumasha
@nurumasha 8 ай бұрын
Wengine kimewapeleka njaa sio mashindano
@user-xx8jx6tb7d
@user-xx8jx6tb7d 8 ай бұрын
Duu kumbe ni hela kdogo hvyo nkajua ni mamilion hahahaa
@allygoodboytzsdoneintanzan3970
@allygoodboytzsdoneintanzan3970 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😀😀😀😀🪘📻🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka Sana
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 8 ай бұрын
Tz inavituko sana
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 8 ай бұрын
Hapo mijambo kama yote😂😂😂
@ellywajatelelli916
@ellywajatelelli916 8 ай бұрын
Kushindania 30000 ni ndogo sanaa.. Mmewanyonya, afu mavyakula mengi mnoo looh hamjui kukadilia kabisaa..
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx 8 ай бұрын
Wanabadilisha mikao tu
@nurumasha
@nurumasha 8 ай бұрын
😅😅😅😅
@vibetz9991
@vibetz9991 8 ай бұрын
Nimevimbiwa kwa kuangalia tu video😢😢
@edibilychaula.3753
@edibilychaula.3753 8 ай бұрын
Hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
@edmundholida
@edmundholida 8 ай бұрын
😅😅😂
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@ashaomary4922
@ashaomary4922 8 ай бұрын
Nilichogundua ni kwamba Waha wanapenda sana chapati.
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 8 ай бұрын
Km clam naenda nyumabni kula chapati na maharage
@saeedalyahmadi1738
@saeedalyahmadi1738 8 ай бұрын
Naomba hizo chapati ziwe hazikua za mawese😂😂tafadhali
@user-le2ox5ut1j
@user-le2ox5ut1j 8 ай бұрын
Na chai juuu 😂😂😂😂
@aminasaid9382
@aminasaid9382 7 ай бұрын
Afu kila mshiriki wa shindano kakaa kwa style yke ,utajuwa hujuwi 😅😅😅😅 na vyengine zimefinikwa ila atokee mtu na fito watakavyokimbia sijui😅😅😅
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 8 ай бұрын
Vijana wa hovyoooooo
@meshachmbena8720
@meshachmbena8720 8 ай бұрын
😂😂😂 watu wamevimbiwa Macho yamewatoka
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 8 ай бұрын
😅
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 8 ай бұрын
Chapati ngumu kama maisha yao duuu
@banda7737
@banda7737 22 күн бұрын
Dah mimi ningekula hv namaliza na kufa juu Sio kwa kushiba huko😢
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 8 ай бұрын
Chapati mbaya ngumu mtu hawezi kula hata mbili,mapishi ziro kabisa
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 8 ай бұрын
Watajinyea
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 8 ай бұрын
Shindano zuri hila pesa ni ndogo sana yaani ndogo mnooooo yaani Elfu 30000 mmmhhh hapana ingekuwa elfu 50000 au kuanzia laki maana hiko ni kipaji
@SefuHabibu-sn8cx
@SefuHabibu-sn8cx 8 ай бұрын
Peleka chuga huko mtu anakula wiki nzima anakunya tu hapo hamna mlaji bwana hao wote wazushi tu
@zisisiisskksksks2424
@zisisiisskksksks2424 8 ай бұрын
Matumbo ya mtumba😂 jamaaa kauwa
@user-bg9cr4pn2p
@user-bg9cr4pn2p 8 ай бұрын
Pesa walooweka kuwapa nikidogo sana
@user-xx8jx6tb7d
@user-xx8jx6tb7d 8 ай бұрын
Jaman kama kuna malpo naomben kaz
@ConfusedMoose-xs9mm
@ConfusedMoose-xs9mm 4 ай бұрын
Mazunaaaa moseyobo wewe toka lin ukashindana 😂😂😂😂
@musicschool_tz7014
@musicschool_tz7014 8 ай бұрын
Hawa wakiambiwa wafunge wataweza kweli?
@allykwaya
@allykwaya 8 ай бұрын
Ngumu
@katalinamvanga1199
@katalinamvanga1199 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer 8 ай бұрын
Shida hiyo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
LABDA WAFUNGE KAMBA 😂😂😂😂😂
@aminasalim8708
@aminasalim8708 8 ай бұрын
​@@salimmalaka256😂😂😂🎉
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 8 ай бұрын
Wengine wameshiriki kisa njaa tu walivyo Shiba wakasepa hata hawakua kwenye. Kushindana
@eliyasanga6374
@eliyasanga6374 8 ай бұрын
Ata mimi ningefanya hivi nakula kidg nikishiba naondoka zangu
@baruthmussamuslim3434
@baruthmussamuslim3434 8 ай бұрын
Daud dangote nakuona kibobe mtoto wa athuman Babu aise hii qali wanangu mmetisha kabondo kazaroo Livingston noma nanusu wanangu
@marthadanielgethro6216
@marthadanielgethro6216 8 ай бұрын
Kwenye kunyaaaaaaaa😢
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n 8 ай бұрын
Onyo: kujisaidia haja kubwa mbele ya umati hairuhusiwi katika mashindano😂
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 8 ай бұрын
😂😂😂
@emmylizzo8220
@emmylizzo8220 8 ай бұрын
Khaaa mtoa comment mbavu zngu mie
@dushudofficialnurudin9753
@dushudofficialnurudin9753 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@dushudofficialnurudin9753
@dushudofficialnurudin9753 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n 8 ай бұрын
@@dushudofficialnurudin9753 Ndiyo tuwe serious kidogo😂
@Atb300
@Atb300 8 ай бұрын
Ni aibu kwa kweliii tena wanaume😂hawajui kitu chchte kikiwa too much ni tatizo nonsense
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
M'MUNGU AMREHEMU MZE MADO HIYO MISOSI ANGEILA YOTE PEKE YAKE KWA NUSU SAA TU NA MASUFURIA ANGEKWANGUWA.
@aminasalim8708
@aminasalim8708 8 ай бұрын
😂😂🎉
@MasaweKiyage
@MasaweKiyage 8 ай бұрын
Congralation
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 8 ай бұрын
Mnauwa vijana 😂😂😂😂😂
@user-ec4uz2mn3j
@user-ec4uz2mn3j 7 ай бұрын
😂😂😂 ila ukiangalia apo hmn bonge ata mmoja😅😅😅sijui wembamba tuna matatizo gn jmn🎉🎉🎉🎉
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 8 ай бұрын
wange changua chakula kimoja au kama vingi basi una weka kwa udogo udogo,
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 ай бұрын
Wataugua kisukari hao😢
@Rozeey610
@Rozeey610 8 ай бұрын
Duh chakula n kingi sana
@ramadhaniayoub8171
@ramadhaniayoub8171 8 ай бұрын
Washamba hao hayo mashindano ya kula sasa una chagua chakula Sema hao walikuwa na njaa
@sukahnaothuman6247
@sukahnaothuman6247 8 ай бұрын
Eheee😂😂😂 mbn kuna mtu hapo hatafuni ugali😅😅😅 me naon anameza tu😅😅😅😅
@mr_convex
@mr_convex 7 ай бұрын
Kuangalia tu video nimevimbirwa 😭😂😊
@user-fy3cf1ri8m
@user-fy3cf1ri8m 8 ай бұрын
😂😂😂😂 elfu 30 itaalibu koo
@user-iq7vy4oz3d
@user-iq7vy4oz3d 8 ай бұрын
Wanawatanisha watoto tu hapo 😂😂
@jelixsonofficialtz9025
@jelixsonofficialtz9025 8 ай бұрын
ALOOO!!🙀🙀🙄🙄🤗🤗🥟🥟MUHA NA CHAPATI NI VIDOLE NA KUCHA😜🤣🤪🤪sio Kwa kuzipenda hukooo🏃🏃
@ConfusedMoose-xs9mm
@ConfusedMoose-xs9mm 4 ай бұрын
Kibobe papaa Dangote moseyobo hemed Juma jux nyie toka lin mkawa na Fani hiyoo ila nawakubal saan blood zangu.
@user-kd4nl3tb3h
@user-kd4nl3tb3h 8 ай бұрын
Nyinyi mnaosema ni mchezo ambao haumpendezi mungu nitajieni mchezo wowote wa kidunia unaompendeza mungu huu ni mchezo kama michezo mingine na sio tanzania tu nchi mbali mbali wanafanya
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 8 ай бұрын
Bora huu kuliko kupigana au kukaa uchi au mipira
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 8 ай бұрын
Ila Kigoma! 😂😂😂😂Kila kitu wao
@sukahnaothuman6247
@sukahnaothuman6247 8 ай бұрын
Bongoo hapan😅😅😅😅 wenzentu wanapewa pizza ukoo c ugalii
@xaverisunday699
@xaverisunday699 7 ай бұрын
#aboi_4rm_makambako ww ungemaliza hayo mavyakula yote yahani muandaaji ni zero
@emmylizzo8220
@emmylizzo8220 8 ай бұрын
Wengine wamekuja kuleta ubishoo tu ata xo walaji
@user-it3dc1mg5o
@user-it3dc1mg5o 5 ай бұрын
Pesandogo sanaaaaa😂😂
@franciskomba8057
@franciskomba8057 7 ай бұрын
Yani mimi hpo ata robo sitoboi😂😂😂
@FrancesTz
@FrancesTz 8 ай бұрын
Kwenye umoja wa vyakula ukishaona na chai jua wewe hufurukuti 😅😅😅😅😅😅😅 Njaa za dakka huwa zinaweza kukupeleka pabaya kwa fikra
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 8 ай бұрын
Nyama ziko wapi nyama lete nyamaaaa kudadeki zao mbwa hao 😂😂😂
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
ULIMSIKAEE MKALI AJABU KUMBE ZIRO 😂😂😂😂😂😂😂😂
@anitarafa
@anitarafa 8 ай бұрын
Sijafurai.kwakweli.wala aipendezi.😢😢
@petrojoseph4817
@petrojoseph4817 8 ай бұрын
30000 ndio zawadi Kuna mashindano ni tatizo mh
@user-pt5nq8up8z
@user-pt5nq8up8z 8 ай бұрын
Yeye anaweza kumaliza
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 8 ай бұрын
Jamani uyo atapasuka
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 8 ай бұрын
Hawa wakiingia chooni kama ni choo cha ndani kumbia
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 8 ай бұрын
Sena ingetskiwa baba levo awe jaji mkuu😂
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 8 ай бұрын
Si bora Hata mngesema Mshindi apewe laki3?, elf 30??!! Jamani
@zulfamwinyiathman5423
@zulfamwinyiathman5423 8 ай бұрын
Huu ni upuuzi kwa nni ,usiwe mlo mmoja ,Sasa mtu atakulaje machapati Kisha ugali ,huu ujinga uliotaradadi
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 8 ай бұрын
Hii niburudani kama burudani njingine sio kuaribu vyakula
@user-rf4yq9yj7u
@user-rf4yq9yj7u 3 ай бұрын
Hicho chakula wapelekeeni watoto palestina wanakufa na njaa 😢
@ramboiddrambo3056
@ramboiddrambo3056 8 ай бұрын
aya ni mateso jmn kaaah ati nimeogopa baada ya kuona
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 8 ай бұрын
Wengine mavi yana gonga chupi hapo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 8 ай бұрын
Akili za njaa
@gilbertmathias7594
@gilbertmathias7594 8 ай бұрын
Walaji hizo ni sifa za kijinga wao wanaona fahari. Pumbavu zao
@onesmotendega5304
@onesmotendega5304 8 ай бұрын
Pesa ya soda yataka kuuwa watu😂😂😂😂😂
@amanimatokeo9139
@amanimatokeo9139 8 ай бұрын
Awo walimbukeni asa alfu salasin pesa ambayo ukitafuta unaipata ila nisaw kgm maisha magumu kwaiy upatikanaj wa pesa nimgumu iyo 30 kwao wanaona kama milion maan mim kgm naijua vizur kwajl ni home ila wajinga wote
@luganojohn2673
@luganojohn2673 8 ай бұрын
Kimeumana 😂😂😂
@AlinanusweMwanyangala-ir6hp
@AlinanusweMwanyangala-ir6hp 8 ай бұрын
Moto unawaka patachimbika atakufa mtu😂😂😂😂
@kamanda007
@kamanda007 7 ай бұрын
Utaratibu wa ovyo kabisa, rules lazima zieleweke kabla ya mashindano na zifuatwe, hapo wenye njaa wamekuja kula tuu, waandalizi wapuuzi kabisa
@sundawnsmedia6659
@sundawnsmedia6659 8 ай бұрын
Haya mashindano siyo ya kushiriki watu wa mjini 😢
@nancyg8664
@nancyg8664 8 ай бұрын
wasukuma wanaweza
@sundawnsmedia6659
@sundawnsmedia6659 8 ай бұрын
@@nancyg8664 😂😂😂 mbona wasukuma tena jamani, wasukuma tunasingiziwa nyie
@nancyg8664
@nancyg8664 8 ай бұрын
@@sundawnsmedia6659 🤣🤣🤣🤣
@sachuherry5379
@sachuherry5379 8 ай бұрын
😂watajinyea
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 468 М.
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 62 МЛН
MASHINDANO YA KUJAMBA MSHINDI MILION MOJA
9:32
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 443 М.
TAZAMA! JAMAA ALA KILO 2 ZA WALI KWA DAKIKA SITA "TONGE NYAMA"
8:30
FLIP & EAT | Live IN KIGALI (RWANDA )
4:39
Official Eating Tv
Рет қаралды 133
The Other Side of Tanzania: KIGOMA in 2023
14:34
Malango Travels 🇹🇿
Рет қаралды 1,7 М.
SGR TABORA - KIGOMA MAMBO YAMEIVA, KAZI YAANZA
9:07
TRC RELI TV
Рет қаралды 14 М.